Maiti zazidi kuonekana maeneo ya Fumba, Zanzibar!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Habari nilizozipata toka Zanzibar kwa Ndg yangu aliyesafiri leo asubuhi toka Dar es salaam kwenda Zanzibar ni kwmb wakati wakiwa wanakatiza maeneo ya Chumbe kuingia Fumba waliona maiti mbili zinaelea juu ya maji na ndipo wakapiga simu bandari ya Zanzibar na waokoaji wakaenda kuzichukua.

Jamani Ndg zetu bado wapo baharini tangu meli ile ilipozama mpaka leo,na wanasema watu 60 ndio wamepoteza maisha.

Yani ningekuwa na kauli yani ningekuwa na la kusema lakini ndio hivyo tena tunaishia hapa hapa Jf!

Hbr ndio hiyo na nilipopata hbr hii nikasema nibandike hapa jamvini Ndg zangu tuzidi kuona ulegelege wa viongozi wetu!

Source ni kama nilivyotaja hapo juu!
 
Safari hii kura yako usiipeleke tena CCM !
 
Inasikitisha sana wao wamestarehe lakini waliopoteza ndugu zao bado wana majonzi na isitoshe umakini haupo katika nchi hii hadi leo hii haijulikani meli ilikuwa imebeba watu wangapi na wangapi wamekufa, tuombe mungu atatulipia kwa wote wanaotenda dhambi hizi kwa kujiangali wao na kuacha wengune tukitaabika.
 
Tulieni serikali Imejipanga kuhakikisha hili halijirudii tena, Waziri amefanya uamuzi mgumu wa kujiudhuru, tumpongeze!
 
Hivi wameshindwa kabisa kuivuta hiyo meli???

Tanzania haina utaalamu au vyombo vya kuivuta meli hiyo ilizama mita kama 400 chini ya bahari. Kwanza unaijua bahari usifananishe na Ziwa Viktoria.

Maana wengine wakifika pare feri utawasikia ...hii ndio bahali, si kubwa kama siwa fictoria ! Kumbe ameona upande wa pili wa feri !!!
 
nakumbuka ile ajali ya MV islander JK alisema watatumia DNA tugundua maiti zinazoopolewa ..nilicheka sana na bado nacheka sana..inawezekana huyu mzee alifikiri DNA test ni kama unavopima kichocho au minyoo..DNA??
 
Habari nilizozipata toka Zanzibar kwa Ndg yangu aliyesafiri leo asubuhi toka Dar es salaam kwenda Zanzibar ni kwmb wakati wakiwa wanakatiza maeneo ya Chumbe kuingia Fumba waliona maiti mbili zinaelea juu ya maji na ndipo wakapiga simu bandari ya Zanzibar na waokoaji wakaenda kuzichukua.

Jamani Ndg zetu bado wapo baharini tangu meli ile ilipozama mpaka leo,na wanasema watu 60 ndio wamepoteza maisha.

Yani ningekuwa na kauli yani ningekuwa na la kusema lakini ndio hivyo tena tunaishia hapa hapa Jf!

Hbr ndio hiyo na nilipopata hbr hii nikasema nibandike hapa jamvini Ndg zangu tuzidi kuona ulegelege wa viongozi wetu!

Source ni kama nilivyotaja hapo juu!

Kauli yako haipaswi kuishia hapa hapa JF Tuendelee kuwaelimisha watanzania... wanaelewa hawa na ndio watakaoleta mabadiliko.
 
Tulieni serikali Imejipanga kuhakikisha hili halijirudii tena, Waziri amefanya uamuzi mgumu wa kujiudhuru, tumpongeze!

Tumechoka kutulia na kusubiri, watu wanakufa kila kukicha na tumekuwa tukiambiwa tulieni serikali inashughulikia but tumekuwa tukishuhudia ajali za kuua halaiki kila kukicha. We need this government out of the line not only the minister. We are tired of it and it has nothing to do for Tanzanians at the moment
 
nakumbuka ile ajali ya MV islander JK alisema watatumia DNA tugundua maiti zinazoopolewa ..nilicheka sana na bado nacheka sana..inawezekana huyu mzee alifikiri DNA test ni kama unavopima kichocho au minyoo..DNA??

Ahahahaaaa, yawezekana alipotoshwa kama kawaida yake... Suprising Hata Juzi nimesikia Afisa mmoja wa Polisi anasema eti miili iloopolewa kwenye spagit itatambuliwa kwa DNA.... Nkapata shida kuelewa, Unatambuaje wakati huna reference copy ya Hiyo DNA? Na Hata kama ungekuwa nayo, kunawatu kibao ambao majina yao hayakuwepo kwenye orodha ya wasafir wala hawajulikani wala walisafiri... Ni rahisi kiasi hicho kutumia DNA? YANI HII NCHI MAIGIZO HAYAISHI
 
"Tumejipanga vizuri sana kuhakikisha hali hii haitatokea tena kwani sasa tunanunua meli zetu wenyewe serikali" HAYA NDIO MANENO YAO KILA MARA but ni kama comedy tu
 
Hivi wameshindwa kabisa kuivuta hiyo meli???

Sio Rahisi hivyo! Ni changamoto kubwa hata kwa wenzetu (yaani kama tunaweza kujilinganisha na wenye nazo- i.e akili, nia, halafu teknolojia). Ila kwa muda wote huu sijasikia juhudi za ukombozi kupitia jeshi letu la Navy! Hawa wapo kweli au ni hadithi tu! Ingekuwa ni janga la moto, mafuriko, tungewasikia Jeshi la Wananchi au hata Jeshi la kujenga taifa. Kikosi ha Navy kingekuwa na walau ujasiri wa kupiga mbizi na kuwaoka wenzetu- lakini nilichosikia ni vijana kujitolea, mmoja alijitolea akapata ajali na sasa anatibiwa!

Nchi Yangu!
 
Back
Top Bottom