Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Inaendelea 9.,.........
......................

Wife aliendelea kunisistiza niachane na mahusiano na huyo mke wa MTU maana yatakuja kunitokea puani lkn nilisisitiza kuwa huyo MTU mm ni rafiki yangu tu na sina mahusiano nae ya kimapenzi.
Cku zikaenda ha hatimae jamaa akaja kugundua tena kuwa bado nakula mke wake,safari hii akanitafuta hadi akanipata kwa kutumia watu wanaonifahamu akanisihi niachane na mke wake kistaarabu sana.
Bado sikusikia kwa kupewa kichwa na huyo Hawa mwenyewe kuwa nisimsikilize huyo jamaa maana eti siku zake za kuachwa zimekaribia na zinahesabika.nahisi nilipumbazwa kwa penzi LA huyu Dada.
Jamaa akafika hadi kwetu kwa mama yangu na kumweleza A toZ,na mama akaniita na kunikalisha chini kunio nya lakini sikusikia LA MTU.
Jamaa akaamua kuanza kutumia nguvu,
Alitafuta watu wa kunidhuru akawaleta hadi kwangu na kuwaonyesha nyumba.
Cku ya kwanza wakaja jamaa wawili hadi kwangu asbh na kumkuta Dada wa kazi,wakabisha hodi na kuuliza kuwa hapa ndio kwa Fulani akajibu ndio,tumemkuta????.
Dada akajibu kuwa nipo kzn,wakauliza huwa narudi muda gani wakajibiwa kuwa huwa narudi ucku,wakauliza pale ndani tunakaa watu wangapi akajibu Mimi na wife na yy Dada wa kazi na wtt,wakauliza kuwa hakuna MTU mwingine,???,wakajibiwa hakuna.wakataka kuondoka Dada akawauliza baba akirudi nimwambie nyie ni kina nani mnamuulizia?,wakamwambia usimwambie kitu tutakuja jioni kumfanyia surprise. Wakaondoka.
Jioni nikarudi muda kama SAA tatu ucku.nikaambiwa na wife kuwa ameambiwa kuna watu wamekuja Mara mbili kuniulizia na wife akasema anahisi sio watu wazuri.nikamuita Dada wa kazi nikamuuliza akanieleza kila kitu kuhusu watu hao nae akasema wanaonekana sio watu wazuri,akauliza kwani baba kuna watu mmegombana?....maana wale sio watu wazuri.
Taa nyekundu ikawaka kichwani kwangu na kutambua kuwa sasa nawindwa.nikachekecha akili na kuhisi sasa sipo salama.nikatoka ucku ule ule na kwenda kutoa ripoti polisi,bahati nzuri nikamkuta mkuu wa kituo ambae tunafahamiana,nilimweleza mwanzo hadi mwisho bila kumficha kitu,akanipa karatasi nikaandika maelezo yangu yote bila kuficha,nikapewa RB ya kutishiwa kuuliwa,akanambia niende nikalale mahali pengine na asbh nirudi pale kituoni.nililala lodge ucku ule na asbh SAA mbili nikarudi kituoni,OCD akaniuliza kama Nina namba za wale wote wawili nikampatia.Akaanza kumpigia yule mwanamke kwanza na kumuuliza kuwa km yy anaitwa Hawa?, akajibu ndio,.OCD akamwambia kuwa anaongea na mkuu wa kituo cha polisi na kumwambia kuwa anahitajika afike kituoni SAA nane kamili mchana bila kukosa,Dada akakubali na kutaka kujua kuna nini?akaambiwa we uje utakuja kujua na usipokuja tutakufuata.
Baada ya pale akampigia yule jamaa na kumwambia kuwa afike kituoni SAA nane kamili na asipokuja atatafutwa.baada ya pale nikampatia OCD sh laki 1 na kumwomba anisaidie kumaliza hii ishu nikae kwa amani,OCD akaniambia nimuachie hii ishu na baada ya hapo nisijaribu tena kurudiana na huyu Dada.
SAA nane ikafika na wote tukakutana ofcn kwa mkuu wa kituo,nikaeleza yote,OCD akapiga mkwara mzito kwa yule jamaa kuwa kesi yake ni ya kutishia kuua kwa maneno.Akamwambia kuwa ameshafunguliwa file na lipo pale ila hatapelekwa mahakamani maana bado uchunguzi unaendelea,akamwambia jamaa kuwa lolote likinipata mm Bac yy ndio mhusika namba 1,akamwambia aombe nisigongwe hata na baiskeli maana itaonekana ni njama na yy ndio wa kwanza kuja kukamatwa,akageukia kwa yule Dada Hawa akapiga mkwara mzito sana,akamwambia kama huridhiki na mb*o ya huyu mume wako Bac njoo kwangu Mimi nikiridhishe(OCD🤣),kisha akageukia kwangu na kunipiga mkwara na Mimi niliempa laki yangu na kuniambia nikirudia kuwa na mawasiliano na huyo Dada ataniweka ndani.OCD akaita askari anaeshughulikia masuala ya mitandao(cyber crime) km sikosei,tukachukuliwa namba zetu za cm wote,akaanza kutueleza kuwa namba zetu wote zinafuatiliwa kwa karibu na jeshi la polisi, na yyt ataeonyesha anaanza kumtafuta mwenzake kwa shida yyt atakamatwa,nahisi alikua anapiga mkwara tu.Baada ya pale jamaa akasema kuwa yy hakuwa na mpango wwt wa kunidhuru wala kunitishia na wala hakutuma watu nyumbani kwangu na akasema kuwa yy alimwachia Mungu tu,(nahisi aliogopa mikwara),....baada ya hapo tukatawanyika huku kila mmoja akiambiwa na OCD kuwa akiona mmoja kamtafuta mwenzake afike akatoe ripoti polisi ili yule aloanza kumtafuta mwenzake akamatwe fasta,yani hawa akinitafuta mm kwa cm Mimi nikatoe ripoti hawa akamatwe,au Mimi nikimtafuta hawa,Bac hawa akatoe ripoti Mimi nikamatwe,au jamaa akiona bado Mimi na hawa tunawasiliana Bac akatoe ripoti tukamatwe wote.jamaa akapata amani,tukapeana mikono tukasambaa.Angalau nikawa na amani kiasi japo ucku home ckua nalala usingizi kabisa,nikisikia hata panya kapita mm moyo unanidunda nakuhisi ndo nimekuja kumalizwa.miezi ikapita mingi hatimae amani ikatawala na nyumbani kwangu kukawa na amani tena.Nilibadili hadi line zangu za cm kukwepa hawa asinitafute.Hatimae mwaka ukaisha salama.Niliwahi kusikia kwa baadhi ya watu kuwa jamaa mume wa Hawa ni mshirikina sana na huwa hakauki kwa waganga,nikapuuza maana mm so MTU wa uchawi.ila naanza kuamini kwa mbali maana kimaisha nimeanguka anguko LA hela yote.Mwaka mmoja tu kupita nikiwa nishamsahau hawa nikapata pigo kazini,lilikua pigo baya sana ambalo nahisi ni mkono mbaya wa kichawi,huwa nipo makini sana kwenye kazi zangu lkn cjui ilitokeaje nikaingia bila kutarajia,nikapata kesi takukuru,nikakamatwa nikawekwa ndani,nikapelekwa mahakamani na kusimamishwa kazi,baadae nikahukumiwa miezi 7 jela bila kutarajia na kufukuzwa kazi,japo kuwa nilikaa miezi minne tu lkn nilitoka nikiwa hohe hahe nisie na mbele wala nyuma,ckujua naanzia wapi kimaisha.serikalini siwezi kuajiriwa tena maana tayari nina check namba na tayari system ya serikali ilikua inanitambua kuwa nilishafukuzwa kwa kuwa serikali ilishaanza kutumia alama za vidole kupitia NIDA,hii ilikua 2018.wife ofisi yake ilikuwa inaendelea japo sio kwa ukubwa ule wa mwanzo maana kila kitu kilikuwa kinamwangalia yy.
Nilirudi kwa Mungu na kukesha kwenye ibada hadi za ucku nikimwomba msamaha kwa yote niliomkosea Mola wangu,zaidi ya mwezi nilitulia nikifanya ibada huku nikitafuta ajira nyingine isiyo ya serikali maana serikalini nilisha nyea kambi.nikapata mteja nikauza Toyota Porte yangu kwa 6.7m,ndugu zangu wakaniongezea ongezea ikafika 12m,nikaona niingie kwenye biashara.Nikachekecha akili nikasema ngoja nikanunue mazao huko vijijini,nikaenda wilaya flani nikaweka kambi huko,nikiwa cjui hili wala lile kwenye mazao,nikaingia kichwa kichwa bila kuuliza masoko ya Mahindi kwa wakati huo,nikanunua gunia 120 za mahindi,nikakodi fuso tandam na kubeba mzigo wangu hadi arusha,kufika sokoni mahindi hakuna anaeyataka,mzigo kila mahali umejaa wanunuzi ambao walikuwa wengi ni wakenya walishaondoka kurudi zao makwao maana JPM alikataza mahindi kuvuka mipaka,nikachanganyikiwa,...cku mbili nazunguka na Lori LA watu mji mzima kutafuta wanunuzi lkn bila mafanikio,nikapata sehemu wananunua ila wananua gunia sh 32,000 na Mimi nilinunua huko kijijini gunia sh 45,000 hadi hapo imeshakata sh 13,000 kila gunia bila usafiri,nikagoma kuuza.mwenye gari hesabu yake inazidi kuongezeka kwa kumchelewesha.ikabidi nikashushe mzigo nyumbani nikalipa makuli nikalipa na gari LA watu.
Nikaanza kutafuta masoko arusha kwa miguu,wiki mzima hakuna kitu huku nazidi kutumia akiba yangu.baadae kuna MTU akaniambia kuwa mwanza mahindi yana beinzuri sana,akanambia kuwa kuna mnunuzi ananunua sh 56,000 kwa gunia,nikapewa namba ya dalali anaehusika,nikampigia akanambia leta mzigo,nikatafuta tandam nyingine nikapakia mzigo tukaanza safari ya arusha to mwanza kuuza mzigo.................
............itaendelea soon.
 
