Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,698
- 116,778
"Mawasiliano" kitu muhimu sanaaa katika "mahusiano"
Mimi kwa siku txt si chini ya 20!!!! Simu kama kumi hivi......!!!
Napenda mwanaume anayejali kila anapopata muda ananijulia hali ananiuliza umekula? Umevaaje,unafanya nn, umeshindaje yaani ni raha ila ndo mpaka umpate
Mmmmmh!!!
"Mawasiliano" kitu muhimu sanaaa katika "mahusiano"
Wapi? Afu unaniita kijeshi duh hata hunibembelezi?tehNjoo.....
Wapi? Afu unaniita kijeshi duh hata hunibembelezi?teh
Hahahaa ndo mawasiliano hayo..tunatofautiana afu yangu hii ni kama ile ya kukonyeza ivi kwa mkono wasisikie wengine apa si unajua
lol
Ndio nishasikia sasa!
Af ndo mko mkoa na mkoa mnapitisha 3 days hamjawasliana
Mhh kuna uchumba hapo
yaani acha tu ndg hilo ndilo ninalopitia kwa ss mda wote kichwa cha moto maan ht celew nipo upande gn
Pole maana hyo hali n mbaya inauma aisee na ukijarbu kuuliza majibu n ya mkato
umejuaje!!! cm upige ww bdo majibu ya mkato upewe na ukikat cm ht hajishughulishi kupiga. mtu km unaon hivo bora tu upembue zip chenga na upi mchele. na mtu km hakupend tn bor awe wazi tu
Uyo mwanaume wa kupiga simu Mara zote atakua hana kazi mchana.
Kuna kadada karembo nilikuanako Kanataka kakituma mesej ukajibu saiyo iyo utafkir Mimi voda.
Kanapiga xm kila SAA unashindwa Fanya kaz. Ukikapogia jioni eti kamesusa akapokei xm nyooooooooo apo nakupotezea kabisa, mid a ya kaz unaleta mapenz
Kwa mbaaalii Naona kama unafaa kuwa Karibu na Mimi.. Nikiwa kwenye Mishe za pesa hata unipigie na kunambia upo kwangu Aisee Hutaniona kabisaa
Tatizo lao hawajiamini hawa.. Yani muda ambao ww upo busy na kusaka pesa eti wanataka uwapigie.. binafsi napiga pale ninapokuwa na muda wa kufanya hivyo... Simu Sio kipimo cha kupendwa.. Unaweza Ukawa unapigiwa cmu muda wote kumbe watu wanakung'ong'a KisogoMkuu unakuta mtu upo busy na kazi mara simu inahita mara text kiukwel inapoteza kama mood...kama mtu unampenda unampenda kwani simu ndio moyo