jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Usikurupuke..Unajuwa maana ya "kiasi flani"?Hiyo mbingu na ardhi umeitumia kwasababu mmoja ni muajemi na mwingine mwafrika mtanzania?Nyerere aliagiza Mercedes Benz za kifahari enzi hizo 77 kwa ajili ya kupokea wageni 77 akawajengea na hoteli mpya inaitwa 77 yenye vyumba 77. kwa ajili ya mkutano wa siku tatu tu.
Unafananisha mbingu na ardhi?
jmushi1 said:Ni kama alivyokuwa Nyerere hapa kwetu kwa kiasi flani.
Halafu si tunazungumzia maisha binafsi ya viongozi wa umma?Unaona jinsi ulivyo mkurupukaji kama lirobot lisilokuwa na ubongo wa kufikiri?Unazungumzia benzi alizowapa watu 77(i doubt ukweli wa habri hiyo),halafu ndo unasema ni ya kwake?
Umekariri mbingu na ardhi kama vile hakuna in btn?Yale yale aliyoyasema mchangiaji mmoja humu kuwa umekariri tu usiku na mchana bila kufahamu kuwa kuna mawio na machweo.
Pole sana kama uko kazini.You need a vacation, "sytem malfunction"?