Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

Hivi kwako wewe injili na biblia ni sawa sawa? Qur'an inatambua injili, zaburi na torati lakini sio biblia. Je vitabu hivyo vipo? Au kuna biblia ambayo imejaa maelezo ya waandishi na baadhi ya maneno yaliyo katika vitabu hivyo? Hivi injili halisi ya Yesu au Zaburi au Torati katika lugha yake ya asili umewahikuviona? Ndugu tafakari kisha chukua hatua. Haki Elimuuuuuu!!!!!! Duh duh!!!
 
Ndugu Ishmael nikuulize swali dogo tu kisha Majibu utajipa mwenyewe. Hivi hujui kuwa Islam ni neno la kiaarabu? Na zaburi au torati na hata injili havikuja kwa lugha hiyo? Think twice.
 
Kwani Kuran kaandika Mungu?,acheni mawazo mgando nyie ndo maana mnauwauwa watu ovyo...


Wewe ni mwehu ndio maana hata kama utapewa ushahidi gani jinsi uislamu ulivyo mbali mbali na mauaji ya watu wasio na hatia lakini bado tu unang'ang'ania neno hilo moja kwa kuwa umeishiwa na hoja!!!

Kama hauna jambo jengine la kusema ni bora ukae kimya maana hata hiyo dini yako huijui Bali unafuata mkumbo tu.
 
Wewe ni mwehu ndio maana hata kama utapewa ushahidi gani jinsi uislamu ulivyo mbali mbali na mauaji ya watu wasio na hatia lakini bado tu unang'ang'ania neno hilo moja kwa kuwa umeishiwa na hoja!!!

Kama hauna jambo jengine la kusema ni bora ukae kimya maana hata hiyo dini yako huijui Bali unafuata mkumbo tu.

Mwehu?,sawa mwelevu...
 
sura ya 9 aya ya 29 inawaagiza kuwapiga wanaokwenda kinyume na ninyi,At-Tawbah 9:29.
Uwehu wangu uko wapi?
Islam is the Religion of Black Magic,Black Magic ni mambo ya kishirikina kama hujui ambayo Mtume wenu alikuwa akiyafanya.
Unaweza ukanieleza maana ya Jiwe la Kaabah?
Kwanini mnalisujudu na kulibusu?
Jibu kwa hoja usitukane,matusi si uungwana...
 
Ila Yeremia 8:8 inauwezo wa Ku confirm kitu!!!???

Quran haikaliwi kipalapala na kufanyiwa marekebisho ndugu! Maana hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kumrekebisha mungu!

Na kama yuko basi huyo hatokuwa mungu Bali sanamu ya yesu na bikira maria.
ulitaka ushahidi nimekupa...sasa Umekuja kivingine...
kwanza ungetakiwa ufahamu kuwa Mkristo haringii Dini. Ukristo ni zaidi ya dini. ndio maana hapa utaona kwa Mwislamu anaona ili kupambanisha anaanza kushambulia Dini. KWa mwislamu Dini ndio kila kitu, KWa mkristo Yesu kristo ndiyo kila kitu. Kama niliyokueleza kuhusu kiabu chako: kina shortcomings nyingi sana. Ikiwemo uundwaji wake. waandishi wa4 wa koran hawakukubaliana, kuna swala la satanic verses,chapters kuongezwa, sura za majini, kuliwa na mbuzi pages,kuchomwa moto, na tafsiri za Koran zaidi ya moja n.k.

Hapa chini ni baadhi tu ya wewe kujitafakari upya.... kama hiki kitabu ni kweli kimeandikwa na Allah au wanadamu..

Hapa chini yesu anajitaburia kufa.

sura mariam 19:33
ranslation by Yusuf Ali:
"So Peace is on me the day I was born the day that I die and the Day that I shall be raised up to life (again)"!


Hapa chini Allah anatabiri kumfufua

3:55 Translation by M. Asad:

Lo! God said: "O Jesus! Verily, I shall cause thee to die, and shall exalt thee unto Me, and cleanse thee of [the presence of] those who are bent on denying the truth; and I shall place those who follow thee [far] above those who are bent on denying the truth, unto the Day of Resurrection.....
The following Verse [SIZE=+2]10: 15[/SIZE] clearly tells us that even the Prophet (s.a.s.) could not CHANGE THE TEXT that was once Revealed by Allah (swt).
Translation by Yusuf Ali:
But when Our Clear Signs are rehearsed unto them those who rest not their hope on their meeting with Us say: "Bring us a Reading other than this or change this." Say: "It is not for me of my own accord to change it: I follow naught but what is revealed unto me: if I were to disobey my Lord I should myself fear the Penalty of a Great Day (to come)."


kuhusu ile yeremia 8:8
koran inajieleza hivi..sura imran 3:7
. He it is Who has sent down to thee the Book: In it are verses basic or fundamental (of established meaning); they are the foundation of the Book: others are allegorical. But those in whose hearts is perversity follow the part thereof that is allegorical, seeking discord, and searching for its hidden meanings, but no one knows its hidden meanings except Allah.

sasa kama kitabu kinashushwa na Allah ndiye pekee weza kukielewa . Sasa amewashushia wanadamu za nini, za kazi gani, kama Hakuna mwanadamu atakaye zielewa zaidi yake? Anategemea nini kwa wanadamu? Kwanini ashushe verse za kubabaisha(Allegorical) ambazo hataki zifuatwe?


