Mahusiano na mawasiliano

MNANSO

JF-Expert Member
Jul 18, 2015
2,777
3,011
Hivi mnawezaje kupitisha siku mbili hamjawasiliana halafu mnadai kua ni wachumba? Unaanzaje kulala wakati hujui mchumba wako ameshindaje? Mawasiliano ni kitu cha msingi sana halafu ukitaka kuaminika kwa mchumba wako wa kike yaani ni bora upige simu kwa sana kwasababu wanawake wanapenda sana ku tekiwa care na visimu vya hapa na pale. Ni hilo tuu usiku wa leo
 
Af ndo mko mkoa na mkoa mnapitisha 3 days hamjawasliana

Mhh kuna uchumba hapo
 
Nipe no yako nikupigie asubuh mchana na jion kila siku lakini sio wapenz wala wachumba.
 
Hivi mnawezaje kupitisha siku mbili hamjawasiliana halafu mnadai kua ni wachumba? Unaanzaje kulala wakati hujui mchumba wako ameshindaje? Mawasiliano ni kitu cha msingi sana halafu ukitaka kuaminika kwa mchumba wako wa kike yaani ni bora upige simu kwa sana kwasababu wanawake wanapenda sana ku tekiwa care na visimu vya hapa na pale. Ni hilo tuu usiku wa leo

sio wote.......wengine hizo ni kero mara dufu..........
 
Sasa simu kila saa kama uko call center? Hiyo hofu ya kutokupigiwa simu kila muda ni insecurity, kama mtu anakupenda ni anakupenda tu. Na kama hakupendi ana buy time na kukupigia kila saa ndio unaridhika?
 
nyie wanawake/wadada kupigiwa simu sana na mwanaume/mchumba haimaanish et anakupenda sana na kutopigiwa haimaanish hakupend sana.

kuwa makin na mwanaume anaepiga sana simu,,,,wengine akiwasiliana na mchepuko ile kabla hajaingia kwenye mechi anakupigia mnaongea dk kadhaa anakuaga anaingia kwa mchepuko,akitoka hapo atazuga kwa kukupigia tena!!

binafsi siku nikimpigia sana simu mpenz wangu basi ndo siku ntakayochepuka,sasa ili kumchanganya na kumtoa focus nampigia simu za hapa na pale....

kueni makin ooohhooo
 
Back
Top Bottom