Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Lingine la Makamba ni kuwa mwaka 1974 akiwa mkuu wa wilaya ya Tanga, Makamba aliwahi kuwaamuru askari FFU wampige mzee mmja kwa kosa la kukatiza barabara karibu ya TANU Hall wakati akisubiriwa makamu wa rais Mzee Aboud Jumbe kuja kufungua mnara kuashiria kufungua sherehe za sabasaba ambazo kwa mara ya kwanza zilifanyka nje ya Dar es salaam. Kitendo hicho kiliwahuzunisha wote walioshuhudia mzee wa watu akigarazwa huku Makamba akichekelea ukatili ule. Siku hiyo hiyo habari zilimfikia Rais Nyerere, naye kwa kukerwa na ubazazi wa Makamba akampa uhamisho kwenda Kibondo, kiasi kwamba hata hizo sherehe ambazo alishiriki kwa kiasi kikubwa kuziandaa hakuziona. Rejea hii ni kwa taarifa ya wale ambao hawamjui huyu mzee, ni katili, ni jeuri, dikteta,fedhuli,na sifa nyingine zinazo fanana na hizo. Nashauri mtu huyu apuuzwe, akili yake si nzuri
 
Huyu mama hadi uchaguzi unaisha atakuwa ametia hasara ya kutosha kwa taifa.
Kwani sasa na yeye anajihisi kama president.
 
kaka SILAHA ni noma lazima pachimbike....kalikologa mwenyewe MAKAMBA sasa atakuwa MANYUZI kwa slaa..

Mkuu Magulumangu, hatuna mtu aliyempa ukweli Makamba kwa jina hilo uliloliandika hapo, ila yupo SLAA.

Nakkubaliana na wewe kuwa Makamba kalikoroga, sharti alinywe. Tujiulize maswali haya yafuatayo:
1. Kabla ya kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, nini skandali aliyokuwa nayo mkoa alikotoka?
2. Kwa nini makahaba wa Kinondoni walimwita mke wa Makamba WIFI, kipindi kile alipokuwa RC wa Dar na operesheni yake dhidi ya ma-CD?
 
Dk. Slaa pia alimtaka mke wa Rais Kikwete, Mama Salma kuacha kufuja fedha za serikali kwa kuwa na msafara mrefu wa magari ya serikali pamoja na askari wengi wa kumlinda.
Alisema mke huyo wa Kikwete ambaye jana alikuwapo mjini hapa na kufanya mikutano ya ndani ya CCM, anapaswa kutambua kuwa yeye si rais wa Tanzania kwani kwa sasa kuna rais mmoja tu.

"Mgombea urais wa CHADEMA, anatembea kwa basi, lakini mke wa rais anatembea na msafara wa magari 21, yenye thamani ya sh milioni 400 kila moja, ambazo ni sawa na fedha za kujenga zahanati nne, hili jambo ni la hatari sana na kulikomesha hili ni kutompigia kura Kikwete katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Akichambua sababu za kwa nini Kikwete hafai kuchaguliwa tena mwaka huu, Dk. Slaa alisema pamoja na ahadi nyingine, ameshindwa kutimiza ahadi yake ya maisha bora kwa kila Mtanzania.

Alisema katika kipindi cha uongozi wa Kikwete, maisha ya Watanzania yamezidi kuwa mabaya kwani gharama za maisha hasa bei za bidhaa na huduma za jamii, zimeongezeka mara dufu na kufanya maisha ya wengi kuwa duni badala ya kuboreka.

"Bei ya sukari, nauli za mabasi, chumvi, nyama, soda na hata bia, zimeongezeka mara dufu katika kipindi chake cha miaka mitano. Aliingia madarakani kwa kuwadanganya Watanzania, leo anarudi tena kuomba ridhaa yenu ili awatumikie eti kwa kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi. Mwaka 2010, msidanganyike," alisema Dk. Slaa.

