Mahesabu ya teja.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Teja mmoja alikuwa na tabia ya kuokoteza vishungi vya sigara(i.e vipande vinavyobaki baada ya sigara kutumika).Kwa Kila vishungi sita(6),teja aliunda sigara nzima moja(1).Siku moja teja aliokota vishungi 36,je alivuta sigara ngapi kutokana na idadi ya vishungi 36 alivyokuwa navyo.
 
kwa kuunda inabidi iwe ameunda sigara sita. ila amevuta ngapi hiyo haiko wazi. inawezekana hajavuta hata moja au amevuta kadhaa nyengine amebakisha kesho..........:becky:
 
Teja mmoja alikuwa na tabia ya kuokoteza vishungi vya sigara(i.e vipande vinavyobaki baada ya sigara kutumika).Kwa Kila vishungi sita(6),teja aliunda sigara nzima moja(1).Siku moja teja aliokota vishungi 36,je alivuta sigara ngapi kutokana na idadi ya vishungi 36 alivyokuwa navyo.

Hajavuta sigara, yeye anaunga vishungi "vinavyobaki baada ya sigara kutumika" haungi sigara, unanini wewe?
 
kama unaamini anaweza kuunga sigara kutokana na vishungi, basi vishungi 36 vitatoa sigara sita.
Ila hujazungumzia suala la kuvuta sigara. Hivyo haijulikani atavuta sigara ngapi, labda 0 au 1 n.k.
 
Alivuta sigara zote alizozitengeneza,tunatakiwa tujuwe zilikuwa ngapi,acheni ku-dodge swali wakuu!
 
(a) sigara 6
(b) sigara 36
(c) can't tell

JIBU: C
Hii ni kutokana kwamba, huenda aliunga sigara sita laikini kaitka kuvuta aka-share na mateja wenzake..kwahiyo idadi ya alizovuta haiwezi kujulikana from the information provided.
 
Teja mmoja alikuwa na tabia ya kuokoteza vishungi vya sigara(i.e vipande vinavyobaki baada ya sigara kutumika).Kwa Kila vishungi sita(6),teja aliunda sigara nzima moja(1).Siku moja teja aliokota vishungi 36,je alivuta sigara ngapi kutokana na idadi ya vishungi 36 alivyokuwa navyo.

Teja havuti sigara huyo.............angalia hapo kwenye blue ....anaokoteza vishungi vya sigara walizovuta wengine!
 
Aliunda 6 ambazo si lazima kuwa alizivuta.
Mbona mnachakachua swali wakuu,nimefafanua kwamba alivuta zote alizoweza kuziunda kutokana na mtaji wake wa vishungi 36.swali linatuhitaji tujue idadi ya hizo sigara zote alizovuta!
 
Teja mmoja alikuwa na tabia ya kuokoteza vishungi vya sigara(i.e vipande vinavyobaki baada ya sigara kutumika).Kwa Kila vishungi sita(6),teja aliunda sigara nzima moja(1).Siku moja teja aliokota vishungi 36,je alivuta sigara ngapi kutokana na idadi ya vishungi 36 alivyokuwa navyo.

Mbona mnachakachua swali wakuu,nimefafanua kwamba alivuta zote alizoweza kuziunda kutokana na mtaji wake wa vishungi 36.swali linatuhitaji tujue idadi ya hizo sigara zote alizovuta!

Mkuu hebu isome vizuri hiyo thread hapo juu.............umesema anaokoteza vipande vya sigara baada ya sigara kutumika............hakuna sehemu uliyotuambia "VISHUNGI VYA SIGARA ALIZOOVUTA YEYE MWENYEWE"...........
 
hivi ukiunganisha vichungi unapata sigara? paper imechakachuliwa swali sio lenyewe.
 
Back
Top Bottom