Mahakama Kuu yaridhia mbunge mteule wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu(CCM) kuapishwa. Maombi ya Lissu kupinga mambo kadhaa kutolewa uamuzi Sept 9

Hayo maneno matatu ya mwisho hayakuwa na umuhimu wa wewe kuyaandika.

Uungwana ni vitendo.

Bado ninamtafakari huyu genius (yeye kichwani zimejaa) anayemtukana mwanadamu asiyemfahamu. Hii courage ya kiasi hiki sijui kaitoa wapi. Nikimaliza kumtakafakari nitaita press conference kabla ya kumshughulikia.
 
Msomi Kibatala Anaendeleza Kutoa Clinc Ya Sheria na Marejeo Ya Vitabu Na Maamuzi Ya Case Mbali Mbali Kama Hizi

Msomi Kibatala Anawagawia Nakala Ya Marejeo Nao wajisomee wakati akiendelea Kutetea Hoja zake na Marejeo Ya Maamuzi Ya Case Kama Hizi Katika Mahakama Mbali mbali Ikiwepo Mahakama Hii Tukufu

Msomi Kibatala Anajenga Hoja Uhalali wa ndugai Kumvua mhe Lissu Ubunge na Madhaifu Yaliyopo

Msomi Kibatala Anachambua na Kutoa Madhaifu yaliyotumika Kumvua Mhe Lissu Ubunge Na Kuonyesha Kuwa Ndugai Alivunja Kanuni kumvua Ubunge

Msomi Kibatala Anaikumbusha Mahakama Kuwa Ofisi ya Bunge Inatambua Na Ilishiriki Baadhi ya Hatua Katika Kuhakikisha Tundu Lissu Anatibiwa

Msomi Kibatala Anaendelea Na Kuleta Ushahidi Wa Namna Bunge lilivyoshiriki na Familia Katika Kufuatilia Matibabu ya Mhe Lissu

Msomi Kibatala Anaainisha viongozi wa serikali na Bunge walivyomtembelea Mhe Lissu akiwa matibabuni

Msomi kibatala anainisha Namna Ya Bunge Lilivyokuwa linamlipa mhe Lissu akiwa matibabuni Na Kuinyesha kuwa walitambua alikuwa Hospitalini

Msomi Kibatala Anainisha Namna Mchakato wa Kudai Mshahara wa Mhe Lissu Ulivyofanyika Na Ofisi ya Bunge Na Familia Kutambua Kuwa Mhe Lissu alikuwa wapi na Anafanya Nini

Anashangazwa na Taarifa ya Ndugai kuwa hatambui alipo Ndio sababu ya Kumvua Ubunge

Msomi Kibala Anamrejesha Jaji Katika Maamuzi ya Daud Pete Kuendelea Kusikiliza Shauri Hili Anamrejesha na Kumtaka Asome Na Kuona Maamuzi yalivyokuwa

Msomi Kibatala Anmbrash Mhe Jaji Kumresha Katika Msitari Baada ya Kuyumba Kidogo Clinic Inaendelea

Mambo Ni Motoooooooo

Msomi Kibatala anaendelea Kuchambua Kuhusu Case Ya Daud Peta Na Mhe Jaji Anaendelea Kuelewa

Msomi Kibatala anaendelea Kurejesha Maamuzi ya Mahakama Kuu Juuu ya Daud pete

Msomi Kibatala Anarejea Case Ya Dickson Mtaimta Ddidi ya DPP Katika Kitabu Ni Page ya 33 mhe Jaji anarejea

Msomi Kibatala anaikumbusha Mahakama Kuwa Kazi Ya Kutafsiri Sheria ni Kazi Ya Mahakama na Anairejesha Katika Case Ally Linusi na Wenzake 11 dhid ya Kampuni Ya ........ Nyingine na Kuonyesha Misingi wa Hoja zake

Msomi Kibatala anaendelea Kutoa Clinic ya Kisheria Leo Naona Kaja Na Nguvu Mpya Sana Anaikumbusha Mahakama Kazi Yake Na wajibu wa Kutafsiri Sheria

Msomi Kibatala anaikimbusha Mahakama Case Ya Masumbuko Rashidi na Serikali 1997 na Kunyesha Namna Mahakama Ilivyotoa Maamuzi na Kuendelea Kuimarisha Hoja zake

Msomi Kibatala Anasema ni Haki ya Mtu Kusikilizwa Kabla ya Kutake Away Right Yake Hivo Basi Kamati Ya Bunge Ingempa Lissu Nafasi Ya Kujieleza Kabla Ya Kumvua Ubunge Wake.