Sehemu ya 10.............

Nakumbuka tuliondoka arusha SAA nane mchana tukitarajia kutembea ucku kucha asbh tufikishe mzigo sokoni,tulipita njia ya minjingu-babati-katesh.,.....mida ya SAA moja na nusu ucku tukiwa eneo flani panaitwa mwahu tukapata ajali na Lori likapinduka,.
kwa wenyeji wapale wanaweza kukumbuka kuna Lori LA mahindi lilipinduka pale ucku mwaka 2018,Mimi nilikuwepo ndani na niliumia mkono japo ckuvunjika,tukapelekwa hospital flani ya wakatoliki haipo mbali sana na pale,tukapatiwa matibabu na kuruhusiwa asbh,nikafika eneo LA tukio, nikatafuta watu wakulinda mzigo wakati natafuta usafir mwingine,wkt huo mzigo umeshapakuliwa kutoka kwenye Lori lilopata ajali.kufika jioni ya SAA 11 nikapata gari nyingine fuso tulioitafuta kutoka katesh,ikaja tukapakia mzigo hadi SAA tatu ucku tukaanza safari kwenda mwanza.tulitembea hadi tinde,gari ikazingua rubber za clutch,muda huo ni SAA moja asbh,tukatafuta mafundi pale wakaturekebishia tukaendelea na safari SAA tatu asbh,SAA Tisa mchana tukawa mwanza,....nikamtafuta yule dalali niliowasiliana nae nikiwa arusha hapatikani,piga cm hadi SAA 12 jioni jamaa hapatikani,dereva akanambia tulale kisha asbh yy atanipeleka sokoni kwa wanunuzi wa mahindi anaowafahamu.Asbh pakakucha na kabla hatujaanza safari ya kwenda sokoni kusaka wanunuzi nikampata yule dalali kwenye cm,nikamwambia nimeshafikisha mzigo,akanambia eti mbona nimechelewesha sana mzigo na bei imeshashuka sokoni,akanambia bei ya gunia ni 30,000.nikamwambia nimecheleweshaje wkt tumeongea cku 3 zilizopita na anajua kuwa arusha to mwanza sio safari fupi?...akanambia ilitakiwa nifikishe mzigo kesho yake baada ya kuongea nae cku ile, nikaona ananizingua,nikamwambia dereva wangu anipeleke kwa wanunuzi wa sokoni.tulipofika sokoni nilichanganyikiwa zaidi,hapo tulikutana na madalali na wachuuzi waliosema nishushe mzigo kwa 28,000.nikachanganyikiwa zaidi,nikampigia yule dalali wa mwanzo alionambia 30,000 kwa gunia,nae nahisi alishajua kuwa nimekosa mwelekeo,akanambia kwa muda huo ananunua gunia 1 kwa 27,000,nikaona hawa wananichanganya.nilishachanganyikiwa,nikauza mzigo wote pale sokoni kwa 28,000 kila gunia,nikalipa gari LA watu nikaachana nao,
Kwa hasara niliopata akili haikua inafanya kazi vzr,gunia nimenunua sh 45,000 hadi zinafika arusha plus vibega na usafiri ilikuwa ishakula kama 49,000 kila gunia,tukapakia tena mzigo kuuleta mwanza Mara usafiri Mara vibega ilifika kama sikosei 55,000 au 56,000 kwa kila gunia toka nimenunua kwa mahesabu yangu kama cjakosea,Leo baada ya kusota nayo sana nakuja kuuza kwa gunia sh 28,000.nimerudisha nusu ya pesa na nyingine nusu imepotea kwa kufanya biashara nisiyoijua.nakumbuka hadi muda huo kwenye huo mzigo nilitumia almost km milioni 6.5 nikabakisha akiba milioni 5.5 kwenye ile pesa yangu ya biashara na baada ya kuuza mzigo nilipata milioni 3.4,ukijumlisha na ile akiba ya 5.5 nikawa na kama Tisa kasoro kidogo sana,tatu nzima imeteketea within 3 weeks,nikaona hii sio biashara kabisa...
Nikasema sasa nitutulize kichwa nikapanda gari hadi dar nikaangalie fursa nyingine huko.nikafikia lodge moja tulikua tunapenda kufikia kipindi nipo na safari za kikazi za serikalini,hii lodge IPO kamanyola sinza,inaitwa mti mmoja,nadhani wengi mnaijua hasa watu wa serikalini wa mikoani enzi zile shughuli za kiserikali bado zikiwa dar hapa mahali watu wengi walikua wanapapenda sana,cjui kwa nn wakati ni pa hovyo tu,hii lodge IPO karibu na Mugabe sec.Bac nikafika ubungo ucku SAA sita kasoro na KISBO kutoka mwanza,nikachukua boda hadi hapo Mti mmoja Lodge, nikapata chumba kizuri tu chenye AC,nilikua Nina njaa,nikashuka chini pale wana bar na wanauza chakula,nikaagiza kuku nusu na ndizi choma 6.
Zikaja nikazishambulia chap chap na maji kubwa nikashushia,nikataka nikalale akili ikakataa,nikachukua namba za Dada wa lodge na kumwomba nikirudi kama wamelala nitampigia anifungulie,akakubali.
Hapo kichwa kinanituma nikalewe,na imani yangu ya kiislamu tunakatazwa tusinywe pombe lkn kichwa kimeshapata moto muda huo,nahisi nilipata depression ya hali ya kupitiliza na ninamshukuru Mungu ckupata jaribu LA kujitoa uhai kwa niliyoyapitia,.
Nilikuja kugundua kuwa tukikaa maofisini tunajisahau sana kuchangamsha akili kwenye biashara,tumekomaa na vimshahara tu na vimikopo basi tunaridhika kabisa.naomba niwaase ndugu zangu ambao bado mpo kwenye utumishi kuwa msitosheke na mshahara na vimikopo vya Benki tu,fungueni vibiashara na mjishughulishe na biashara nyingine ndogo na zakati,hata kama unajiwekea akiba ya kutosha ila usisubir cku ukiwa huna kazi ndio uanze biashara,utajikuta unaanza biashara kwa mhemko bila mpango kazi madhubuti na kuangukia pua kama Mimi,ukianza hio biashara ukiwa kazn utazielewa channel zote haraka,utajua faida na hasara zinakujaje,..mm nashukuru Mungu nilipataga akili ya kumfungulia wife duka,japo halikua kubwa sana maana lilikua na msingi wa kama 5m,na baada ya Mimi kwenda jela nikakuta mtaji umepungua sana,nahisi ni sababu alikua anatoa matumizi yote ya nyumbani pamoja na ada za wtt.Ckumlaumu ila baada ya kuuza ile porte yangu nilimuongezea mtaji wa 2m,ndio nikabakisha 12m pamoja na pesa nilizoongezwa na ndugu zangu na mama pia,...
Ndugu walipambana kuhakikisha nasimama mwenyewe kwenye vibiashara vyangu maana walitambua hatari endapo nitazongwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza kazi.ile 12m ndio nikaanza nayo kuifanyia biashara ya mazao iliyoniangusha anguko LA kubwa.hapa sikuwaambia kuwa hadi napelekwa jela na kufukuzwa kazi nilikua Nina akiba yangu 8.3m ambayo hii ckuigusa hadi sasa na wala ckuiingiza kwenye biashara,hii niliiacha kama akiba endapo biashara zitakwama,na pesa huyo nilichukuaga mkopo benk sh 10m nikiwa kazini,nikazichezea chezea tu bila chochote cha maana hadi zikabaki hizo 8.3m,kwenye hio 8.3m ndio nilitoa hapo 2m nikaongeza kwenye mtaji wa wife dukani kwake na hadi sasa ile akiba yangu ilikua inasoma 6m ambayo sijaigusa for emergency. Ile pesa niliouza mahindi Kule mwanza niliweka kwenye akaunti yangu ya CRDB ambayo ndio naitumia akaunti hiyokwa biashara,tofauti na ile akiba yangu ya 6m IPO NMB,nilibakisha laki 2 tu mfukoni baada ya kukata ticketing ya KISBO kuja dar.........
...........Basi nikatoka pale lodge ya mti mmoja ucku km SAA saba kasoro nikiwa kama na laki na sitini mfukoni,nikasogea barabarani nikachukua boda,nikamwambia anipeleke kona bar ,lengo langu nikalewe.hapo kumbuka cjawahi kulewa kwa zaidi ya miaka17 iliyopita,Mara ya mwisho kulewa na kuvuta sigara na bangi ilikua ni mwaka 2001 nikiwa ndio namaliza chuo,Leo ni mwaka 2018 naenda kulewa eti kutoa stress, nikanunua pakti LA embassy na kibiriti cha gesi kisha tukaendelea na boda wangu hadi kona bar,..nikashuka hapo nikaingia ndani,nikaona bia km zitanichelewesha,nikaagiza kvant ndogo na glasi nikakaa pembeni nikaanza kuinyonya taratibu,ckuweza kuongeza nyingine maana nilishakua hoi,SAA Tisa nikatafuta bajaji ikanirudisha mti mmoja kulala,nikafunguliwa nikaingia kulala Niko top😇,angalau sasa hapo kichwa kimerelax na kusahau kwa muda machungu,nikalala fofofo hadi nagongewa mlango na wafanya usafi SAA tano kasoro asbh,nikaamka nikaoga na kusepa jumla pale mti mmoja,ckutaka kurudi tena pale jioni.
..........itaendelea........
 
Sehemu ya mwisho...........
........................

Nikatoka pale mti mmoja nikiwa sina hata ninapokwenda,yani sina plani yyt wala sielewi chochote cha kufanya,nikatoka pale kwa kamanyola nikaamua kuchanja kwa miguu hadi bamaga,bamaga nikakata kulia ile njia inayopita mabatini moja kwa moja,nikatembea kwa miguu hadi Biafra, muda huo nafika Biafra ni mchana SAA tisa,nikaingia kwa wakala nikatoa laki 3 crdb,nikapanda boda kurudi sinza tena maana nishachoka kutembea kwa miguu,nikafika mahali nikaona kibao cha massage nikaingia.kufika ndani nakuta mabinti kibao wote nusu uchi,udenda ukanitoka,nikaulizia bei ya massage nikatajiwa,nikalipa 40,000,nikaingia na mdada chumbani,akanipiga massage yake na baada ya kuona nimezidiwa akadai 30,000 ya nyongeza ili anipe tunda,ckubisha nikatoa,nikapewa goli 1 kwa elfu 30 na massage 40,jumla 70,nimetoka pale nyege zimeisha ndio najilaumu kwamba nimepoteza 70k hv hv,kwa kupata goli 1,muda huo SAA 11 jioni cjala chochote zaidi ya supu nilikunywa muda ule natoka mti mmoja,....nikachukua boda hadi mawasiliano nikapanda gari za tabata,nikashuka bima,nikatafuta lodge nzuri pale nikapata ya elf 30,000.nikatoka nikaenda zangu kwetu pazuri,nikaagiza kuku mzima bila ndizi choma wala ugali,nikamchakata akaisha nikashusha maji kubwa.
Muda huo SAA 12 jioni,
Nikaagiza Serengeti lite bariidi nikaanza kuzishusha,nikanogewa,nilizishusha sijui ngapi hata sikumbuki idadi,...ila zaidi ya kumi na kuendelea,...... Sasa nimelewa,nikatamani kutafuta demu nikaogopa ataniibia maana nishalewa.SAA tano ucku nikatafuta bajaji ikanirudisha kulala Lodge,
Cku inayofuata nikaona hapa dar kwa stress nilizonazo nitakula hii hela hadi iishe bila kufanya chochote,....nikampigia jamaa mmoja tulifanyaga nae kazi kipindi cha nyuma,nikamuuliza alipo akanambia yuko kwao Dodoma wilaya ya chemba anapambana na kilimo,...huyu jamaa yy alitumbuliwa na Magu kwa kufoji cheti 2017,na Mimi nikatimuliwa kwa makosa ya kizembe na kusababisha eti wao wanasema hasara kwa serikali kwa kuingia mkataba mbovu,mkataba wenyewe ulikuwa unahusu jamaa mmoja aliekuwa ana supply vifaa vya ofisi,na kweli kwenye ile ishu nilipiga hela kidogo kama milioni 2 ila wao wakanambia nimesababisha hasara ya 18 milioni,nikaishia jela miezi kadhaa na kazi nikakosa,.
Bac huyu jamaa aliitwa sele,sele nikamwambia bwana nimejiingiza mwenye biashara ya mazao imenipiga hasara kubwa,....sele akanambia niachane na biashara,akanishawishi niende chemba nikakodi mashamba tulime,na yy akaahidi kunisaidia ushauri maana yy ni mzoefu kiasi..cku inayofuata nikapanda basi zinazoenda hadi babati kutoka dar,...nikashuka chemba pale SAA tisa mchana,jamaa akanipokea vzr tu.jioni tukakaa mahali na kupanga mipango yetu,akanambia kuwa sasa tuwahi mashamba kabla hayajapanda bei za kukodi,kwa wakati huo tulipata sh 20,000 kwa kila heka,nikachukua heka 40 kwa sh laki 8,tukaanza kuandaa shamba kwa kusafisha.baadae tukatulia kusubiri msimu wa mvua uanze tulime na kupanda,...wakati tukisubiri msimu wa mvua nikaondoka kwanza kurudi home arusha kusalimia familia,....
Dah jamani ukimtegemea Mungu kwa kweli unafanikiwa sana,nimefika Arusha nikakuta wife biashara imekubali kweli kweli,duka limependeza na ile 2m nilomuongezea ameongeza vitu vingi ambavyo hakuwa navyo mwanzo,na biashara ilikua inatoka kweli kweli,wife akanambia napoteza muda tu kuzunguka mwenye mabiashara yanayonipa hasara wakati pesa IPO pale pale mjini,akanishauri sana nifungue duka lingine tofauti na like lake na kujaza Mali kisha kila mmoja asimame na duka lake,nikamwambia kuwa nishaingiza pesa nyingi kwenye kukodi shamba na kulisafisha,tukashauriana na wife kuwa baada ya kuvuna na kuuza bac nirudi mjini nikawekeze zaidi,ukweli nilitamani kuanza biashara kama ya wife maana kwa Siku nilozokaa nae pale dukani kwake nilishuhudia mauzo yake yalivyo mazuri.
Cku zilienda hatimae msimu wa kilimo ukawadia,nikafunga safari kurudi chemba kwenye kilimo,tulipanga kupanda alizeti na mahindi.nikaingiza trekta shambani kulima,on kanunua mbegu na kupanda,nikaendelea na matunzo ya shamba hadi kupalilia na kuvuna,mavuno hayakuwa mazuri sana kiasi cha kupata faida nzuri,baada ya kuvuna ckutaka kupoteza muda nikauza mazao,kwa msoto wote niliopata shambani nikaambulia faida ya sh laki 8 pekee,nilikua naandika kila shilingi niliyotumia hadi nauli za basi,chakula na malazi,mwisho wa cku naambulia faida ya laki 8 kwa miezi zaidi ya 6,nikashukuru Mungu kwa hicho kidogo maana angalau hela ilirudi,
Nikaondoka kurudi mjini,nikakuta wife kwa biashara yake ile ndogo ametengeneza faida ya milioni na laki 4 kwa kipindi mm nipo nahangaika na shamba lililonipa faida ya laki 8 pekee,hio milioni na laki 4 ya wife ni faida alotengeneza tofauti na mtaji matumizi ya nyumbani.
Nikaanza kutafuta fremu nzuri iliopo site nzuri ya kazi.nikapata maeneo ya Shamsi,fremu nzuri tu nikalipa kodi ya mwaka,nikafungua duka LA nafaka,.....nauza mchele wa magugu,wa kahama,na wa mbeya,nauza maharage ya sina mbalimbali,nauza choroko,kunde,ufuta,ulezi,karanga,mahindi,na unga wa mahindi,nauza pia njugu,unga wa ngano,mafuta ya alizeti,dagaa,na vingine vingine.nilipata shida kidogo kukusanya mahitaji ila baadae nikajaza kila kitu,hio ilikua 2019 mwezi wa 7,kazi nikawa napiga mwenyewe,na kazi ikaenda vizuri sana,nikatafuta kijana wa kunisaidia ambae alikua shemeji yangu mdogo ake wife.Nikarudi kufanya ibada zilizonyooka,kifupi nikamrudia Mungu baada ya kuona nimetulia na hela inaingia....
Akiba Benki nikabakisha milioni 2 tu,zingine zote nikaingia dukani,jamani asikwambie MTU Mungu ukimtegemea anakuokoa,nilishakata tamaa kabisa ya maisha baada ya kwenda jela...,Sasa hivi mtaji umekuwa mkubwa hadi nafata Mali mwenyewe,kama mchele napiga simu kahama natumiwa hadi tani 10.hela kiukweli imeongezeka sana na usafiri nimenunua mwaka huu mwez wa 3,japo nimenunua gar ya kawaida tu raum lakini inanisaidia sana,...Mambo yakienda hivi natarajia mwisho wa mwaka nifungur duka lingine LA nafaka mtaa mwingine maana nataka zinalipa,MTU hawezi kushinda na njaa,lazima atakuja kununua tu chakula,tofauti na maduka ya vitu kama nguo,nguo MTU akiwa hana pesa atavaa nguo za zamani ila chakula atakopa hata pesa anunue chakula cku ziende,nawashauri wadau mjaribu hii biashara,ukiangalia faida yake ni ndogo ila inauzika sana,unajikuta jioni mauzo yako ni laki 4 hadi 4.5,ukitoa mtaji hapo faida inachezea 50-70 kwa cku,ni pesa nzuri sana,wife nae hakosi faida ya 30 kwa cku,maisha yanasonga kwa Uwezo wake Allah.Nilikuja kumuomba wife msamaha kwa yote machafu nikimfanyia nae akanisamehe na kusema nizidishe kuomba msamaha kwa Mungu maana ndio nimemkosea zaidi.
Eti cku moja mwaka huu mwanzoni yule Sauda akanitafuta tena,cjui anatoaga wapi namba zangu huyu Dada,akadai yupo arusha na amenimisi,akaomba tuonane,nikajua hapa narudishwa tena kule kule kwenye mabalaa na manuksi ya wake za watu,nilimfokea sana kwenye cm,nikamwambia we mwanamke koma kabisa kunitafuta,kwa tulia na ndoa yako na umuheshimu mumeo,mm sio yule wa miaka ya nyuma tena km ulivyozoea,mm nimerudi kutenda mema na nikaomba asipige namba zangu maana zitaanza kuleta vishawishi,wanawake wengine cjui wakoje jamani,akawa hasikii na kuzidi kunisumbua hadi nikamtukana matusi ndio akakoma(Mungu nisamehe kwa kumtukana),...ilikua sina jinsi ya kufanya maana alitaka kunizoea,...
Namshukuru Mungu hadi hapa nilipo na ninatamani Mungu anisamehe kwa maovu niliyofanya.
Nawashauri vijana wenzangu na wakubwa zangu na wadogo zangu waume kwa wanawake,tujifunze kuheshimu ndoa zetu na ndoa za watu wengine,tuzihifadhi tupu zetu pia.
Majanga mengine ktk maisha huwa yanakuja kwa mikosi na lawama za watu wengine tunaowadhulumu,kudhulumu sio lazima udhulumu Mali tu,Bali hata kuzini na mke wake au muwe wake pia umemdhulumu,..
Nimependa kuwashirikisha ili atakaejifunza na wajifunze,asije kupita nikipopita mimi na kupata madhara kama yangu au makubwa zaidi yangu,Mimi Mungu aliniepusha kuuwawa,kufanyiwa unyama wa kudhalilishwa na pia aliniepusha na maradhi japo alichapa fimbo ya kuniadhibu kimaisha lakini nimetubu kwa dhati na sasa naona nafuu ya maisha.
Asanteni sana kuwa kushiriki pamoja,na ninawaomba mjifunze kutokana na matukio hayo,msisome tu kama burudani na kisha mkaja kupita nilipopita ndugnizangu.Leo nimeutua mzigo mzito
Naweka kalamu chini...
Amani ya Mungu iwe nanyi.
 
Inaendelea........6
.............................
Pale nilipokua nafanya kazi nikaja kuacha kazi baadae,niliacha kazi maana nilipata ajira serikalini ila ktk mji ule ule nilokua naishi,.
Kwa elimu Yangu na uzoefu nilokua nao nashukuru Mungu niliajiriwa serikalini na kupata nafasi nzuri tu,nafasi ambayo nilikua Nina watu wa chini yangu wengi ambao waliniona kama bosi wao japo sikua bosi mkubwa ila niliwaongoza na kuwapangia majukumu wengi nilowakuta pale,nilifanya kazi vizuri na kujifunza mengi zaidi na nilikua na ushirikiano mzuri baina ya walio chini yangu na juu yangu pia.
Nakumbuka baada ya miezi sita nilipata mteja ofisini kwangu ambae alikua mdada amezaliwa mwaka 1989,Huyu aliitwa Hawa,Hawa alikua binti mzuri,mrefu,mweupe,ana umbo kubwa kiasi,amefungasha mzigo sio wa kitoto,pamoja na kuwa alikuja amevaa gauni LA kitenge lakini umbo lake na msambwanda vilionekana vizuri,baadae nilikuja kumtambua kuwa ni mzaliwa wa mkoa wa Dodoma,alijifunga ushungi wake mzuri.
Nilimkaribisha nae alikuja kwangu kulalamika kuwa mtendaji wa chini yangu anamzungusha kila cku anapokuja na hashughulikii tatizo lake,tatizo lake lilihitaji MTU afike kwake na kuangalia eneo lake kisha kutoa maamuzi,tatizo hilo lilihitaji mtaalamu wa mambo ya afya maana alikua anasumbuana na majirani waliokua wanatiririsha maji machafu kuja upande wa kiwanja chake,Alisha sumbuana sana na afisa mtendaji wa mtaa wake lkn inavyonyesha mtendaji wake hakuweza kumsaidia hivyo akaamua kuja ofisini napo akakutana na MTU anamzungusha tu bila kuchukua hatua,..Mimi sikua MTU wa idara ya afya ila Nilikua na uwezo wa kumuamrisha MTU wa afya akacheki tatizo kwa huyu Dada,.
Nilimsikiliza tatizo lake kisha nikamwomba nilishughulikie,akaniomba namba zangu kisha akaondoka.
Cku ya tatu toka afike ofisini akanipigia kuuliza km nimeweza kufanya chochote,kiukweli sikufanya chochote ila nikamwomba aje ofisini cku inayofuata asubuhi.Nilivutiwa na umbo lake japo ckutamani kuanzisha mahusiano ila tu nilitaka nimwone tena uzuri wake,.Cku inayofuata SAA tatu kamili Hawa huyu hapa ofisini kwangu,tukasalimiana kisha nikamwambia tutaondoka wote kwenda kwenye eneo lake,alifurahi kwakweli.,nikapiga cm kwa kijana mmoja afisa afya nikamwita ofisini akaja,nikamwambia tutaondoka Mimi na yeye na Hawa kwenda kucheki tatizo kwenye eneo lake,nikampigia simu afisa mtendaji wa mtaa wake na kumwambia kuwa tunampitia ofisini kwake kuna mwanachi wake kaleta malalamiko ofisini kwa mkurugenzi.
Tukatoka ofisini kwa kutumia gari ya ofisi hadi ofisini kwa mtendaji wa mtaa wake Hawa,tukaondoka hadi nyumbani kwake,ilikua mtaani tu uswahilini kwenye kanyumba flani kadogo kadogo kamechakaa sana,hata umeme hakana,....
Tulivyofika akaeleza tatizo lake pale,na mtendaji akakiri kuwa analifahamu hilo tatizo ila bado alikua analifanyia kazi,mtendaji akasema kwa kuwa wote na afisa afya wako pale Leo basi watashughulika na kutoa maamuzi,..
Tukaenda kwa wale majirani wa Hawa na afisa afya na mtendaji wakapiga mkwara mzito kuwa kufika Leo SAA Tisa pale pawe pakavu na wakikuta maji machafu bado yanatiririkia kule kwa jirani yao watarudi kupiga faini kubwa kwa uchafuzi wa mazingira.Hawa alishukuru sana na kutaka kutoa sh 40,000 kama shukrani ili tukanywe supu akimaanisha elfu kumi kwa kila mmoja,(Mimi,mtendaji,afisa afya na dereva wetu).
Nikamkatalia na kumwambia ile ni kazi yetu na hapaswi kutulipa,akajaribu kunishawishi lkn nikagoma,na wakati huo akinambia alikua ananitext kwenye cm yangu ili wale wengine wasishtukie.Baadae tulimwacha pale na kumwambia kama kuna lolote basi awasiliane na mtendaji wake na asipomsikiliza anicheki mimi.Ishu ya Hawa ikawa imeishia hapo nasi tukarudi kuendelea na mambo mengine.
Baada ya cku 2 Hawa akanipigia cm kunishukuru sana kwa msaada niliompa,ila kuna kitu nilijiuliza,binti mzuri kama yule anakaaje kwenye kale kanyumba kabovu vile?,kapo uswahilini,choo kibovu hakijapauliwa wala hakina mlango,na hata umeme na maji hakuna,binti mwenyewe mzuri,anajipenda na anaonekana anafanya kazi zuri tu.
Ikabidi nimuulize kama ana nafasi aje ofisini,nae akakubali akijua ni masuala ya kule kwake.
Alipofika baada ya kusalimiana na maongezi mawili matatu nikamuuliza pale tulipokwenda ni nyumbani kwake?..Akajibu kuwa ile ni nyumba ya urithi wa mama yake,baba yàke alifariki muda mrefu yeye akiwa shule ya msingi na mama yake amefariki mwaka uliopita,akasema yeye ni mtoto pekee na hana Dada wala kaka wala wadogo zake wa kuzaliwa tumbo moja,na baada ya mama yake kufariki basi nyumba ile ya mama yake yeye ndio anaimiliki na aliamua kuweka mpangaji maana yeye haishi pale bali amepanga mahali pengine.Akafunguka zaidi kuwa sasa anafanya kazi kwenye shirika moja pale mjini ila sipendi kulitaja hapa.Akanikaribisha kwake jioni nikitoka kazini maana nimemsaidia sana.
Jioni kweli nilipotoka kazini akanielekeza kwake nikafika na ka Toyota Porte kangu,.Nikaingia hadi ndani..
Kwake palikua pazuri sana tu,na alipanga chumba na sebule.
Kitu cha kwanza nikauliza hapa unaishi na nani?.....
Wanawake bwana?.....Mungu anawaona,
Akajibu pale anaishi mwenyewe,...akadai kuwa aliolewa na jamaa ila wakaachana muda mfupi tu na sasa anaishi mwenyewe,Nikapenda sana jinsi anavyoishi,kwenye TV kaweka channel ya dini panasomwa quran,mezani nikaona msahafu wa tafsiri akasema huwa anasoma akiwa hana kazi nyingi jioni.Tukaongea sana hadi SAA mbili ucku,nikamweleza kuwa Mimi Nina mke.
Akapika nyama na ugali tukala,nikajiachia kama baba mwenye nyumba.Baadae nikaaga na kuondoka kwenye SAA mbili na nusu.
Basi tukaendelea kuwasiliana Mara kwa Mara na tukazoeana sana.Akanikaribisha tena kwake jioni nyingine nije nimpe kampani maana anadai yupo bored sana,nikaenda kweli.
Tukapiga stories nyingi,akapika nikala,huku akinisifia kuwa mkewangu anafaidi sana,hapo ndio akapandisha mashetani yangu ya NGOno.nikajikuta narusha mistari Mara kabla cjafika mbali akaja karibu yangu na kunipapasa paja huku akiniambia nisiendelee kusema mengi,yeye akadai alishavutiwa nami tangu pale nilipoonyesha busara na kumsaidia kwenye suala lake,tukaacha maongezi na kuanza kudendeka Mara tunatoana nguo pale pale sebuleni Mara akakamata koni na kuinyonya vizuri,Mara kidogo akaikalia...Aloo tulikulana kavu kavu cku ile na Hawa maana ckujiandaa kwenda kula MTU na hivyo sikua na zana(Nashukuru Mungu alikua mzima maana nilikuja kupima miezi ya mbele),Kiukweli Hawa anajua mapenzi bwana,mtoto chuchu hazijanyonywa na mtoto bado,mtoto yupo tight hatari,nikajikuta SAA tano inanikuta pale ikabidi niage na kuondoka.nikafika home na kuleta uongo wangu bahati mzuri nikaeleweka............
........itaendelea soon
Hii story kama nimeisoma kuna uzi wake special nahis kwenye Kula kimasihara hii kitu nmeiona ama kama sio huko bas ina thread yake
 
