Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 244
Anachofanya Maige ccm hakina tofauti na anachofanya Shibuda cdm, tofaut yao ni kuwa Maige kaponzwa na utendaji wake na kusukumwa nje na mfumo wa makundi ya urais 2015 ndani ya ccm, wenye akili tunasubiri maziko yao kisiasa.