Wakili Kibatala Anawakumbusha Warejee Mahudhurio na Mwenendo Wa Lissu Bungeni Kwa Kipind Cha Miaka Saba Kabla Ya kupigwa Risasi

Msomi Kibatala Ameiambia Mahakama Mleta Maombi Hakuwahi Kutaarifiwa Rasmi Sababu Za Ubunge Wake Kutenguliwa Alisikia Barabaran

Msomi Kibatala Anaikunbusha Mahakama NabRejea Ya Kanuni za Bunge 8A inamtaka spika Kufanya Yafuatayo Katika Utoaji na Maamuzi kwa haki Na Bila Upendeleo Kwa Kungozwa Na Katiba Sheria za Nchi na Kanuni nyingine Pamoja Na Maamuzi na Mila Za Mabunge Mengine

Msomi Kibatala Anaikimbusha Mahakama Juu Ya Kiapo Cha Spika Na Kusema Aliapa Kutenda Haki Na Kusimamia Sheria Kanuni na Katiba Hivyo Amekiuka Hata Kiapo Chake

Ameikimbusha Mahakama Kwa Kusoma Kiapo Cha Spika

Msomi Kibatala Anasoma Barua Iliyomvua Mhe Lissu Ubunge Huku Akisema Ameikuta Hapa Mahakamani

Anasoma Sababu Zilizoorodheshwa Na Spika

Msomi Kibatala Anaainisha Makosa Ya Barua Iliyomvua Mhe Lissu Ubunge

Msomini Kibatala anaichambua Barua Na Kuonyesha Makosa Ya Kanuni zilizotumika na Kuanisha Kanuni zilizotumika Kimakosa

Msomi Kibatala Anainisha Kigungu 146 (1) Kuhudhuria Vikao Vya Bunge Ni Jukumu la Kila Mbunge
(2) Kutokuhudhuria Spika Ataitaarifu Tume Ya Uchaguzi

Mbunge atakaposhindwa Kuhudhuria Vikao Vya Bunge Spika Atampa Ovyo Hivyo Sheria Hii Imekaa Kimtego Mtego sana

Mleta Maombi Hakupewa nafasi Ya Kusikilzwa kama Kanuni zinavyosema

Msomi Kibatala Anaikumbusha Mahakama Kuwa wakati Mhe Lissu analeta Maombi Mahakamani Ratiba Ya Bunge Ilikuwa haijapangwa hivyo Ratiba Ya Bunge Imepangwa wakati Case Ikiendelea Na Kuweka Ratiba Kesho 3/09/2019 na Moja Ya Jukumu katika Kazi za Bunge Ni Kiapo Cha Uaminifu

Msomi kibatala Anaikumbusha Mahakama Kuwa Kesho Vikao Vya Bunge vitaanza Hivyo anaiomba Mahakama Kutoa Notice Ya Kutokuapishwa kwa Mbunge Mteule Mtaturu Kupisha Case Ya Msingi Mhe Lissu Kusubiri Maamuzi ya Mahakama Yako Tukufu

Msomi Kibatala Anaikumbusha Mahakama kuwa Ratiba Ya Bunge Imekuja bada ya Case Ya Msingi Dhidi ya Ubunge wa Mhe Lissu Imeshafunguliwa hivyo Tunaomba Mahakama Yako Tukufu Itoe Notice Kwa Bunge Kwani Shunguli ya Kwanza Kabisa Ya Kesho Ni Kiapo Cha Uaminifu

Msomi Kibatala Anaikimbusha mahakama Hatua zinazohitajika Juu ya Upatikanaji wa Mbunge Na Kuanisha ambazo ni Tayar hivyo Hatua Moja Ya Kiapo Cha Uaminfu ndo Inayosubiriwa kwa mujibu wa Ibara Ya 64 na Kanuni hizo Hivyo Lazima Ale Kiapo Kwanza Ili Kukamilisha taratibu zote awe Mbunge kamili na Kushiriki Shunguli za Kibunge

Msomi Kibatala Anajibu Baadhi ya Maswali Wakati Mahakama Ikisubiri Kutoa Maamuzi

Je Mahakama Ina Uwezo wa Kutoa Notice Kuzuiya Uapisho wa Mbunge Mteule ?

