Maisha Plus Finals

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Wamebakia watatu!

Abdul

Upendo

Charles...


Nani ataibuka mshindi?
 
Kura ziko hivi mpaka sasa:

  1. Modesta - 620
  2. Boniface - 1,260
  3. Teddy - 2,666
  4. Kingunge - 3,006
  5. Moshi - 3,828
  6. Maulid (Bonge) - 4,251
  7. Steve - 5,700
Top 3 ndo hao Waliosalia,

  1. Abdul
  2. Upendo
  3. Charles
Kazi kwelikweli
 
Wanabaki wawili na anatolewa mmoja ambaye ni Upendo!

Wamebakia Charles na Abdul
 
Piga ua!!!! Abdul atakuwa kabeba fweza tu.

Upendo kapata kura ngapi? Hawajasema!
 
Na mshindi wa shindano la Maisha Plus kwa mwaka 2009 ni

Abdul Hafidh
 
Yes ni Abdul, but they failed to ignite the show big time
Off course, wamechemsha mambo mengi sana. Tunaweza kufanya kitu bora zaidi ya hivi.

Wamemalizia bila kuwafahamisha watanzania idadi ya kura za washindi wa tatu mpaka wa kwanza, wametumia nini kuhukumu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom