Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
- Thread starter
- #21
Mkuu,ndo yale yale,unaulizwa;utamwingizaje tembo ndani ya friji?Unajibu haiwezekani!hujaulizwa kuhusu uwezekano,umeulizwa jinsi ya kumuingiza tembo ndani ya friji.Kuhusu teja amewezaje kuunda sigara moja kwa kutumia vishungi sita,haituhusu,tulijibu swali kama lilivyo!hivi ukiunganisha vichungi unapata sigara? paper imechakachuliwa swali sio lenyewe.