Msomi Kibatala Anaijibu Hivi kwa Kurejesha Baadhi Ya Maamuzi

Anawarejesha Katika Maamuzi wa Majaji 3 Wa Mahakama Hii Kwa Kurejesha Kumbu Ya Mahakama Kuziya Moja Ya Mjadala Bungeni Usiendelee Kulinda Hadhi Ya Case ya Msingi Iliyokuwa mahakamani

Msomi Kibatala Anaiambia Mahakama Kuwa Mahakama Kutoa Notice kwa Kuzuiya Mijadala Ama Viapo Sababu Ya Kupisha Case Ya Msingi Ni Jambo la Kawaida na Si Jambo La Kushangaza Hata Kidogo

Msomi Kibatala Anaiambia Mahakama Mtaturu ametangazwa na Tume Kuwa ni Mbunge Hajala Kiapo Bado Ila Mbele Yako Mhe Jaji Kuna Case Ya Msingi HivyonKulingana Na Shauri Likiwa linahusu Ubunge ambao Bwn Mtaturu Ataapishwa basi Mahakama Yako Tukufu Ina haki na wajibu wa Kusimamia Haki ya Kila Mmoja Na Ndio Jukumu la Mahakama Hii Tukufu

Mahakama Hii Haitakiwi Kuacha Mchakato Huu Kuendela

Msomi Kibatala Anasema Na Kama Mchakato wa Kumwapisha Bwana Mtaturu Unaendelea Basi Itasabisha Case Hii Ya msingi Kuwa Ngumu Zaidi Kupata Maamuzi na Haki ya Mlalamikaji Tundu Lissu Na Kusabisha Hata Mlalamika Kuchelewa ama Kukosa Haki Yake

Msomi Kibatala Anaendela Kuweka kumbu kumbu za Case za Nyuma zenye Mwonekano kama Case Iliyo Mbele ya Mahakama Hii Tukufu Huku akirejea Mahakama Na Maamuzi Haya Kuonyesha Haki Ya Mlalamikaji Na Kuzuiwa kuapishwa kwa Mteule Mtaturu kupisha Case ya Msingi Kusikilizwa Katika Mahakama Hii Tukufu

Msomi Kibatala Anairejesha Mahakama Katika Hotuba za Majaji Zilizopita Kuweka Sawa Hoja zake Na Kusimamia Haki ya Mlalamikaji wake Ambaye Ni Mhe Tundu Lissu Dhid Ya Ndugai

Msomi Kibatala Anaendelea Kutoa Clinic Ya Sheria na Kuanisha Marejeo Yaliyofanyika na Mahakama Mbali Mbali Hapa Nchini Na Njee ya Nchi Zenye Munekano Kama Hii Ya Mhe Lissu
Wakili wa Serikali wanasimama Kujibu Hoja za Msomi Kibatala

Mahakama Imeenda Mapumziko Kupisha Mawakili wa Serikali Kujipanga Kujibu Hoja za Msomi Kibatala Dhidi Ya Mteja wake Tundu Lissu
 
[9/2, 11:58 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaendeleza Kutoa Clinc Ya Sheria na Marejeo Ya Vitabu Na Maamuzi Ya Case Mbali Mbali Kama Hizi

[9/2, 11:58 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anawagawia Nakala Ya Marejeo Nao wajisomee wakati akiendelea Kutetea Hoja zake na Marejeo Ya Maamuzi Ya Case Kama Hizi Katika Mahakama Mbali mbali Ikiwepo Mahakama Hii Tukufu

[9/2, 11:58 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anajenga Hoja Uhalali wa ndugai Kumvua mhe Lissu Ubunge na Madhaifu Yaliyopo

[9/2, 11:58 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anachambua na Kutoa Madhaifu yaliyotumika Kumvua Mhe Lissu Ubunge Na Kuonyesha Kuwa Ndugai Alivunja Kanuni kumvua Ubunge

[9/2, 11:58 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaikumbusha Mahakama Kuwa Ofisi ya Bunge Inatambua Na Ilishiriki Baadhi ya Hatua Katika Kuhakikisha Tundu Lissu Anatibiwa

[9/2, 11:58 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaendelea Na Kuleta Ushahidi Wa Namna Bunge lilivyoshiriki na Familia Katika Kufuatilia Matibabu ya Mhe Lissu
[9/2, 11:58 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaainisha viongozi wa serikali na Bunge walivyomtembelea Mhe Lissu akiwa matibabuni