Sehemu ya mwisho...........
........................

Nikatoka pale mti mmoja nikiwa sina hata ninapokwenda,yani sina plani yyt wala sielewi chochote cha kufanya,nikatoka pale kwa kamanyola nikaamua kuchanja kwa miguu hadi bamaga,bamaga nikakata kulia ile njia inayopita mabatini moja kwa moja,nikatembea kwa miguu hadi Biafra, muda huo nafika Biafra ni mchana SAA tisa,nikaingia kwa wakala nikatoa laki 3 crdb,nikapanda boda kurudi sinza tena maana nishachoka kutembea kwa miguu,nikafika mahali nikaona kibao cha massage nikaingia.kufika ndani nakuta mabinti kibao wote nusu uchi,udenda ukanitoka,nikaulizia bei ya massage nikatajiwa,nikalipa 40,000,nikaingia na mdada chumbani,akanipiga massage yake na baada ya kuona nimezidiwa akadai 30,000 ya nyongeza ili anipe tunda,ckubisha nikatoa,nikapewa goli 1 kwa elfu 30 na massage 40,jumla 70,nimetoka pale nyege zimeisha ndio najilaumu kwamba nimepoteza 70k hv hv,kwa kupata goli 1,muda huo SAA 11 jioni cjala chochote zaidi ya supu nilikunywa muda ule natoka mti mmoja,....nikachukua boda hadi mawasiliano nikapanda gari za tabata,nikashuka bima,nikatafuta lodge nzuri pale nikapata ya elf 30,000.nikatoka nikaenda zangu kwetu pazuri,nikaagiza kuku mzima bila ndizi choma wala ugali,nikamchakata akaisha nikashusha maji kubwa.
Muda huo SAA 12 jioni,
Nikaagiza Serengeti lite bariidi nikaanza kuzishusha,nikanogewa,nilizishusha sijui ngapi hata sikumbuki idadi,...ila zaidi ya kumi na kuendelea,...... Sasa nimelewa,nikatamani kutafuta demu nikaogopa ataniibia maana nishalewa.SAA tano ucku nikatafuta bajaji ikanirudisha kulala Lodge,
Cku inayofuata nikaona hapa dar kwa stress nilizonazo nitakula hii hela hadi iishe bila kufanya chochote,....nikampigia jamaa mmoja tulifanyaga nae kazi kipindi cha nyuma,nikamuuliza alipo akanambia yuko kwao Dodoma wilaya ya chemba anapambana na kilimo,...huyu jamaa yy alitumbuliwa na Magu kwa kufoji cheti 2017,na Mimi nikatimuliwa kwa makosa ya kizembe na kusababisha eti wao wanasema hasara kwa serikali kwa kuingia mkataba mbovu,mkataba wenyewe ulikuwa unahusu jamaa mmoja aliekuwa ana supply vifaa vya ofisi,na kweli kwenye ile ishu nilipiga hela kidogo kama milioni 2 ila wao wakanambia nimesababisha hasara ya 18 milioni,nikaishia jela miezi kadhaa na kazi nikakosa,.
Bac huyu jamaa aliitwa sele,sele nikamwambia bwana nimejiingiza mwenye biashara ya mazao imenipiga hasara kubwa,....sele akanambia niachane na biashara,akanishawishi niende chemba nikakodi mashamba tulime,na yy akaahidi kunisaidia ushauri maana yy ni mzoefu kiasi..cku inayofuata nikapanda basi zinazoenda hadi babati kutoka dar,...nikashuka chemba pale SAA tisa mchana,jamaa akanipokea vzr tu.jioni tukakaa mahali na kupanga mipango yetu,akanambia kuwa sasa tuwahi mashamba kabla hayajapanda bei za kukodi,kwa wakati huo tulipata sh 20,000 kwa kila heka,nikachukua heka 40 kwa sh laki 8,tukaanza kuandaa shamba kwa kusafisha.baadae tukatulia kusubiri msimu wa mvua uanze tulime na kupanda,...wakati tukisubiri msimu wa mvua nikaondoka kwanza kurudi home arusha kusalimia familia,....
Dah jamani ukimtegemea Mungu kwa kweli unafanikiwa sana,nimefika Arusha nikakuta wife biashara imekubali kweli kweli,duka limependeza na ile 2m nilomuongezea ameongeza vitu vingi ambavyo hakuwa navyo mwanzo,na biashara ilikua inatoka kweli kweli,wife akanambia napoteza muda tu kuzunguka mwenye mabiashara yanayonipa hasara wakati pesa IPO pale pale mjini,akanishauri sana nifungue duka lingine tofauti na like lake na kujaza Mali kisha kila mmoja asimame na duka lake,nikamwambia kuwa nishaingiza pesa nyingi kwenye kukodi shamba na kulisafisha,tukashauriana na wife kuwa baada ya kuvuna na kuuza bac nirudi mjini nikawekeze zaidi,ukweli nilitamani kuanza biashara kama ya wife maana kwa Siku nilozokaa nae pale dukani kwake nilishuhudia mauzo yake yalivyo mazuri.
Cku zilienda hatimae msimu wa kilimo ukawadia,nikafunga safari kurudi chemba kwenye kilimo,tulipanga kupanda alizeti na mahindi.nikaingiza trekta shambani kulima,on kanunua mbegu na kupanda,nikaendelea na matunzo ya shamba hadi kupalilia na kuvuna,mavuno hayakuwa mazuri sana kiasi cha kupata faida nzuri,baada ya kuvuna ckutaka kupoteza muda nikauza mazao,kwa msoto wote niliopata shambani nikaambulia faida ya sh laki 8 pekee,nilikua naandika kila shilingi niliyotumia hadi nauli za basi,chakula na malazi,mwisho wa cku naambulia faida ya laki 8 kwa miezi zaidi ya 6,nikashukuru Mungu kwa hicho kidogo maana angalau hela ilirudi,
