Mahusiano na mawasiliano

Napenda mwanaume anayejali kila anapopata muda ananijulia hali ananiuliza umekula? Umevaaje,unafanya nn, umeshindaje yaani ni raha ila ndo mpaka umpate

Dah,kumbe unapendaga hizo kali eeh Ladymilly. Im gifted with such talent kama niaje ni p.m kwa fasi nikupege sample!
 
Last edited by a moderator:
Wabongo MNA amini kupigiana cm hovyohovyo ndio upendo wa dhati kumbe wapi...!!!95% ya watanzania wana penda sana ngono by twaweza.
 
Pole maana hyo hali n mbaya inauma aisee na ukijarbu kuuliza majibu n ya mkato

umejuaje!!! cm upige ww bdo majibu ya mkato upewe na ukikat cm ht hajishughulishi kupiga. mtu km unaon hivo bora tu upembue zip chenga na upi mchele. na mtu km hakupend tn bor awe wazi tu
 
umejuaje!!! cm upige ww bdo majibu ya mkato upewe na ukikat cm ht hajishughulishi kupiga. mtu km unaon hivo bora tu upembue zip chenga na upi mchele. na mtu km hakupend tn bor awe wazi tu

Kabsaaa ndo cha msingi hapo kuchambua pumba,na mchele unachagua moja wapo,,,,,sema ndo unajipa moyo hali itabdilika na kurud kama zaman lkn kujifarji hvo lkn ndo kumbe haiwezekan unazd. Kupoteza mda.

Kukuambia kwa mdomo n ngumu mtu hutumia matendo
 
Uyo mwanaume wa kupiga simu Mara zote atakua hana kazi mchana.

Kuna kadada karembo nilikuanako Kanataka kakituma mesej ukajibu saiyo iyo utafkir Mimi voda.

Kanapiga xm kila SAA unashindwa Fanya kaz. Ukikapogia jioni eti kamesusa akapokei xm nyooooooooo apo nakupotezea kabisa, mid a ya kaz unaleta mapenz
 
Haa haa haa mkuu hayo n yale mmeonana jana kesho yake anataka uwepo tena hawaz kuna kaz warembo hawajuag km kuna kufanya kaz
 
Kwa mbaaalii Naona kama unafaa kuwa Karibu na Mimi.. Nikiwa kwenye Mishe za pesa hata unipigie na kunambia upo kwangu Aisee Hutaniona kabisaa

Mkuu unakuta mtu upo busy na kazi mara simu inahita mara text kiukwel inapoteza kama mood...kama mtu unampenda unampenda kwani simu ndio moyo
 
Mkuu unakuta mtu upo busy na kazi mara simu inahita mara text kiukwel inapoteza kama mood...kama mtu unampenda unampenda kwani simu ndio moyo
Tatizo lao hawajiamini hawa.. Yani muda ambao ww upo busy na kusaka pesa eti wanataka uwapigie.. binafsi napiga pale ninapokuwa na muda wa kufanya hivyo... Simu Sio kipimo cha kupendwa.. Unaweza Ukawa unapigiwa cmu muda wote kumbe watu wanakung'ong'a Kisogo
 
in 啊特个么啊呐马瓦寺怜噢 业内野味麻烦哦 卡吗 呐 location u 里哟破
 
Back
Top Bottom