Hapa chini Yesu anakaa na Allah karibu yake. Mohammad yuko jahanum.

surat imran 3:
5. Behold! the angels said: "O Mary! Allah giveth thee glad tidings of a Word from Him: his name will be Christ Jesus, the son of Mary, held in honour in this world and the Hereafter and of (the company of) those nearest to Allah.


Yesu amekuja kuruhusu sehemu ya walivyokatazwa. mf. kula kitimoto n.k.

50. "'(I have come to you), to attest the Law which was before me. And to make lawful to you part of what was (Before) forbidden to you; I have come to you with a Sign from your Lord. So fear Allah, and
obey me.

55. Behold! Allah said: "O Jesus! I will take thee and raise thee to Myself and clear thee (of the falsehoods) of those who blaspheme; I will make those who follow thee superior to those who reject faith, to the Day of Resurrection: Then shall ye all return unto me, and I will judge between you of the matters wherein ye dispute.
56. "As to those who reject faith, I will punish them with terrible agony in this world and in the Hereafter, nor will they have anyone to help."
allaha atawaadhibu wasiomfuata yesu. na wanaomfuata YEsu watakuwa juu ya wasio mfuata.

Allah ndiye aliyedanganya wakristo waamini kuwa Yesu amesulubiwa na kufa msalabani Sasa yaani Allah naye anacheza ujanja na sisi binadamu kama mchezo wa komborela. Kama yeye ndiye katunga huo uzushi huo . wakristo wanakosa gani ikiwa Allah ndiye katengeneza story hii yote?Yesu amesulubiwa sio sisi tunasema. Ni allah katudanganya. Tunamwamini Allah. Allah is wise plotter. Allah is the. Biggest plotter.
Good news Allah kaahidi tutakao mfuata tutakuwa superior kuliko wasiomfuata.
Zaidi ya yote: Yesu anajitabiria kufa na kufufuka. Kupitia koran. Imran19:33. God of Koran must not be a true God if he practiced deceptions like humans.
Arabic: ومكروا ومكر الله والله خير الماكرين
Transliteration: Wamakaroo wamakara Allahu waAllahu khayru almakireena
Literal: And they cheated/deceived and God cheated/deceived, and God (is) the best (of) the cheaters/deceivers

source
Allah the Best Deceiver - WikiIslam

In The Name Of Allah - Allah the Schemer OR Plotter

More Than Half Of Americans Have Unfavorable View Of Islam, Poll Finds

 
sura ya 9 aya ya 29 inawaagiza kuwapiga wanaokwenda kinyume na ninyi,At-Tawbah 9:29.
Uwehu wangu uko wapi?
Islam is the Religion of Black Magic,Black Magic ni mambo ya kishirikina kama hujui ambayo Mtume wenu alikuwa akiyafanya.
Unaweza ukanieleza maana ya Jiwe la Kaabah?
Kwanini mnalisujudu na kulibusu?
Jibu kwa hoja usitukane,matusi si uungwana...


Si nimekwambia huna unalolijua!? Sasa hutaki kulipa kodi wala hutaki kutii sheria ulitaka watu wakubembelezeni!!!???

Ni serikali gani itakayokubali upuuzi huu bila ya kukuazibu!!?? Au kwasababu ni wakristo ndio muishi bila ya kulipa kodi au kutii sheria zilizowekwa!!!???


Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet´ii. (At-Tawba 9:29, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)
 
sura ya 9 aya ya 29 inawaagiza kuwapiga wanaokwenda kinyume na ninyi,At-Tawbah 9:29.
Uwehu wangu uko wapi?
Islam is the Religion of Black Magic,Black Magic ni mambo ya kishirikina kama hujui ambayo Mtume wenu alikuwa akiyafanya.
Unaweza ukanieleza maana ya Jiwe la Kaabah?
Kwanini mnalisujudu na kulibusu?
Jibu kwa hoja usitukane,matusi si uungwana...

Hebu kafungue bible yako usome WAROMA 13: 1-7 halafu ndio uje na simulizi zako zisizo na mashiko.
 
Kuran yenyewe inamashaka

Kwanini imeandikwa
IKIWA MTU ANA MASHAKA NA KITABU HIKI,BASI AKASOME KITABU KINGINE,NI KIPI KAMA SIO BIBLE?