Nikaondoka kurudi mjini,nikakuta wife kwa biashara yake ile ndogo ametengeneza faida ya milioni na laki 4 kwa kipindi mm nipo nahangaika na shamba lililonipa faida ya laki 8 pekee,hio milioni na laki 4 ya wife ni faida alotengeneza tofauti na mtaji matumizi ya nyumbani.
Nikaanza kutafuta fremu nzuri iliopo site nzuri ya kazi.nikapata maeneo ya Shamsi,fremu nzuri tu nikalipa kodi ya mwaka,nikafungua duka LA nafaka,.....nauza mchele wa magugu,wa kahama,na wa mbeya,nauza maharage ya sina mbalimbali,nauza choroko,kunde,ufuta,ulezi,karanga,mahindi,na unga wa mahindi,nauza pia njugu,unga wa ngano,mafuta ya alizeti,dagaa,na vingine vingine.nilipata shida kidogo kukusanya mahitaji ila baadae nikajaza kila kitu,hio ilikua 2019 mwezi wa 7,kazi nikawa napiga mwenyewe,na kazi ikaenda vizuri sana,nikatafuta kijana wa kunisaidia ambae alikua shemeji yangu mdogo ake wife.Nikarudi kufanya ibada zilizonyooka,kifupi nikamrudia Mungu baada ya kuona nimetulia na hela inaingia....
Akiba Benki nikabakisha milioni 2 tu,zingine zote nikaingia dukani,jamani asikwambie MTU Mungu ukimtegemea anakuokoa,nilishakata tamaa kabisa ya maisha baada ya kwenda jela...,Sasa hivi mtaji umekuwa mkubwa hadi nafata Mali mwenyewe,kama mchele napiga simu kahama natumiwa hadi tani 10.hela kiukweli imeongezeka sana na usafiri nimenunua mwaka huu mwez wa 3,japo nimenunua gar ya kawaida tu raum lakini inanisaidia sana,...Mambo yakienda hivi natarajia mwisho wa mwaka nifungur duka lingine LA nafaka mtaa mwingine maana nataka zinalipa,MTU hawezi kushinda na njaa,lazima atakuja kununua tu chakula,tofauti na maduka ya vitu kama nguo,nguo MTU akiwa hana pesa atavaa nguo za zamani ila chakula atakopa hata pesa anunue chakula cku ziende,nawashauri wadau mjaribu hii biashara,ukiangalia faida yake ni ndogo ila inauzika sana,unajikuta jioni mauzo yako ni laki 4 hadi 4.5,ukitoa mtaji hapo faida inachezea 50-70 kwa cku,ni pesa nzuri sana,wife nae hakosi faida ya 30 kwa cku,maisha yanasonga kwa Uwezo wake Allah.Nilikuja kumuomba wife msamaha kwa yote machafu nikimfanyia nae akanisamehe na kusema nizidishe kuomba msamaha kwa Mungu maana ndio nimemkosea zaidi.
Eti cku moja mwaka huu mwanzoni yule Sauda akanitafuta tena,cjui anatoaga wapi namba zangu huyu Dada,akadai yupo arusha na amenimisi,akaomba tuonane,nikajua hapa narudishwa tena kule kule kwenye mabalaa na manuksi ya wake za watu,nilimfokea sana kwenye cm,nikamwambia we mwanamke koma kabisa kunitafuta,kwa tulia na ndoa yako na umuheshimu mumeo,mm sio yule wa miaka ya nyuma tena km ulivyozoea,mm nimerudi kutenda mema na nikaomba asipige namba zangu maana zitaanza kuleta vishawishi,wanawake wengine cjui wakoje jamani,akawa hasikii na kuzidi kunisumbua hadi nikamtukana matusi ndio akakoma(Mungu nisamehe kwa kumtukana),...ilikua sina jinsi ya kufanya maana alitaka kunizoea,...
Namshukuru Mungu hadi hapa nilipo na ninatamani Mungu anisamehe kwa maovu niliyofanya.
Nawashauri vijana wenzangu na wakubwa zangu na wadogo zangu waume kwa wanawake,tujifunze kuheshimu ndoa zetu na ndoa za watu wengine,tuzihifadhi tupu zetu pia.
Majanga mengine ktk maisha huwa yanakuja kwa mikosi na lawama za watu wengine tunaowadhulumu,kudhulumu sio lazima udhulumu Mali tu,Bali hata kuzini na mke wake au muwe wake pia umemdhulumu,..
Nimependa kuwashirikisha ili atakaejifunza na wajifunze,asije kupita nikipopita mimi na kupata madhara kama yangu au makubwa zaidi yangu,Mimi Mungu aliniepusha kuuwawa,kufanyiwa unyama wa kudhalilishwa na pia aliniepusha na maradhi japo alichapa fimbo ya kuniadhibu kimaisha lakini nimetubu kwa dhati na sasa naona nafuu ya maisha.
Asanteni sana kuwa kushiriki pamoja,na ninawaomba mjifunze kutokana na matukio hayo,msisome tu kama burudani na kisha mkaja kupita nilipopita ndugnizangu.Leo nimeutua mzigo mzito
Naweka kalamu chini...
Amani ya Mungu iwe nanyi.
Mkuu unahisi mume wa hawa alikufanyia kanyambazongo!??
 