[9/2, 11:58 AM] TL NECTO KIT: Msomi kibatala anainisha Namna Ya Bunge Lilivyokuwa linamlipa mhe Lissu akiwa matibabuni Na Kuinyesha kuwa walitambua alikuwa Hospitalini

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anainisha Namna Mchakato wa Kudai Mshahara wa Mhe Lissu Ulivyofanyika Na Ofisi ya Bunge Na Familia Kutambua Kuwa Mhe Lissu alikuwa wapi na Anafanya Nini

Anashangazwa na Taarifa ya Ndugai kuwa hatambui alipo Ndio sababu ya Kumvua Ubunge

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibala Anamrejesha Jaji Katika Maamuzi ya Daud Pete Kuendelea Kusikiliza Shauri Hili Anamrejesha na Kumtaka Asome Na Kuona Maamuzi yalivyokuwa

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anmbrash Mhe Jaji Kumresha Katika Msitari Baada ya Kuyumba Kidogo Clinic Inaendelea

Mambo Ni Motoooooooo
[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala anaendelea Kuchambua Kuhusu Case Ya Daud Peta Na Mhe Jaji Anaendelea Kuelewa

Msomi Kibatala anaendelea Kurejesha Maamuzi ya Mahakama Kuu Juuu ya Daud pete

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anarejea Case Ya Dickson Mtaimta Ddidi ya DPP Katika Kitabu Ni Page ya 33 mhe Jaji anarejea

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala anaikumbusha Mahakama Kuwa Kazi Ya Kutafsiri Sheria ni Kazi Ya Mahakama na Anairejesha Katika Case Ally Linusi na Wenzake 11 dhid ya Kampuni Ya ........ Nyingine na Kuonyesha Misingi wa Hoja zake

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala anaendelea Kutoa Clinic ya Kisheria Leo Naona Kaja Na Nguvu Mpya Sana Anaikumbusha Mahakama Kazi Yake Na wajibu wa Kutafsiri Sheria

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala anaikimbusha Mahakama Case Ya Masumbuko Rashidi na Serikali 1997 na Kunyesha Namna Mahakama Ilivyotoa Maamuzi na Kuendelea Kuimarisha Hoja zake

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anasema ni Haki ya Mtu Kusikilizwa Kabla ya Kutake Away Right Yake Hivo Basi Kamati Ya Bunge Ingempa Lissu Nafasi Ya Kujieleza Kabla Ya Kumvua Ubunge Wake.

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Wakili Kibatala Anawakumbusha Warejee Mahudhurio na Mwenendo Wa Lissu Bungeni Kwa Kipind Cha Miaka Saba Kabla Ya kupigwa Risasi

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Ameiambia Mahakama Mleta Maombi Hakuwahi Kutaarifiwa Rasmi Sababu Za Ubunge Wake Kutenguliwa Alisikia Barabaran

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaikunbusha Mahakama NabRejea Ya Kanuni za Bunge 8A inamtaka spika Kufanya Yafuatayo Katika Utoaji na Maamuzi kwa haki Na Bila Upendeleo Kwa Kungozwa Na Katiba Sheria za Nchi na Kanuni nyingine Pamoja Na Maamuzi na Mila Za Mabunge Mengine

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaikimbusha Mahakama Juu Ya Kiapo Cha Spika Na Kusema Aliapa Kutenda Haki Na Kusimamia Sheria Kanuni na Katiba Hivyo Amekiuka Hata Kiapo Chake

Ameikimbusha Mahakama Kwa Kusoma Kiapo Cha Spika

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anasoma Barua Iliyomvua Mhe Lissu Ubunge Huku Akisema Ameikuta Hapa Mahakamani

Anasoma Sababu Zilizoorodheshwa Na Spika

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaainisha Makosa Ya Barua Iliyomvua Mhe Lissu Ubunge

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomini Kibatala anaichambua Barua Na Kuonyesha Makosa Ya Kanuni zilizotumika na Kuanisha Kanuni zilizotumika Kimakosa

[9/2, 11:59 AM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anainisha Kigungu 146 (1) Kuhudhuria Vikao Vya Bunge Ni Jukumu la Kila Mbunge
(2) Kutokuhudhuria Spika Ataitaarifu Tume Ya Uchaguzi

