Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau

Katoa statement hii akiwa Singida - Sherehe za CCM. Hii JPM amepitiwa? au ndivyo inavyokusudiwa kuwa!
Kwa nini haumalizii alivyosema?
Kasema, ni marufuku kwa sababu watatekeleza ilani yao na kuwafanya watu wasitake kuchagua vyama vingine.
 
Sasa nimetambua mwaliko wa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi juzi pale white house ulikuwa na lengo gani. Na kwa maneno hayo tusahau katiba mpya nchi hii. Na hakuna time huru ya uchaguzi tena. Mbona namba tutazisoma tena kwa sauti kuu!? Ccm ni genge LA hatari kwa wakati huu.
 
Ccm kurusha matangazo Azam Tv siyo garama lakini kurusha Tbc live nigarama nakumbuka adithi moja wine si pombe lakini inalewesha kauli Tata
 
Hapa rais kapotea kwani kwani si rahis wa ccm tuu. Jukumu lake ni kuwaweka watanzania pamoja kwa kuwa rais wa ccm, cuf, act, nld, chadema, nccr nk. Kwa kauli hizi napata shaka na umoja alioujenga mwalimu nyerere
 
mmmmm....amshukuru Jk kwa kuvuruga tume ya uchaguzi na kufanikisha kuiba kura. ...sijui angekuwa wapi!duh JPM msahaulifu sana!
 
Walitawala warumi na Roman empire yao na sasa wamebaki historia,walikuwepo wasoviet na USSR yao sasa tumesahau//kuwa namba moja kwa muda haishindikan but kuwa namba moja milele kamwe haiwezekani...................kidumu chama tawala.....................
 
Magu angejinyamazia tu, majeraha yetu hayajapona bado, endelea Na mengine km kushtukiza, kuziagiza mahakama ziwa tie hatihani watuhumiwa haraka ili serikali ipate faida, kuazima mashine Na kudanganya umma kuwa mmenunua, Na matamko yanayofanana Na hayo, kuliko hizo kauli zilizo jaa jeuri
 
Rais magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM amesema "Kama kuna chama kina ndoto ya kutawala nchi hii wafute ndoto hiyo''.

Maana hakuna mtawala anayependa kutawaliwa,ameenda mbali na kusema. Hawa wenzetu wapinzani wanawaza ipo siku watatawala nchi hii wasahau hilo.

Dah nimejiuliza ina maana hata hao wapinzani wakishinda kwenye box waendelee kusahau? Nimeanza kupata picha ya kule visiwani,Pole sana Maalim.


Kuitamka demokrasia ni jambo moja,Kuitekeleza ni jambo jingine-Kagame


Nawa liweke tu kwa maandishi katika Katiba kwamba ni MARUFUKU NA MAKUFURU chama kingine chochote kuongoza hii nchi maana tunajua hawapendi na ni waoga hivyo yasi ishie tu midomoni kama kiburudisho, vinginevyo kama jeuri yao ni dhuluma,wizi na magoli ya mkono kuna wakati game ita kataa na watalamba mchanga kama ilivyo tokea uchaguzi ulio pita.
 
ukifikiri vzr na ukaangali kwa makini rais yupo sahihi, mfn, kama chama kilichopo madarakani kikitimiza wajib, raia wakapata maisha mazri, hospital madawa yapo, shulen elim inatolewa kwa kiwango, wafanyakazi wanalipwa vzr, miundombinu safi, shirika la ndege lipo,

sasa hyo mpinzan aje na ajenda ipi? nlimsikia anasema hii nchi inatakiwa iwe inatoa misaada si kusaidiwa, so far ikiwa fedha itakusanywa nyema,
naamin ikulu wapinzan wataisikia kwenye magazeti na kibaya zaidi huwa wanakosoa mean wenzao wanachukua na kufanyia kazi,

yupo sahihi kabisa ikulu wapinzani wanahitaji miaka 1000,
 
Kama kila rais atakuwa kama Magufuli
Kweli upinzani hii nchi wataisikilizia tu radioni.
Umenena pokea like.
Maana kwa sasa wapinzani wameanza kosoa ata ambavyo kwa common sense ni mambo mema kwa inchi hii.Ati kwa nini JPM asafiri kwenda njee.............................
Namna hii ya upinzani CCM watatawala milele
 
Back
Top Bottom