Hii story kama nimeisoma kuna uzi wake special nahis kwenye Kula kimasihara hii kitu nmeiona ama kama sio huko bas ina thread yake
Labda visa vimefanana tu mkuu,si unajua duniani hapa hakuna ambacho utakifanya ukidhani ni kipya kumbe wenzako walishafanya cku nyingi,hii imenitokea ktk maisha yangu halisi,na haijatungwa kufurahisha genge mkuu
 
Mkuu unahisi mume wa hawa alikufanyia kanyambazongo!??
Nilikua nafikiri hivyo mwanzoni maana nilishaambiwa kuwa jamaa anapenda sana ushirikina,hata Hawa mwenyewe alinambia kuwa jamaa anahusudu sana hayo mambo,lkn baadae nilipomrudia Mungu na mambo yangu kukaa sawa nikaamini kuwa Yale mambo ni kadar tu Mungu alinipangia kupitia kwenye majaribu ila mwishoni nimefanikiwa kuyashinda japo yalinisumbua mwanzoni
 
Nawashauri vijana wenzangu na wakubwa zangu na wadogo zangu waume kwa wanawake,tujifunze kuheshimu ndoa zetu na ndoa za watu wengine,tuzihifadhi tupu zetu pia.
Majanga mengine ktk maisha huwa yanakuja kwa mikosi na lawama za watu wengine tunaowadhulumu,kudhulumu sio lazima udhulumu Mali tu,Bali hata kuzini na mke wake au muwe wake pia umemdhulumu,..

Amani ya Mungu iwe nanyi.
Hapa natakiwa kupaprint na kupaweka kwenye fremu na kuning'iniza ukutani.
 
Ahsante sana mkuu Kelebe kwa kutushirkisha uzoefu huu.

Funzo limelipata ipasavyo.

Namuombea mke wako aendelee kuwa na ucha Mungu huo. Mwenyezi Mungu amjalie umri mrefu kadri ya mapenzi yake uliojaa hekima, busara, upendo, amani, pamoja na uvumilivu wa hali ya juu zaidi ya huu alionao kwa sasa.
 
Back
Top Bottom