Mbunge atakaposhindwa Kuhudhuria Vikao Vya Bunge Spika Atampa Ovyo Hivyo Sheria Hii Imekaa Kimtego Mtego sana

Mleta Maombi Hakupewa nafasi Ya Kusikilzwa kama Kanuni zinavyosema

[9/2, 12:00 PM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaikumbusha Mahakama Kuwa wakati Mhe Lissu analeta Maombi Mahakamani Ratiba Ya Bunge Ilikuwa haijapangwa hivyo Ratiba Ya Bunge Imepangwa wakati Case Ikiendelea Na Kuweka Ratiba Kesho 3/09/2019 na Moja Ya Jukumu katika Kazi za Bunge Ni Kiapo Cha Uaminifu

[9/2, 12:00 PM] TL NECTO KIT: Msomi kibatala Anaikumbusha Mahakama Kuwa Kesho Vikao Vya Bunge vitaanza Hivyo anaiomba Mahakama Kutoa Notice Ya Kutokuapishwa kwa Mbunge Mteule Mtaturu Kupisha Case Ya Msingi Mhe Lissu Kusubiri Maamuzi ya Mahakama Yako Tukufu

[9/2, 12:02 PM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaikumbusha Mahakama kuwa Ratiba Ya Bunge Imekuja bada ya Case Ya Msingi Dhidi ya Ubunge wa Mhe Lissu Imeshafunguliwa hivyo Tunaomba Mahakama Yako Tukufu Itoe Notice Kwa Bunge Kwani Shunguli ya Kwanza Kabisa Ya Kesho Ni Kiapo Cha Uaminifu

[9/2, 12:08 PM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaikimbusha mahakama Hatua zinazohitajika Juu ya Upatikanaji wa Mbunge Na Kuanisha ambazo ni Tayar hivyo Hatua Moja Ya Kiapo Cha Uaminfu ndo Inayosubiriwa kwa mujibu wa Ibara Ya 64 na Kanuni hizo Hivyo Lazima Ale Kiapo Kwanza Ili Kukamilisha taratibu zote awe Mbunge kamili na Kushiriki Shunguli za Kibunge

[9/2, 12:12 PM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anajibu Baadhi ya Maswali Wakati Mahakama Ikisubiri Kutoa Maamuzi

Je Mahakama Ina Uwezo wa Kutoa Notice Kuzuiya Uapisho wa Mbunge Mteule ?

Msomi Kibatala Anaijibu Hivi kwa Kurejesha Baadhi Ya Maamuzi

Anawarejesha Katika Maamuzi wa Majaji 3 Wa Mahakama Hii Kwa Kurejesha Kumbu Ya Mahakama Kuziya Moja Ya Mjadala Bungeni Usiendelee Kulinda Hadhi Ya Case ya Msingi Iliyokuwa mahakamani

[9/2, 12:18 PM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaiambia Mahakama Kuwa Mahakama Kutoa Notice kwa Kuzuiya Mijadala Ama Viapo Sababu Ya Kupisha Case Ya Msingi Ni Jambo la Kawaida na Si Jambo La Kushangaza Hata Kidogo

[9/2, 12:29 PM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaiambia Mahakama Mtaturu ametangazwa na Tume Kuwa ni Mbunge Hajala Kiapo Bado Ila Mbele Yako Mhe Jaji Kuna Case Ya Msingi HivyonKulingana Na Shauri Likiwa linahusu Ubunge ambao Bwn Mtaturu Ataapishwa basi Mahakama Yako Tukufu Ina haki na wajibu wa Kusimamia Haki ya Kila Mmoja Na Ndio Jukumu la Mahakama Hii Tukufu

Mahakama Hii Haitakiwi Kuacha Mchakato Huu Kuendela

[9/2, 12:29 PM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anasema Na Kama Mchakato wa Kumwapisha Bwana Mtaturu Unaendelea Basi Itasabisha Case Hii Ya msingi Kuwa Ngumu Zaidi Kupata Maamuzi na Haki ya Mlalamikaji Tundu Lissu Na Kusabisha Hata Mlalamika Kuchelewa ama Kukosa Haki Yake

[9/2, 12:38 PM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaendela Kuweka kumbu kumbu za Case za Nyuma zenye Mwonekano kama Case Iliyo Mbele ya Mahakama Hii Tukufu Huku akirejea Mahakama Na Maamuzi Haya Kuonyesha Haki Ya Mlalamikaji Na Kuzuiwa kuapishwa kwa Mteule Mtaturu kupisha Case ya Msingi Kusikilizwa Katika Mahakama Hii Tukufu

