Maisha Binafsi ya rais wa Irani: Wanasiasa wa Tanzania tujifunze

Hivi kweli mnaamini Rais wa Taifa lenye nguvu kama Iran analala chini ooh please...
 
Hivi kweli mnaamini Rais wa Taifa lenye nguvu kama Iran analala chini ooh please...

Propaganda ..kwanza huyu analindwa kama nn kama analala chini it means wake zake anawapa dudu sa ngapi? Mbona jk alishawahi kuingia kwenye nyumba za makuti.. Ndio anapoishi pale? Too hard to swallow . Only small brained people like zomba aka Faiza fox can swallow this
 
Last edited by a moderator:

Hivi kulala chini si ndiyo raha zaidi ya kulala kitandani? au?
 
Dahhh! kiukweli jamaa ni anaipenda taifa lake kuliko hata nafsi yake na bila shaka anajua maana ya kuwa mtu wa watu kwa kuwa kesho wote twarudi mavumbini na huko ndio makao yetu milele heri jina jema maana yashinda mali Viongozi wetu wamechagua mali kuliko jina duniani wanamtukana nyerere ati kafa maskini lakini kweli kafa maskini je wao wakifa wameacha nini duniani cha kuigwa? kwa nyerere kuna kitu tunajifunza kutokana na maisha yake. THAT MUST BE THE LESSON FOR LEADERS IN POWER.
 
wanasansi ni kweli kabisa hawacomplicate alafu watu wa fact kupindisha mambo sio jadi yao lingine ni kwamba sio wengi sio waongo na asikuambie mtu ktik kusimsmia maamuzi sisemi wengine hawafanyi ila wasanii sana
 
V8.jpg
Ritz ni bora usilete hizi maana unanikumbusha yule gamba aliyesema .... mtakula hata nyasi bora ndege ya Rais inunuliwe...
 
Last edited by a moderator:
Nilipata notification kuwa umeni quote,umeiondoa?Unantisha?We ni nani?

Nikuulize wewe, vipi mbona umeiondoa? au ni ki moderator kinachokuja kwa njia mbadala? scared of your own shadow?
 
Nikuulize wewe, vipi mbona umeiondoa? au ni ki moderator kinachokuja kwa njia mbadala? scared of your own shadow?
Nimeondoa kitu gani?soma posti #61 niliyokujibu.Wewe ndo umeondoa,nimekuta notification kuwa umeniquote,nikatizama sikuona kama ulini quote,badala yake nimekuta hilo bandiko bila kuonyesha umemquote nani ukisema "kuwa makini"

Hutumii akili hata kidogo.Eti "scared of my own shadow", scared over what?kivuli wewe?

Wewe ndo shadow siyo mimi mr "Zombie".
 
Kama kuna kiongozi aliyoko madarakani ambae nampenda na kumkubali zaidi ni huyu mhafidhina Ahmed Nijad
 
Nimeondoa kitu gani?soma posti #61 niliyokujibu.Wewe ndo umeondoa,nimekuta notification kuwa umeniquote,nikatizama sikuona kama ulini quote,badala yake nimekuta hilo bandiko bila kuonyesha umemquote nani ukisema "kuwa makini"

Hutumii akili hata kidogo.Eti "scared of my own shadow", scared over what?kivuli wewe?

Wewe ndo shadow siyo mimi mr "Zombie".

Ahsante, Mr. NOT scared of your own shadow. Tujadili mada, mimi nakubali kushindwa personal attacks. Hunijui sikujui, tunagombania maandiko?
 
Ahsante, Mr. NOT scared of your own shadow. Tujadili mada, mimi nakubali kushindwa personal attacks. Hunijui sikujui, tunagombania maandiko?
Nishatoa mchango hapa,i'm moving on kwenye other issues.
 
Back
Top Bottom