Mahakama ya Kisutu yawahukumu wezi wa EPA, Maranda na Farijala miaka 22 jela

Then kosa lenye hukumu kubwa hapo ni miaka 5 so hukumu ya makosa inakwenda kwa pamoja!

Naomba confirmation ya miaka waliohukumiwa maana nimepata source nyingine inasema wamehukumiwa miaka mitano (5) kila mmoja.
 
Tatizo la Bongo, wapambe ndiyo wanadhibiwa wakati mafisadi bado wanapeta!!!!! Halafu, hao wamekula mvua kwa vile wamewachukuwa akina Marando kuwa mawakili wao. Nitaanza kuwa convised siku nikisikia akina Mramba na Yona wamepigwa mvua 20 na Patel 50!!!
 
Kaka hao ni small fish wapi big fish Kagoda? Inashangaza wizi umefanyika sehemu moja, kwa wakati mmoja yet wengine wanaenda jela just a week baada ya DPP kuomba ushahidi wa Kagoda. Where is equal justice for all? Hao watupwe Keko, but unless Kagoda wamepelekwa mahakamani EPA bado.

Na wao wakati wao utafika bro, kesi ikishakuwa mahakamani sisi tunawaachia wao waamue.

Kuna mambo mengi sana kwenye hizi kesi, stimes mambo ya ushahidi yanakwamisha I hope lakini watajitahidi kuharakisha.
 
Mkuu hapo Juu ni Maranda sio Marando
Hii ni kubwa sana sana na walipaswa kupewa kifungo kikubwa zaidi maana hii ni uhujumu uchumi


Aisee hapo kwenye red, a single digit inaweza kuwa hatari kwa kuleta maana nyingine kabisa.
 
Wamehukumiwa miaka 5 na kurudisha fedha hizo, na siyo miaka 22

What a joke?.....muhujumu uchumi ambaye matokeo ya wizi wake yamesababisha baadhi ya vifo vya watoto kadhaa na mama wajawazito sbb ya kukosa hospitali na huduma muhimu anapigwa mvua tano tu?? EPA hawana tofauti na majambazi wote walipaswa kula miaka 30 na mali kutaifishwa sio eti waje kulipa wakitoka
 
Mkuu naona Umesoma au imeandikwa vibaya. Hapa wanamsema Maranda... Sio Marando wa Chadema.
I hope ni habari za kweli

CHADEMA watanasema hao jamaa wameonewa

What a shame kwa Chama kama Chadema , angehukumiwa Chenge na Lowasa pia wangesema wanaonewa na Kikwete

Damned if do damned if you dont!!
 
kama ni kweli huu utakuwa ushindi wa kwanza kwa kikwete kuhusiana na kesi za EPA kwani kila mmoja wetu alitegemea mahakama zetu zitakula pesa ya pembeni na kuwaachia huru kwamba hakuna ushahidi wa kuwatia hatiani au kuwafunga kifungo cha muda mfupi ....japo wengi wetu tungependa wanyongwe au wafungwe kifungo cha maisha.
 
Nchi hii ya ajabu sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kosa hilihili walifanya watu wengi tu matokeo yake ni hivi......
Baadhi yao walikataa kurudisha fedha (kama kina Maregesi, Masha, Ridhwani na wenzao kupitia Deep green finances )hawakufanywa kitu hadi leo!
Wengine waliambiwa wazirudishe, walipozirudisha hawajafunguliwa mashtaka!
Wengine, ndiyo ama hawa kosalielile wanafungwa!!!
 
Eti EPA ndo nini vile,maana tanzania kitu kinavuma wiki moja baada ya hapo sikumbuki tena.upuuzi!!
 
Back
Top Bottom