Mahaba ya Pwani yananichanganya

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,376
Habari wana JF?

Nina mdogo wangu amepata post ya kazi mkoani Tanga baada ya safari ndefu ya kusaka elimu. Ni mwaka na miezi sasa imepita tangu aende kuanza maisha hayo ya kujitegemea.

Hivi majuzi alinitembelea kwangu kwa mapumziko, na katika kupiga piga stori alinipa story ya issue inayomsumbua.

Ana mpenzi kampata huko Tanga, anampenda saana Ila tu tatizo la huyu binti ni kwamba, wanapokuwa kwenye majambozi kunako bed, huyu binti hawezi kuenjoy bila kumsokomeza dole la kati dogo.

Hapo namaanisha kuwa, yule binti huwa anamuingizia dole sehemu za haja kubwa huyu mdogo wangu wakati wanapofanya mapenzi na amejaribu kumuonya lakini inashindikana kwani binti akinogewa tu hujikuta kafanya hivyo.

Binti anadai ndivyo alivyofunzwa katika maswala ya ndoa ili kumstarehesha mwanaume na ameshazoea coz wanaume wote aliowahi kumeet nao amekuwa akifanya hivyo na hawalalamiki kama yeye na anamshangaa sana.

Mimi binafsi nilikuwa najua wanaofanywa hivi ni mashoga but hii ni mupya sana kwangu.

Hebu tumshauri na tuzungumzie aina hii ya mapenzi niliyoisikia kwa mara ya kwanza, inakubalika kweli?

Thanx sana
 
kama nayaona macho yake wakati anasokomezwa huo mdole:laugh:

Laahaullah!!!, Jamaa saa hio anngojwa yupo katika point of no return(ORGANISM!), alafu chaaaa!!!, DOLE!!!, Naaam huko ni kufundishana Ushoga, wangu akijaribu hivyo, nyumba ataiona paaa!!!
 
Laahaullah!!!, Jamaa saa hio anngojwa yupo katika point of no return(ORGANISM!), alafu chaaaa!!!, DOLE!!!, Naaam huko ni kufundishana Ushoga, wangu akijaribu hivyo, nyumba ataiona paaa!!!

huo ni uoga wa kijinga kabisa,tiuacheni tuwaonyeshe mambo jamani mbona mnatubania:coffee:
 
jamani......ngoja niwaelezeni huyo bint wa kitanga anayajua mapenzi hasa...sema ameshindwa jinsi ya kujielezea mbele ya huyo bwana ake.................mi naelewa NA WALA HUKO KUINGIZWA KIDOLE HAKUHUSIANI NA USHOGA KABISAAAAAAAA....wapo wanaume wengi tu wanafanyiwa na wanainjoi...watu wanaingizwa ulimi nyi mnashangaa hicho kidole kidogo tena cha mwishoo aaaaaaaaah jamani.....MALE G SPOT kama sijakosea ni tissue zinaitwa PERINIUM...AMBAZO zinapatikana kwa nje lazima usugue ile sehemu inayotenganisha MK....na kende......pale kwa juu ila tissue zenyewe zipo kwa ndani...sa ukitaka uzipatie vizuri shurti kidole kiingie kule matakoni lakini sio wanaume wote wanaopenda LAKINI BABAZANGU MKIFANYIWA MTATAKA KILA SIKU MAANA NI RAHA....orgasm INAKUA YA RAHA AJABU....MI MPENZI WANGU HUWA NAMSUGUA NA NAMSHIKA KWA NJE LAKINI........NA HAIHUSIANI NA USHOGA KABSAAAAAAAAA.............YANI ULIZENI HATA MADOKTA........
 
Hii kweli kali jamani haha haha haha... imenichekesha sana , DU! mapenzi ni yana mambo ajabu sana, naomba niwaambie hivi haya mambo yapo ila ni kwa baadhi ya sehemu kwa kibongo bongo, mfano huyo dada ni mtanga kule hyo ni kawaida. Nampa pole mtendwa ila akiona inampunguzia utamu aongee tu na mwenzie, akiona haelewi basi atafute mwingine, maana mapenzi na kuumizana kimawazo si mazuri au kukoseshana raha katika shuguli haipendezi!
 
Mie sijaona cha ajabu,kila kabila linaraha yake ktk mapenzi na kila unyago unamafunzo yake na kungwi wake .mbona wanawake wanawekwa vidole nyuma wakati wa tendo na wengi hawatoi nyuma?kama hiyo ndio raha yake hata mti ausokomeze mie naona sawa tu.na ngoja mie niende Tanga kwa kungwi wa huko,nikirudi wanaume wa dar mtanikoma ni mwendo wa vidole 24/7
 
Mimi sina mchango wowote ila hiyo avata yako tuu. Kama sura ipo hivyo, je kama huko anaposokomezwa kidole mdogo wako pako vipi?
 
Back
Top Bottom