Maisha ya chuo cha DIT

mayestee

Member
Jul 24, 2016
97
32
ningependa kutanguliza salamu kwa wanajf wote kwani mmekuwa msaada sana katika kupeana habar
ningependa kuuliza maswali kuhusu CHUO cha DIT kwa anayekifahamu
1)elimu ya pale ni ya aina gani is it more theoretically or practically
2)vipi kuhusu hostel za main campus first year student under private sponsorship anaweza kupata hostel za hapo chuon?
 
Back
Top Bottom