[9/2, 12:43 PM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anairejesha Mahakama Katika Hotuba za Majaji Zilizopita Kuweka Sawa Hoja zake Na Kusimamia Haki ya Mlalamikaji wake Ambaye Ni Mhe Tundu Lissu Dhid Ya Ndugai

[9/2, 1:07 PM] TL NECTO KIT: Msomi Kibatala Anaendelea Kutoa Clinic Ya Sheria na Kuanisha Marejeo Yaliyofanyika na Mahakama Mbali Mbali Hapa Nchini Na Njee ya Nchi Zenye Munekano Kama Hii Ya Mhe Lissu

[9/2, 1:07 PM] TL NECTO KIT: Wakili wa Serikali wanasimama Kujibu Hoja za Msomi Kibatala
[9/2, 1:08 PM] TL NECTO KIT: Mahakama Imeenda Mapumziko Kupisha Mawakili wa Serikali Kujipanga Kujibu Hoja za Msomi Kibatala Dhidi Ya Mteja wake Tundu Lissu
Uchafu tu! Yaani ukiwa na mdomo mkubwa ndo unabobea?
 
Kitendo cha bunge kupanga kumwapisha mtaturu kina nia ovu ilihali jambo liko mahakamani. Mahakama izuie uharamia huu
 
Kweli kabisa
tapatalk_jpeg_1565869634511.jpeg
 
Msomi Kibatala Anaendeleza Kutoa Clinc Ya Sheria na Marejeo Ya Vitabu Na Maamuzi Ya Case Mbali Mbali Kama Hizi

Msomi Kibatala Anawagawia Nakala Ya Marejeo Nao wajisomee wakati akiendelea Kutetea Hoja zake na Marejeo Ya Maamuzi Ya Case Kama Hizi Katika Mahakama Mbali mbali Ikiwepo Mahakama Hii Tukufu

Msomi Kibatala Anajenga Hoja Uhalali wa ndugai Kumvua mhe Lissu Ubunge na Madhaifu Yaliyopo

Msomi Kibatala Anachambua na Kutoa Madhaifu yaliyotumika Kumvua Mhe Lissu Ubunge Na Kuonyesha Kuwa Ndugai Alivunja Kanuni kumvua Ubunge

Msomi Kibatala Anaikumbusha Mahakama Kuwa Ofisi ya Bunge Inatambua Na Ilishiriki Baadhi ya Hatua Katika Kuhakikisha Tundu Lissu Anatibiwa

Msomi Kibatala Anaendelea Na Kuleta Ushahidi Wa Namna Bunge lilivyoshiriki na Familia Katika Kufuatilia Matibabu ya Mhe Lissu

Msomi Kibatala Anaainisha viongozi wa serikali na Bunge walivyomtembelea Mhe Lissu akiwa matibabuni

Msomi kibatala anainisha Namna Ya Bunge Lilivyokuwa linamlipa mhe Lissu akiwa matibabuni Na Kuinyesha kuwa walitambua alikuwa Hospitalini

Msomi Kibatala Anainisha Namna Mchakato wa Kudai Mshahara wa Mhe Lissu Ulivyofanyika Na Ofisi ya Bunge Na Familia Kutambua Kuwa Mhe Lissu alikuwa wapi na Anafanya Nini

Anashangazwa na Taarifa ya Ndugai kuwa hatambui alipo Ndio sababu ya Kumvua Ubunge

Msomi Kibala Anamrejesha Jaji Katika Maamuzi ya Daud Pete Kuendelea Kusikiliza Shauri Hili Anamrejesha na Kumtaka Asome Na Kuona Maamuzi yalivyokuwa

Msomi Kibatala Anmbrash Mhe Jaji Kumresha Katika Msitari Baada ya Kuyumba Kidogo Clinic Inaendelea

Mambo Ni Motoooooooo

Msomi Kibatala anaendelea Kuchambua Kuhusu Case Ya Daud Peta Na Mhe Jaji Anaendelea Kuelewa

Msomi Kibatala anaendelea Kurejesha Maamuzi ya Mahakama Kuu Juuu ya Daud pete

Msomi Kibatala Anarejea Case Ya Dickson Mtaimta Ddidi ya DPP Katika Kitabu Ni Page ya 33 mhe Jaji anarejea

