Mahakama Kuu ya Tanzania kuzuia malipo kwa DOWANS?

"Where an arbitrator or umpire has misconducted himself or an arbitration or award has been improperly procured, the court may set aside the award."

Let me play devils advocate hapo issue ipo kwenye misconducted na improperly procured. Je according to the contract was there any misconduct na kama hakuna basi award itakuwa ilikuwa proper
 
Pamoja na kwenda ICC, The Arbitration Act inasema kuwa Mahakama ya Tanzania ndiyo yenye uamuzi wa mwisho iwapo maamuzi ya ICC yatekelezwe au la. Hivyo mwenye final say kwenye hili jambo ni the High Court of Tanzania na si ICC kwani ruling ya ICC lazima iwe registered kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania na mahakama iseme kama malipo haya ni halali au siyo halali na kuyakataa. Kama ilivyokuwa quoted kwenye hii habari ya THISDAY, sheria ya Tanzania inasema:

mkuu...kula tano yangu..... kwa hiyo unataka kuniambia kwamba the fate of Tanzanian taxpayer money is ravenously depending on the high court..... do we have confidence with the high court..... would the high court dare to defeat justice of their citizens
 
Fareed Asante kunipa mwanga! I wish if I could rewind my age and get back to school of laws
 
Let me play devils advocate hapo issue ipo kwenye misconducted na improperly procured. Je according to the contract was there any misconduct na kama hakuna basi award itakuwa ilikuwa proper

It can successfully be argued in court that the award given by ICC to Dowans was "improperly procured" because the ICC disregarded the valid provisions of Tanzanian law (namely the Public Procurement Act of 2004).

Now, since the ICC ruling in its entirety is not in conformity with Tanzanian law, the High Court may henceforth set aside the ruling because it goes against sheria halali ya nchi ya Tanzania ambayo ndiyo inatakiwa kutekeleza hukumu ya ICC.

Tanzania haiwezi kutekeleza hukumu ambayo inapingana moja kwa moja na sheria ya nchi.
 
Thanks kwa kuadd more nondo za kuweza kujitetea I hope wanasheria watakao tutetea wana - take notes.
 
They will do so .......IF AND ONLY IF .........they are not part of the game. .........These lawyers... they have their own way of define anything within the so called ....SHERIA HALALI YA TANZANIA.

How many wameenda tofauti na hiyo sheria halali na zikatolewa sababu mbali mbali......???

EPA.............. kuna aliyeenda sawa na sheria.........??? Wako wapi hadi sasa......... ???
Radar.......... kuna aliyeenda sawa na sheria.........??? Wako wapi hadi sasa......... ???
Ndege ya rais................ Si tuliambiwa hata ikibidi kula nyasi tutakula......??? kuna aliyeenda sawa na sheria.........??? Wako wapi hadi sasa......... ???
Kuna yule aliyeenda na helikopta ya jeshi urambo.........??? Alifanywa nini..........???

NIJUWACHO NI KUWA SHERIA ZIPO KUTUBANA TUSIO NA MADARAKA................. hebu linganisha hukumu ya chenge na Malya. TUSIDANGANYANE......... hao hao wanasheria ndiyo wapindishaji wakubwa wa sheria halali...............inategemea tu nani anahukumiwa na ni kwa faida ya nani................ YAANI BORA HATA LIYUMBA HAYO MAGOROFA PACHA TUNAYO na tunayatumia
 
Thanks kwa kuadd more nondo za kuweza kujitetea I hope wanasheria watakao tutetea wana - take notes.
Mkubwa usije ukadhani wakati tunahukumiwa kulipa hatukuwa na wanasheria..........WALIWEPO SANA TU ................ lakini wakafanya madudu kwa faida yao ................KUMBUKA MANENO TA SAMWEL SITTA
 
Hakuna malipo hata kumi kwa dowans.. Kwa atakayelipa lazima aje kuwajibishwa sana kwenye katiba mpya..

tusimame kidete kwenye hili tuone mwisho wake..
 
sometimes naona kama laana inatuandama watz...hivi kweli madudu yote haya ....still tunayachekea tu haya majizi ...kibaya zaidi yanafahamika.....ni bora mtu upigwe risasi ieleweke...f********** ...
 
Pamoja na kwenda ICC, The Arbitration Act inasema kuwa Mahakama ya Tanzania ndiyo yenye uamuzi wa mwisho iwapo maamuzi ya ICC yatekelezwe au la. Hivyo mwenye final say kwenye hili jambo ni the High Court of Tanzania na si ICC kwani ruling ya ICC lazima iwe registered kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania na mahakama iseme kama malipo haya ni halali au siyo halali na kuyakataa. Kama ilivyokuwa quoted kwenye hii habari ya THISDAY, sheria ya Tanzania inasema:

"Where an arbitrator or umpire has misconducted himself or an arbitration or award has been improperly procured, the court may set aside the award."

Mkuu Fareed,

Nilisoma thread kama wiki nyuma na pia kusoma katika documents za Dowans kuwa ICC wamekuwa registered Mahakama kuu hili unalolisema ni kweli? Kama ni kweli sasa naanza kuwa na furaha usoni kuwa TANESCO HAINA HAJA YA KULIPA MPAKA MAHAKAMA KUU ITOE UAMUZI WA MWISHO!!!.
 
Mkubwa usije ukadhani wakati tunahukumiwa kulipa hatukuwa na wanasheria..........WALIWEPO SANA TU ................ lakini wakafanya madudu kwa faida yao ................KUMBUKA MANENO TA SAMWEL SITTA

Aaaah Ndugu yangu acha japo nipate matumaini kidogo.... ni mambo mengi sana yamekwenda kombo......

:A S-smoking::peace::music::cool::thumb::amen::bounce::smilez:
 
It can successfully be argued in court that the award given by ICC to Dowans was "improperly procured" because the ICC disregarded the valid provisions of Tanzanian law (namely the Public Procurement Act of 2004).

Now, since the ICC ruling in its entirety is not in conformity with Tanzanian law, the High Court may henceforth set aside the ruling because it goes against sheria halali ya nchi ya Tanzania ambayo ndiyo inatakiwa kutekeleza hukumu ya ICC.

Tanzania haiwezi kutekeleza hukumu ambayo inapingana moja kwa moja na sheria ya nchi.

Mkuu umeisoma vizuri kesi na hizi argument si ndio wamezitumia hizo Tanesco ICC lakini wamepigwa chini kwasababu vipengele unavyodai katika PPA ya 2004 pia vimezungumziwa na kuonekana kuwa vimetumika sahihi kabisa na hakuna sheria iliyovunjwa hebu rudia ile ruling kwanza mkuu.
 
Hivi kweli tunaelewa maana ya REGISTRATION? Hii ni kuwa Mahakama ita'note' kuwa kuna maamuzi haya ili kama Tanesco hawatalipa Mahakama itaweza kutumika kakaza maamuzi. Hakuna appeal kwenye arbitration na kama Mdondoaji alivyosema vipengele hivyo vilionekana havina uzito katika maamuzi yaliyotolewa. Lazima tukubali kushindwa.

Amandla.......
 
mimi naona hii hatua ya serikali ni kujaribu kutuliza hasira za wananchi baada ya kuona mambo yame fika puani. na ufisadi wao sasa ni dhahiri
 
Hivi kweli tunaelewa maana ya REGISTRATION? Hii ni kuwa Mahakama ita'note' kuwa kuna maamuzi haya ili kama Tanesco hawatalipa Mahakama itaweza kutumika kakaza maamuzi. Hakuna appeal kwenye arbitration na kama Mdondoaji alivyosema vipengele hivyo vilionekana havina uzito katika maamuzi yaliyotolewa. Lazima tukubali kushindwa.

Amandla.......

Nasisitiza tena, The Arbitration Act inatoa powers kwa Mahakama Kuu ya Tanzania kukubali hii hukumu ya ICC au kuikataa:

"Where an arbitrator or umpire has misconducted himself or an arbitration or award has been improperly procured, the court may set aside the award."

Kama ingekuwa uamuzi wa ICC ni final, basi ingekuwa haina haja upitie High Court of Tanzania ili upewe nguvu ya kisheria. Tusikubali hovyo hovyo tu kuwa Dowans lazima walipwe come what may kwa ujinga wetu, woga, unyonge, kukata tamaa, uvivu wa kufikiri au ushawishi wa kifisadi.
 
Tanzania hatuna wanasheria wala majaji, bali kuna washangilaji wa ujuma zidi ya wananchi na ubabasihaji katika kesi ndio maanna hakuna mwanasheria hata mmoja aliyewahi kushida kesi yoyote ya ughaibuni.

Sasa kama wanasheria wanaajiriwa na watu kama Mkono, na Mkono ni myonyaji mkuu na amebobea kwenye sheria utafanya nini? kwa ufupi mlolongo wa kuishitaki tanesco mpaka kushida unasikitisha wale wale wamejifanya wanatutetea alfu wakjishindisha kwa makusudi nani aliwachagua hawa Rex Attorney?

Kwa nini hawakutangaza na watu makini wakajitokeza? Sasa angalia ya Werema naye huyu ni Mwanasheria kweli ambaye hajui alisemalo.
 
Nasisitiza tena, The Arbitration Act inatoa powers kwa Mahakama Kuu ya Tanzania kukubali hii hukumu ya ICC au kuikataa:

"Where an arbitrator or umpire has misconducted himself or an arbitration or award has been improperly procured, the court may set aside the award."

Kama ingekuwa uamuzi wa ICC ni final, basi ingekuwa haina haja upitie High Court of Tanzania ili upewe nguvu ya kisheria. Tusikubali hovyo hovyo tu kuwa Dowans lasima walipwe come what may kwa ujinga wetu, woga, unyonge, kukata tamaa, uvivu wa kufikiri au ushawishi wa kifisadi.

Arbitration Act unayozungumzia inahusu zile zinazofanyika Tanzania. Hakuna kampuni ya kimataifa itakayoingia mkataba na sisi itakayokubali arbitration ifanyike kwa misingi hiyo kwa kuogopa kile ambacho nyinyi mnakazania, kutumia Mahakama kupindisha maamuzi. Hii arbitration imefanyika kwa misingi na kanuni za International Chamber of Commerce ambazo zinasema bayana kuwa hakuna appeal. Uamuzi unaandikishwa High Court of Tanzania si kwa sababu ya kupata baraka bali kuwapa taarifa ya kuwa uamuzi huo umefikiwa. Kama Tanesco watakaa kulipa , Dowans watakuwa na haki ya kuiomba Mahakama kushikiza hukumu hiyo maana taarifa watakuwa nayo.

Article 28 (6) ya rules za ICC inasema hivi:

Every Award shall be binding on the parties. By submitting the dispute to arbitration under these Rules, the parties undertake to carry out any Award without delay and shall be deemed to have waived their right to any form of recourse insofar as such waiver can validly be made.

Nimeitoa hapa:http://www.iccwbo.org/uploadedFiles/Court/Arbitration/other/rules_arb_english.pdf

Kwa kukubali kipengele hiki tulijifunga mikono. Ujinga wetu ulikuwa pale tulipoingia mkataba bila kuusoma vizuri, kuvunja mkataba bila kuangalia sheria inasemaje na tukijifanya wababe tutazidi kudhihirisha tulivyo wajinga.

Amandla........
 
tanzania hatuna wanasheria wala majaji, bali kuna washangilaji wa ujuma zidi ya wananchi na ubabasihaji katika kesi ndio maanna hakuna mwanasheria hata mmoja aliyewahi kushida kesi yoyote ya ughaibuni, sasa kama wanasheria wanaajiriwa na watu kama Mkono, na Mkono ni myonyaji mkuu na amebobea kwenye sheria utafanya nini? kwa ufupi mlolongo wa kuishitaki tanesco mpaka kushida unasikitisha wale wale wamejifanya wanatutetea alfu wakjishindisha kwa makusudi nani aliwachagua hawa Rex Attorney? kwa nini hawakutangaza na watu makini wakajitokeza? sasa angalia ya Werema naye huyu ni Mwansheria kweli amabye hajui alisemalo.

Tanzania hakuna wanasheria makini. Au niseme Tanzania hatuna umakini wa jambo lolote lile. Kama tuna umakini kwenye lolote basi naomba nifahamishwe hilo jambo.

Hawa wanasheria wa Tanzania ukiwasikia wafunguapo vinywa vyao yaani ni pumba tupu!
 
"Payment vouchers have been prepared at Treasury and all the relevant paperwork is ready to make swift payment to Dowans after the final go ahead is given," an official in the Ministry of Finance told THISDAY.
zimetoka kwenye bajeti ipi, fungu gani?

uongo
 
Back
Top Bottom