SOMA AYA YA 114 utakutana na maneno haya...
Weka vigezo vyako, halafu tumia hivyo vigezo kuipima Biblia ukimaliza hilo tumia vigezo hivyo kuipima Quran.

Kuna waliosoma Biblia na Quran waliona tofauti.
Kukurahisishia anzia dakika 6:44



 
Last edited by a moderator:
Hebu kafungue bible yako usome WAROMA 13: 1-7 halafu ndio uje na simulizi zako zisizo na mashiko.

DINI YENU NI YA MAMBO YA KISHIRIKINA
Nimeshaona na Nimesikia Waganga wengi wa Kienyeji wanatumia Kuran kitekeleza mambo yao.
Wapo wanao tibu magonjwa mbalimbali,wapo wanao itumia kutoa majini watu.
Wapo wanao itumia hata kudhuru watu,kwa wale walio ibiwa n.k

Umesha wahi sikia mganga anatumia Bible?
Dink yenu ni ya Mambo ya Black Magic ambayo hata Mtume Mohammad aliyafanya sana pia.
Jiwe la Kaabah kawaachia kama ushahidi na mnalitumia mpaka kesho.

Yesu Kristo ndio Njia ya kweli na Uzima
 
Maryam 19:34-35
Maneno ya Yesu Kristo katika Kuran kuthibitisha kuwa Yeye ni zaidi ya huyo Mtume wenu Mohammad.

34.Na amani iko jui yangu siku niliyo zaliwa,siku nitakayo kufa na kufufuliwa nikiwa hai.
35.Huyo ndiye Isa mwana wa Maryam,ndiyo kauli ya haki ambayo wanaitilia shaka.

Hakuna hata sehemu moja katika Kuran Mtume ametoa kauli kama hii katika sura zote 114.
kama ipo niambieni niisome,kama kuna sehemu Mtume amekiri kuwa atakufa na atafufuliwa kuwa hai mkinionyesha,mimi leo naslim kuwa muislam.

Njooni kwa Yesu Kristo ndiye njia ya kweli na uzima.

AMIN
 
Maryam 19:34-35
Maneno ya Yesu Kristo katika Kuran kuthibitisha kuwa Yeye ni zaidi ya huyo Mtume wenu Mohammad.

34.Na amani iko jui yangu siku niliyo zaliwa,siku nitakayo kufa na kufufuliwa nikiwa hai.
35.Huyo ndiye Isa mwana wa Maryam,ndiyo kauli ya haki ambayo wanaitilia shaka.

Hakuna hata sehemu moja katika Kuran Mtume ametoa kauli kama hii katika sura zote 114.
kama ipo niambieni niisome,kama kuna sehemu Mtume amekiri kuwa atakufa na atafufuliwa kuwa hai mkinionyesha,mimi leo naslim kuwa muislam.

Njooni kwa Yesu Kristo ndiye njia ya kweli na uzima.

AMIN

Kwani umesikia uislamu inatafuta watu wa kuufuata!!!??? Bakia na ugalatia wako katika uislamu huna nafasi.
 
Ajabu kuona Mungu yesu anamaumbile kama mwanadamu. Na kingine hata alivyokufa huyo mungu wenu yesu Dunia ilikuwa inaendeshwa na nani? Kama yeye ni mungu kasome Bible yako vizuri.
 
kwenye Kuran Yesu kafufua wafu,Mohammah not,Yesu alitengeneza njiwa kwa kutumia matope,Muhammad not,Yesu aliponja wagonjwa,Mohamad not alafu bado mnamfuata,shauri yenu nawaambia,badilikeni mufuate Ukristo...

Subutuuuu!nimfate mungu aliyetahiriwa?
 
Mkuu Ismaail,

Umemsoma Faizafoxy hapo juu Taurati Injil na Zaburi walioshushiwa wakati huo walishavinajisi hivyo vitabu na ndo maana haviko safi nitakupa mfano kama Taurati hamna tena hata katika biblia kuna kumbukumbu la taurati lakini yenyewe iko wapi hamna na ndo maana ikashuka quraan na Allah akasema atailinda kwanini akasema hivyo kwasababu vitabu vilivyopita vyoote mumeviharibu.

Lakini nakushangaa ww unaesherehekea xmass wakati haimo hata kwenye biblia naikuta eid ambayo waislamu wanasherehekea.

Nakingine wakati huyo Mungu wake Yesu amekufa Dunia ilikuwa inaendeshwa na nani? Nanyie viumbe bado mna survive
 
Waislamu mtaimarika pale mtakapojikuta kujadili namna ya kuendeleza dini yenu ikiwemo kielimu na kutoa huduma za kijamiii
Wakristo WaPo mbali mnooo it will take 100 years kwa Nyie kufika walipo wakristo
 
Back
Top Bottom