Msomi Kibatala anaikumbusha Mahakama Kuwa Kazi Ya Kutafsiri Sheria ni Kazi Ya Mahakama na Anairejesha Katika Case Ally Linusi na Wenzake 11 dhid ya Kampuni Ya ........ Nyingine na Kuonyesha Misingi wa Hoja zake

Msomi Kibatala anaendelea Kutoa Clinic ya Kisheria Leo Naona Kaja Na Nguvu Mpya Sana Anaikumbusha Mahakama Kazi Yake Na wajibu wa Kutafsiri Sheria

Msomi Kibatala anaikimbusha Mahakama Case Ya Masumbuko Rashidi na Serikali 1997 na Kunyesha Namna Mahakama Ilivyotoa Maamuzi na Kuendelea Kuimarisha Hoja zake

Msomi Kibatala Anasema ni Haki ya Mtu Kusikilizwa Kabla ya Kutake Away Right Yake Hivo Basi Kamati Ya Bunge Ingempa Lissu Nafasi Ya Kujieleza Kabla Ya Kumvua Ubunge Wake.

Wakili Kibatala Anawakumbusha Warejee Mahudhurio na Mwenendo Wa Lissu Bungeni Kwa Kipind Cha Miaka Saba Kabla Ya kupigwa Risasi

Msomi Kibatala Ameiambia Mahakama Mleta Maombi Hakuwahi Kutaarifiwa Rasmi Sababu Za Ubunge Wake Kutenguliwa Alisikia Barabaran

Msomi Kibatala Anaikunbusha Mahakama NabRejea Ya Kanuni za Bunge 8A inamtaka spika Kufanya Yafuatayo Katika Utoaji na Maamuzi kwa haki Na Bila Upendeleo Kwa Kungozwa Na Katiba Sheria za Nchi na Kanuni nyingine Pamoja Na Maamuzi na Mila Za Mabunge Mengine

Msomi Kibatala Anaikimbusha Mahakama Juu Ya Kiapo Cha Spika Na Kusema Aliapa Kutenda Haki Na Kusimamia Sheria Kanuni na Katiba Hivyo Amekiuka Hata Kiapo Chake

Ameikimbusha Mahakama Kwa Kusoma Kiapo Cha Spika

Msomi Kibatala Anasoma Barua Iliyomvua Mhe Lissu Ubunge Huku Akisema Ameikuta Hapa Mahakamani

Anasoma Sababu Zilizoorodheshwa Na Spika

Msomi Kibatala Anaainisha Makosa Ya Barua Iliyomvua Mhe Lissu Ubunge

Msomini Kibatala anaichambua Barua Na Kuonyesha Makosa Ya Kanuni zilizotumika na Kuanisha Kanuni zilizotumika Kimakosa

Msomi Kibatala Anainisha Kigungu 146 (1) Kuhudhuria Vikao Vya Bunge Ni Jukumu la Kila Mbunge
(2) Kutokuhudhuria Spika Ataitaarifu Tume Ya Uchaguzi

Mbunge atakaposhindwa Kuhudhuria Vikao Vya Bunge Spika Atampa Ovyo Hivyo Sheria Hii Imekaa Kimtego Mtego sana

Mleta Maombi Hakupewa nafasi Ya Kusikilzwa kama Kanuni zinavyosema

Msomi Kibatala Anaikumbusha Mahakama Kuwa wakati Mhe Lissu analeta Maombi Mahakamani Ratiba Ya Bunge Ilikuwa haijapangwa hivyo Ratiba Ya Bunge Imepangwa wakati Case Ikiendelea Na Kuweka Ratiba Kesho 3/09/2019 na Moja Ya Jukumu katika Kazi za Bunge Ni Kiapo Cha Uaminifu

Msomi kibatala Anaikumbusha Mahakama Kuwa Kesho Vikao Vya Bunge vitaanza Hivyo anaiomba Mahakama Kutoa Notice Ya Kutokuapishwa kwa Mbunge Mteule Mtaturu Kupisha Case Ya Msingi Mhe Lissu Kusubiri Maamuzi ya Mahakama Yako Tukufu

