Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

Mkuu lete mzigo wote hapa, bado tunanguvu za kusoma. Lakini pia itatoa fursa ya kuweza
kukushauri vizuri!
Ingawa kutokana na hiki ulichoandika naweza kukushauri ni kuwa, achana mahusiano kabisa na hao mademu, ni wazi wanaume hatutosheki na mwanamke mmj hata awe na sifa zote za kuitwa mke lakin ni vyema kama unachepuka chepuka kwa umakini mkubwa sana.

Una mke mzuri na mcha Mungu, una bahati sana, wengi wanaochepuka chanzo huwa ni migogoro ndani ya nyumba kutokana na mke/mume kuwa pasua kichwa, sasa wewe nyumba yako iko stable lakini bado unatafuta cha mtemakuni kwa kufanya mahusiano ya kizembe. Achana na habari za kutumiana mameseji ya mara kwa mara.

Mwisho huyo mwanamke atakapochoka atakuchia uchizi sababu atakuacha au kufanya tukio likalo acha kovu milele.
Naahukuru mkuu,yalishapita hayo,Nashukuru Mungu nilitoka salama japo kwa mbinde
 
Kiukweli wake za watu wanaliwa sana tena sana ....
narudia tena wake za watu wepesi kulika kiulaini na wanaliwa mnooooo na masela kitaa.
Jamani eee sijui kama mnanielewa yaani now days mbususu za wake za watu zinachakatwa vilivyo.
Kama umeoa shukuru sana mke wako hujamkamata ila amini nawaambia wanawake hawa ni wanjanja mno kutuzidi sisi wanaume!
 
Daah,we jamaa kiboko.Hujapata Ukimwi kweli?
Ukweli wa moyo namshukuru Mungu aliniepusha maana ningemuua mke wangu mwema,nadhani kilichosaidia ni kutumia condom sana,ni wanawake wawili tu nilienda nao kavu na namshukuru nilipita salama
 
Nenda kaendelee na majukumu yako hamna mwendelezo hapa.

Huyu mchizi alimdanganya mama yake mzazi ili kulinda uzinzi wake, sasa wewe unayesubiri ahadi ya kuwekewa mwendelezo ni nani hata usidanganywe.

Imetoka hiyo
Kuwa na imani mkuu,
 
Back
Top Bottom