Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

Ivi wakiristo wao wanahitaji kitu gani kuingilia jambo linalowahusu waislamu? ndo mana hawa tunawaita makafiri, Ivi kuna shida gani na wao kuanzisha sharia zao kwa mujib wa kitabu chao?? watazuiwa??
 
Naiona vita ya kidini ikilinyemelea taifa hili....
Hakuna vita hapa,wakristo tumekua wapole sana,siku tukiamua ni kuwachalaza viboko waisam,mkiona mnaonewa mnaweza kuihama nchi kama seleka na wafuasi wao pale wakristo walipoamua kuwaadhibu .

Waislam mmmekua mnalia lia sana,kila mkililia kitu tunawapa,mmelilia kuchinja tumewaachia,mmelilia chuo tumewapa chuo cha serikali,tumewapa gari la shehe mkuu,ofisi,mmelia tuwape wake zenu mimba ili wawazalie watoto wenye akili tumefanya hivyo,watoto mmewaspoil wenyewe,mmelilia kuwaoe mabinti wenu wapate exposure tumefanya hivyo lakini bado mnalia lia tu,tuwaafanyeje?tuwaoe?
 
Mchumba, leo unadaikuwa ya waislamuyananihusu nini? Kesho serikaliikishakubali kuiendesha mahakama yenu, mambo yatakuwa kama hivi!:-


Mahakama nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmojaanayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo.Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake nimuisilamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwakuolewa na mwanamume mkristo , kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwawanawake.Mariam mwenye umri wa miaka 28 pia ni mjamzito na ataadhabiwakwa kuchapwa mijeledi miamoja kwa kosa la zinaa.Maafisa wakuu wanasema kuwa licha ya Mariam kulelewa kwa njiaya kikristo yeye bado ni muisilamu kwa sababu hiyo ndiyo dini ya babake.Alipewa siku tatu baada ya kuhukumiwa aweze kurejea katikadini ya kiisilamu lakini akakataa na ndio maana adhabu ikasalia.Kwa kawaida wanawake waisilamu hawaruhusiwi kuolewa nawanaume wakristo ingawa wanaume waisilamu wanaruhusiwa kuwaoa wanawakewakristo.Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu AmnestyInternational linasema kuwa Bi Ishag alilelewa kama Mkristo muorthodoxi kwasababu babake hakuwepo naye maishani mwake.

Sikiliza kijana unachanganya sana mada.

Mahakama ya kadhi Tanzania, ni limited kwa sheria zinazohusiana, na ndoa, talaka na mirathi na hazihusiani kabisa na sharia za "criminal" au 'sexual offenses".

Mambo ya Sudan waachie wa Sudan.
 
Daka mtumba,hivi muislam akikosea akiwa anapelekwa mahakama ya kadhia akasema sasa mimi nimeamua kuwa Mkristo,kumbuka sheria inamruhusu mtu kuwa dini yoyote anayopenda.sasa Wakristo watasema asihukumiwe na kadhi,waislam watasema ametaka kukwepa mkono wa sharia.wewe huon mkanganyiko?
 
Nchi yetu inaelekea chaguz kuu kila mbunge anataka kujsafsha na kuonekana anakua mkn na jmbo lake wabunge wa kiislam mnataka kadh waislam mnataka kadh mtaweza sheria mnazijua lkn ya mahakama ya kadh au mtarud kwa pilato tu hzo mahakama zitajaaa vumb
 
Hivi wewe mahakama ya kadhi inakuhusu nini? sisi kama tuko nyuma si ndiyo furaha kwako au siyo? sasa kinakuuma nini kuwa kwetu nyuma? sisi tunapenda tuwe nyuma, wewe endelea kuwa mbele, kinakuuma nini?

hivi ndivo mtakavyotendwa.siku mme wako akuingilie kinyume na maumbile halafu ukileta noma anawahi mahakana ya kadhi .kwa mujibu wa sharia za dini anahaki ya kukufanyi hivyo hiyo ni suna .anachotakiwa kwa mujibu wa sharia za dini ni kuuosha dhakari na kupiga janabaa.na wewe hutakiwi kushtaki
 
Sikiliza kijana unachanganya sana mada.

Mahakama ya kadhi Tanzania, ni limited kwa sheria zinazohusiana, na ndoa, talaka na mirathi na hazihusiani kabisa na sharia za "criminal" au 'sexual offenses".

Mambo ya Sudan waachie wa Sudan.
Hawa viumbe wa ajabu sana hawajui hata wanachopinga.
 
jk si kasema hukuna mahakama ya kadhi sasa semina za nini?

hapa ndipo nashindwa kumuamini huyu Mkwere, ataondoka na lawama sana akiwa kama Muislam kushindwa kutusaidia, saa nyingine KAFIRI anaonekana bora kama Mkapa kutusaidia Waislam kile chuo,
 
hivi ndivo mtakavyotendwa.siku mme wako akuingilie kinyume na maumbile halafu ukileta noma anawahi mahakana ya kadhi .kwa mujibu wa sharia za dini anahaki ya kukufanyi hivyo hiyo ni suna .anachotakiwa kwa mujibu wa sharia za dini ni kuuosha dhakari na kupiga janabaa.na wewe hutakiwi kushtaki

Hizo labda sheria za Kanisani, soma kuhusu Uislam uuelewe usidanganyike kijana. Hayo ya kuingiliana kinyume cha maumbile tunaona yamezagaa kanisani, tena imefikia mpaka wachungaji wanaoana wanaume kwa wanaume, huyajuwi hayo? unataka ushahidi?

Siku mwanamke wa Kiislam anapoingiliwa kinyume cha maumbile ndani ya ndoa, ndiyo talaka hiyo, na wakiendelea kuishi pamoja juuwe wanaishi kama mtu na hawara yake tu, hakuna ndoa hapo - kumbuka hilo.
 
Kwa hili nawalaumu sana viongozi wetu, hapakuwa na sababu kabisa ya kutufikisha kwenye mijadala ya hovyo hovyo hii ya kidini. Wanasiasa mkikosa hoja mpumzike muwaachie wenye hoja kuliko kutaka shortcut ambayo inaanza kutugawa kiimani.

Hapumziki mtu hapa! "tunawajali waislam"
 
Back
Top Bottom