Msomi Kibatala Anaikumbusha Mahakama kuwa Ratiba Ya Bunge Imekuja bada ya Case Ya Msingi Dhidi ya Ubunge wa Mhe Lissu Imeshafunguliwa hivyo Tunaomba Mahakama Yako Tukufu Itoe Notice Kwa Bunge Kwani Shunguli ya Kwanza Kabisa Ya Kesho Ni Kiapo Cha Uaminifu

Msomi Kibatala Anaikimbusha mahakama Hatua zinazohitajika Juu ya Upatikanaji wa Mbunge Na Kuanisha ambazo ni Tayar hivyo Hatua Moja Ya Kiapo Cha Uaminfu ndo Inayosubiriwa kwa mujibu wa Ibara Ya 64 na Kanuni hizo Hivyo Lazima Ale Kiapo Kwanza Ili Kukamilisha taratibu zote awe Mbunge kamili na Kushiriki Shunguli za Kibunge

Msomi Kibatala Anajibu Baadhi ya Maswali Wakati Mahakama Ikisubiri Kutoa Maamuzi

Je Mahakama Ina Uwezo wa Kutoa Notice Kuzuiya Uapisho wa Mbunge Mteule ?

Msomi Kibatala Anaijibu Hivi kwa Kurejesha Baadhi Ya Maamuzi

Anawarejesha Katika Maamuzi wa Majaji 3 Wa Mahakama Hii Kwa Kurejesha Kumbu Ya Mahakama Kuziya Moja Ya Mjadala Bungeni Usiendelee Kulinda Hadhi Ya Case ya Msingi Iliyokuwa mahakamani

Msomi Kibatala Anaiambia Mahakama Kuwa Mahakama Kutoa Notice kwa Kuzuiya Mijadala Ama Viapo Sababu Ya Kupisha Case Ya Msingi Ni Jambo la Kawaida na Si Jambo La Kushangaza Hata Kidogo

Msomi Kibatala Anaiambia Mahakama Mtaturu ametangazwa na Tume Kuwa ni Mbunge Hajala Kiapo Bado Ila Mbele Yako Mhe Jaji Kuna Case Ya Msingi HivyonKulingana Na Shauri Likiwa linahusu Ubunge ambao Bwn Mtaturu Ataapishwa basi Mahakama Yako Tukufu Ina haki na wajibu wa Kusimamia Haki ya Kila Mmoja Na Ndio Jukumu la Mahakama Hii Tukufu

Mahakama Hii Haitakiwi Kuacha Mchakato Huu Kuendela

Msomi Kibatala Anasema Na Kama Mchakato wa Kumwapisha Bwana Mtaturu Unaendelea Basi Itasabisha Case Hii Ya msingi Kuwa Ngumu Zaidi Kupata Maamuzi na Haki ya Mlalamikaji Tundu Lissu Na Kusabisha Hata Mlalamika Kuchelewa ama Kukosa Haki Yake

Msomi Kibatala Anaendela Kuweka kumbu kumbu za Case za Nyuma zenye Mwonekano kama Case Iliyo Mbele ya Mahakama Hii Tukufu Huku akirejea Mahakama Na Maamuzi Haya Kuonyesha Haki Ya Mlalamikaji Na Kuzuiwa kuapishwa kwa Mteule Mtaturu kupisha Case ya Msingi Kusikilizwa Katika Mahakama Hii Tukufu

Msomi Kibatala Anairejesha Mahakama Katika Hotuba za Majaji Zilizopita Kuweka Sawa Hoja zake Na Kusimamia Haki ya Mlalamikaji wake Ambaye Ni Mhe Tundu Lissu Dhid Ya Ndugai

Msomi Kibatala Anaendelea Kutoa Clinic Ya Sheria na Kuanisha Marejeo Yaliyofanyika na Mahakama Mbali Mbali Hapa Nchini Na Njee ya Nchi Zenye Munekano Kama Hii Ya Mhe Lissu
Wakili wa Serikali wanasimama Kujibu Hoja za Msomi Kibatala

Mahakama Imeenda Mapumziko Kupisha Mawakili wa Serikali Kujipanga Kujibu Hoja za Msomi Kibatala Dhidi Ya Mteja wake Tundu Lissu
Mkuu Sesimba umefanya inavyotakiwa hapa JF kwa kutoa summary safi tena kisheria bila mhemko.
Kwa niaba yangu binafsi na kwa niaba ya JF (wanaojitambua) tunakupongeza na kukuomba uendelee kutujuza kwa style hii hii
 
Back
Top Bottom