Mahakama Kuu ya Tanzania kuzuia malipo kwa DOWANS?

Ivuga
Ngoma ilishabadilika siku nyingi! Mahakama kuu imeshasema kuna ulazima wa kusajili hiyo hukumu mahakama kuu iwapo serikali na dowans hawataelewana. Ina maana serikali ikikubali kuilipa Dowans mambo yataishia huku huku mtaani bila kuihusisha mahakama kuu.
 
hii ni ishu ya lowasa na rostamu unafikiri kikwete anaweza kufanya kitu chochote hapo....acha tuendelee kuomboleza

You alwayz keep aside Kikwete from these bad deals but this guy beyond reasonable doubt belongs this gang,mgao wa Dowans unamuhusu directly,na uenda anatafuta nauli ya kukimbilia Saudia after "umma wa nguvu " MWALIMU NYERERE ALIWAKATAA TUKAPUUZA KWA UELEWA WETU MDOGO ONA SASA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom