Mahakama Kuu yafuta kesi ya madai dhidi ya Askofu Kakobe kwa kukosa mashiko

Jamani huyu mtu aitwaye Kakobe yuko hapa nchini???
Amejaaa tele Askofu wa watu... nilidanganywa kuwa hayupo nikasema ngoja niende kanisani kwakwe nithibitishe.... daaah kweli wtz ni wazushi sana jamaaa yupo tele kanisani kwakwe.... wewe fanya kwenda leo pale utajua kama yupo au la usisikie maneno ya watu kajithibitishie mwenyewe....
 
Aliyekuwa na interest na kesi hiyo ameondoka

Hata kama aliyekuwa na interest ameondoka still inaonyesha vyombo vyetu vya sheria haviko huru vinafuata Mihemko ya wakubwa.Kwa kipindi chote hicho lazima kuna kipengele sheria inasemaje!!Ni haya haya mtu anakamatwa na kielelezo lakini kesi inachukua miaka kwisha na ni hayahaya yanayotokea Arusha leo kesi ina dhamana kwa manufaa ya wakubwa kesi inazungushwa na kuwekewa figisufigisu nyingi ili tu wakubwa wafurahi!!!
 
Hiyo kesi angeshika Jaji mmoja ingekuwa imekwisha siku nyingi na wala hakuna kesi hapo ila ni kweli kuna maelekezo ya Wakubwa
 
Back
Top Bottom