Hayo maneno matatu ya mwisho hayakuwa na umuhimu wa wewe kuyaandika.
Uungwana ni vitendo.
Bado ninamtafakari huyu genius (yeye kichwani zimejaa) anayemtukana mwanadamu asiyemfahamu. Hii courage ya kiasi hiki sijui kaitoa wapi. Nikimaliza kumtakafakari nitaita press conference kabla ya kumshughulikia.