Maiti za vitoto zaidi ya 10 zafukuliwa shimo moja

Nimkanganyiko, hao watoto wazaz wao ni kina nani? Wako wapi? Na unawezaje kupata watoto hao wote kuwaua na kuwazika pamoja?something wrong hapo mwananyamala hosp. So sad! Tumuombe Mungu maadiili ya kazi yanazd kuporomoka hata kama umasikini hii hapana.health personel weng hawana maadili
 
niliposikia siku amini..nikaamini baada ya kuona..tujiulize hao akina mama ni wajasiri ama wakatili?....pia je hizo mimba hazina baba...na kama wako ..hawawezi kuwauliza wapenzi wao....kuhusu mimba ..na mtoto...picha za video na magazetini zinaonesha ni viumbe kabisa...ina maaana mimba ilikuwa kubwa kabisa...je huko mitatani hao akina mama wanasema watoto wameaacha wapi?....
 
Haya tena! Sijui inteligensia ya polisi wetu inapply/kufanya kazi kwa hili?
 
02_11_y24h64.jpg
Askari Polisi mwenye mavazi ya kiraia (kushoto) akionesha shuka iliyokutwa imezungushwa kwenye miili ya vichanga vilivyofukiwa kwenye shimo la taka eneo la Fera Msisiri B jirani na makaburi ya Mwananyamala Dar es Salaam. Kulia ni maofisa wa Polisi wakichukua vielelezo vya tukio hilo. (Picha na Robert Okanda).
 
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi vifo vya vichanga ni ukosefu wa uzazi wa mpango kwa maana wazazi husika wanaona hawezi kuvilea au ni sehemu ya imani za kishirikina ndizo zinalifikisha taifa kwenye majanga ya namna hii?
 
niliposikia siku amini..nikaamini baada ya kuona..tujiulize hao akina mama ni wajasiri ama wakatili?....pia je hizo mimba hazina baba...na kama wako ..hawawezi kuwauliza wapenzi wao....kuhusu mimba ..na mtoto...picha za video na magazetini zinaonesha ni viumbe kabisa...ina maaana mimba ilikuwa kubwa kabisa...je huko mitatani hao akina mama wanasema watoto wameaacha wapi?....

maneno yako mazuuuri
avatar yako mbayaaaaaaaaaaaa...mwanaume tangu lin akala kon dzain iyo?
tupa kon yako si staha yako
 
Asubuhi nimesikia habari kwenye kipindi cha Nipashe. Mtu mmoja aliekuwa anachimba shimo la taka alikutana na maiti za watoto kumi zilizofunikwa kwa shuka lenye chata ya MSD Hospitali ya mwananyamala. Huyu mtu anaishi karibu na eneo la makaburi.

Ni ajabu kweli na ni hali ya kutisha. Hawa watoto hawajatimia miezi tisa lakini jinsia zao zimetajwa watano wa kiume na watano wa kike. Najiuliza zimetoka wapi hizi maiti za watoto, nani kazitupa hapo. Inasikitisha sana.
 
Daily News wao wanasema jamaa alienda kuchimbua udongo kutoka kwenye 'jalala' lake ndo kukutana na kaburi la 'kimbari'....kuna kichanga kimoja kilikuwa na jina kamili la mama yake... nahisi huyo mama anaweza kuisaidia polisi na wizara ya afya kuhusu nini kilichokuwa kinaendelea hapo hospitaly ya Mwananyamala na viunga vyake.
 
kwakua yuko karibu na makaburi kwanini isiwe walizikwa na hospitali? Ni vema kujiridhisha kwa hilo
 
sasa kama walizikwa na hospitali kwanini madaktari walioltwa kuja kujionea hawangesema kwamba labda ni kawaida yao kuzika watoto hapo. Kwanini maiti zisipewe wenyewe wakazike? ni maswali tu najiuliza
 
Asubuhi nimesikia habari kwenye kipindi cha Nipashe. Mtu mmoja aliekuwa anachimba shimo la taka alikutana na maiti za watoto kumi zilizofunikwa kwa shuka lenye chata ya MSD Hospitali ya mwananyamala. Huyu mtu anaishi karibu na eneo la makaburi.

Ni ajabu kweli na ni hali ya kutisha. Hawa watoto hawajatimia miezi tisa lakini jinsia zao zimetajwa watano wa kiume na watano wa kike. Najiuliza zimetoka wapi hizi maiti za watoto, nani kazitupa hapo. Inasikitisha sana.
 
hosp ya mwananyamala wanajua maana zimekutwa zimefunikwa shuka la hosptali hapo.........
 
Asubuhi nimesikia habari kwenye kipindi cha Nipashe. Mtu mmoja aliekuwa anachimba shimo la taka alikutana na maiti za watoto kumi zilizofunikwa kwa shuka lenye chata ya MSD Hospitali ya mwananyamala. Huyu mtu anaishi karibu na eneo la makaburi.

Ni ajabu kweli na ni hali ya kutisha. Hawa watoto hawajatimia miezi tisa lakini jinsia zao zimetajwa watano wa kiume na watano wa kike. Najiuliza zimetoka wapi hizi maiti za watoto, nani kazitupa hapo. Inasikitisha sana.
 
Binafsi nilisikia tangu jana katika taarifa ya habari, lakini ninachohisi ni maiti za watoto waliofarika baada ya kuzaliwa au kabla. Sasa kilichotokea itakuwa mtu aliyepewa jukumu la kuwahifadhi kutokuwa na moyo wa utu na hekima ya kutosha kiasi kwamba akaamua kwenda watupa badala ya kuzika. Natumai hospital na polisi mwananyamara watatupa majibu ya kweli.
 
RIP ma dear,inasikitisha hawa madoctor kwa nini wanawatoa mimba? wanatafuta maslahi au? wamejivunjia heshima.
 
Binafsi nilisikia tangu jana katika taarifa ya habari, lakini ninachohisi ni maiti za watoto waliofarika baada ya kuzaliwa au kabla. Sasa kilichotokea itakuwa mtu aliyepewa jukumu la kuwahifadhi kutokuwa na moyo wa utu na hekima ya kutosha kiasi kwamba akaamua kwenda watupa badala ya kuzika. Natumai hospital na polisi mwananyamara watatupa majibu ya kweli.

mtoto akifariki baada ya kuzaliwa huzikwa na ndugu zake. Sijui zimetoka wapi: hili ni swali gumu sana kwa sasa, mpaka tutakapoelezwa
 
Back
Top Bottom