Elections 2010 Mahanga akamatwa na polisi, akamatwa na kura feki

Hivi mwenendo wa kura jimbo la Segerea iko je? Mwenye information yeyete tunaomba atufahamishe.
 
yah i kknow mahanga vizuri sana...
mana ni mtu wa karbu na parent wangu ... hivyo PHD yake sio ya ukweli 100%..
au nitoe ushaidi wa uakika>???

:nono::nono::nono::nono::nono:
 
Huyu kasoma kwa kuungaunga. NABOCE---NAD----CPA---CSP----Msc. Finance (IFM)-------PhD(NHC)..(National Housig Corporation)

Buhahahahahahaha watu wanamidomo mibaya jamani khaaaaaaa, mwenyekiti naye anayo ya kwakwe ya kina manyaunyau hehehehehe.
 
kwani huyu Mahanga ni chadema au CCM ? kama ni yule Makongoro Mahanga hata mimi simpendi kabisa hawa ndo wasanii wenyewe tuwachanechane tuwatupe !
 
Phd zao za bagamoyo,kwa hiyo matendo yao nayo tuyategemee hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom