Magufuli na CCM yako waoneeni huruma watoto hawa

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,377
Wewe rais Magufuli na chama cha chako cha CCM waoneeni huruma watoto hawa kwa kuwapatia huduma bora ya elimu

Sio kila siku mnatamba tu Mara nchi ina fedha Mara tunanunua ndege,Mara tunajenga reli Mara umeme kwa fedha zetu

Mara elimu bure wakati watoto wa wanyonge unaodai kuwapigania wanasoma kwa shida hivi

Unachojua wewe rais ni kutaka sifa kwa kugawa hela kwenye mikutano yako upate sifa wakati kundi kubwa la watoto wa kitanzania wanasoma katika mazingira magumu hivi
Eric%20Shigongo_58842650_429151821244554_4161426643420054148_n.jpeg
 
Hapo ni wapi? mbunge wa hapo ni nani na ni jimbo gani hilo?
 
Mkuu hongera kwakuliona hili lakn ningependa kijua n wap huko ili wadau pia waweze toa msaada maana swala la elimu ni jumuishi pale tunapoona serkal inasinzia inabid watu kama ss mm na wewe tusaidie kuboresha huduma muhm
 
Tunalichukua Tutalifanyizia Kazi Haraka
Hii Shule Iko Wapi Ikiwezekana Tutajie Shule Ya Msingi Wapi
Tanzania Kwasasa Ipo Vema Maendeleo Hayana Chama
 
Hata hao wakishafanikiwa awatakumbuka makwao.Tuache unafiki ni nani humu keshawahi nunua hata dawati kapeleka kijijini kwake au hata shulee aliyosoma anyoshe kidole tuone.
 
Sijaelewa hii ni picha ya kenya au tz mbona hiyo picha hapo chini inanipeleka nje ya uwanja
 
Wewe rais Magufuli na chama cha chako cha CCM waoneeni huruma watoto hawa kwa kuwapatia huduma bora ya elimu

Sio kila siku mnatamba tu Mara nchi ina fedha Mara tunanunua ndege,Mara tunajenga reli Mara umeme kwa fedha zetu

Mara elimu bure wakati watoto wa wanyonge unaodai kuwapigania wanasoma kwa shida hivi

Unachojua wewe rais ni kutaka sifa kwa kugawa hela kwenye mikutano yako upate sifa wakati kundi kubwa la watoto wa kitanzania wanasoma katika mazingira magumu hiviView attachment 1092817
Watakuteka mkuu
 
Back
Top Bottom