Kuhusu ahadi za ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Mbeya kwa kiwango cha kimataifa, Dk. Slaa alisema ahadi hiyo ni ya uongo kwani kiwanja hicho kimefungwa na serikali imekuwa ikiahidi kukijenga kwa miaka 10 iliyopita bila mafanikio.
"Ahadi hiyo ni usanii mwingine. Hii ni Serikali ya wasanii, kiwanja kimefungwa kwa miaka 10 sasa, yeye anazungumzia kujenga kiwanja cha kimataifa, kwanza Shirika la Ndege la Taifa la (ATC), wamelifanyia ufisadi, wameua ndege zote, hivyo viwanja vya ndege anavyoahidi leo kuvijenga kwa kiwango cha kimataifa, zitatua ndege gani kama Serikali yenyewe haina hata ndege moja?" alihoji Dk. Slaa na kushangiliwa na maelfu ya wananchi waliofurika kumsikiliza.
Source Tanzania Daima


Kwenye Red paragraphs!!
Msafara wa mke wa Rais magari 21? Nadhani huyu ndiye Rais aliyevunja record! Hata Mkapa pamoja na ubinafsi wake wote hakufanya upuuzi huu. Hata Mwinyi pamoja na kuruhusu mke wake kuiba mali za umma, katu hakuacha ujinga huu ufanyike. Nyerere ndiyo kabisaa kwanza habari za mke kusimama kwenye mikutano hazikuwepo. Mke wa Kikwete anaweza kumkaribia mke wa Mgabe au Kibaki kwa matumizi makubwa ya fedha ya serikali kwa mambo yake binafsi.

Hapo kwenye viwanja vya ndege kwakweli huko ndo burudani inazidi. Yaani barabara hakuna, reli hakuna, unaongelea viwanja vya ndege ambazo maskini hawana uwezo wa kuzipanda. Tena unaongelea uwanja wa ndege Ngara ambapo Bukoba mjini tu ndege zinatua kwa nadra (nazo ni precission air), sasa huko Ngara atapeleka nani ndege.

Kwa kweli siamini kama mashabiki wa CCM huwa wanashabikia kwa kuelewa wanachokifanya au ni ulimbukeni tu?
 
Dr SLAA kwa nini ameficha uovu wa Mkamba kwa muda wote huu mrefu bila kuwaeleza wananchi ukweli? Nadhani hata akiwa rais wa nchi hii ataficha pia uovu mbalimbali utakaofanywa na viongozi wake wa chini. Hatumtaki kiongozi anayeficha maovu ya watu katika jamii hii..Kwa msingi huo SLAA hafahi kuwa rais
Tabia ya ku-expose personal life ya wapinzani wako sio sera ya Chadema bali ni ya sisi m. Amelazimishwa tu kuingia kwenye game hili.
 
Huyu 1st Lady amekuwa mzigo mno mno! (ikwa vyovyote atakuwa anatumiwa/ana idhini ya mumewe + CCM camp). Bora hata akina Siti au Ana hawakutugharimu kama huyu

Huyu mama ndiye aliyesema kuwa alikutana na Mkwere wakati akiwa mwalimu wa chekechea huko Lindi.

Alipokuwa anafundisha pale kwenye ile shule ya wilaya ya Kinondoni alikuwa mara nyingi haingii darasani na vipindi vyake anawapa walimu vijana/vidume wakamfundishie(kisha anawapa mshiko kwa kazi hiyo) yeye anakaa ofisini(staff office) anapiga soga na walimu wengine mfano yule nani wa MRAMBA. Hii shule hadi sasa wakaguzi huwa hawatii mguu wanairuka.

Kama haitoshi si unakumbuka hata katika kile Chuo cha Morogoro alichoenda kusoma kozi ya ualimu hakumaliza?

Nitamwaga mchuzi mimi! Ni lini Salma alitolewa katika payroll ya mishahara ya watumishi wa serikali toka HAZINA?
Msisahau yule Waziri wa utumishi alishawahi kuwashambulia CWT kuwa wana walimu hewa wengi.
 
Mkuu nilichosema ni kuwa hapana kampeni ni mipasho tu, nilichomaanisha ni hatua hii ya CCM na Chadema kurushiana matusi katika vyombo vya habari imekuwa kama mipasho ya taarabu vile. Kama upenzi mimi nina mapenzi na CUF ambacho tumezinduwa kampeni zetu kwa utulivu na hatuna mda wa kujibizana na akina Makamba na Kinana wanaolipwa kwa kazi ya kusema ovyo tu.

Una shida kubwa! Kusema mtu kabaka ndio tusi??? Naona imekuuma sana! Ni baba yako nini?
 
