Nabii Rolinga: Kenya inaongozwa na Mzimu wa Rais wa Kwanza ambaye hakuwahi kuzikwa Hadi Leo.

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,162
22,684
Salaam, Shalom!!

Kumekucha 2024,

Anayejulikana Kwa Jina la Nabii Rolinga, amesema kuwa chanzo Cha Nchi ya Kenya kumwaga Damu Kila Uchaguzi ni sababu ya Mzimu wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya kwanza Jommo Kenyata.

Amedai kuwa Hadi sasa anayetawala Nchi hiyo katika Ulimwengu wa Roho ni Mizimu ya Rais huyo aliyepita ambaye hakuwahi kupata maziko ya kufukia mwili ardhini.

Amedai kuwa, mwili huo ambao ulikaushwa na kutunzwa, ndio chanzo Cha matatizo. Ameshauri watumishi washirikiane na familia ya marehemu Ili kuuzika mwili huo kwani maiti ni muhimu kuzikwa Kwa Utaratibu wa kawaida.

Karibu Kwa maoni!!🙏

Source: Haleluya Tv.
 
Si wamzike tu? Sasa atazikwa kwa mazishi gani huyo nabii asione kuna mzimu, kufukiwa ardhini au kuchomwa moto na majivu yake kutupwa baharini/ziwani/mtoni/bwawani/kisimani/dimbwini? Kule misri kuna mapiramidi yenye mafarao ina maana yanaongoza egypt as a ghost?
 
Muhimu azikwe.
 
Back
Top Bottom