Dr SLAA kwa nini ameficha uovu wa Mkamba kwa muda wote huu mrefu bila kuwaeleza wananchi ukweli? Nadhani hata akiwa rais wa nchi hii ataficha pia uovu mbalimbali utakaofanywa na viongozi wake wa chini. Hatumtaki kiongozi anayeficha maovu ya watu katika jamii hii..Kwa msingi huo SLAA hafahi kuwa rais

Hafahi ndiyo kitu gani? Rekebisha kiswahili chako kwanza ndipo utoe point huku ukisoma mwendo wa nyakati!!!
 
Hatimaye mgombea wa CHADEMA ametishia kuwalipua na kuweka hadhani vimada wa vigogo wa chama tawala wnaohujumu nchi kama wataendelea kumchimbachimba yeye na maiwaifu wake! Udadisi: hao vimada mafisadi wanajisikiaje huko kwa biti hilo?... hao vigogo wenye ndoa zao ambao wanatishiwa kuwekwa hadharani wanajipangaje kukabiliana na bomu hilo?! wake za hao vigogo.. je...huoni kuwa wanatamani jamaa awalipue nao waanzishe bifu na 'wabaya' wao'?
 
millet-president-jakaya-kikwete.jpg
 
kumbe ka mzee makamba kalibaka, duh kwa aibu hii sitegemei kumuona akiropoka hadharani tena
Makamba hana mshipa wa aibu ulitolewa hana aibu yule kesho utamsikia atakavyobwatuka.
 
"It is enough to say Mr Makamba should leave personal affairs alone…go and ask him why he was fired as a primary school teacher," he said, warning if Mr Makamba continued with his propaganda, he would also proceed to tear him to pieces. "

Makamba C'mon just pop up see how Father knw how to play the game..but Slaa..he is good in what he is doing..
 
Ziara za Salma huwa zinawadhalilisha sana viongozi wa serikali huko mikoani, yaani huwa wana jishusha sana kiasi cha kumsomea hata ripoti za kiutendaji za serikali! JK alidanganya alivyosema eti URAIS wake hauna UBIA, mbona sasa tunaona kuna wabia wawili, SALMA na RIZ-1?
 
There are currently 117 users browsing this thread. (36 members and 81 guests)

Hawa wote na zaidi wameshafahamu kuwa:

1. Makamba alibaka mtoto wa watu na kwa sababu hiyo akafukuzwa kazi ya Mwalimu Mkuu.

2. Aliamuru Mzee wa watu apigwe bakora huko Tanga na Nyerere akmpa uhamisho kwenda Kigoma.
(Hili ndiyo kosa alikuwa akifanya Nyerere. Mijito kama hii unalifukuza kazi).

3. Mama Salma ana Kiherehere sana. Nilishasikia hili zamani ila sasa ndiyo naamini. Huyu mama maadamu kaamua kuingia kucheza mpira wa American Football na wanaume, basi asilie akipigwa kikumbo. Mama Salma maadamu umejianika wewe mwenyewe tukushambulie basi wewe ni saizi ya Watanzania sasa. Simama na tuanze kukufanya dude la kulengea shabaha. Watu watatu wamesharusha risasi zao hadi leo hii ila hadi mwisho wa wiki, nina imani zitatoka hadi siri za ndaaani sana sana zako mama. Kaa Mkao wa kula.
Umeamua kuyavulia nguo, basi subiri uyaoge. Ila usilie kuwa ni ya Baridi sana au ya Motomoto saaana watu wa Zimamoto wakianza kuyarusha huku mengine yakiwa na pilipili maana utamu wa pilipili ni muwasho wake.

4. Tusimsahau Kinana na hii habari ya Wasomali wa Kenya na Somalia kwa ujumla kama zilivyowekwa hapa na Wajuvi.

5. Tusimsahau na Kikwete kwani jamaa wanaweza kuwa wanatafuta habari za kukwepesha macho ya watu wakamsahau.

Pichani, Mamba akiteta jambo. Sijui alikuwa akitishia kubaka tena au kashachoka?
Mjema.jpg
 
Kumtishia Makamba haiwezi kuhalisha vitendo vyake vya uzinzi. Yeye anatakiwa jibu hoja ya uzinzi na kutelekeza famila. Je na yeye tukimuuliza kwanini alifukuzwa upadre atakuwa na jibu?! Anasingizia kwamba alikubaliana na kanisa kuacha; si kweli. Tuna lundo la data zake hapa na ufilauni wake mkubwa aliotenda huko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom