Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

magufuli sio jk aliyekuwa mpole kupindukia
magufuli ni buldozer la ukweli lazma wataisoma.twende magufuli usimwogope mtu hata kama ni katibu mkuu wa ccm

Magufuli piga bei hayo mashangingi ya serikali, wanunulie landcruiser hardtop ndo zinafaa kwa barabara zetu hasa kuendea vijijini, hizo ni all weather vehicles and durable
 
Nina imani kubwa sana na JPM...
Na kwa kweli tumuombee tunayo expect toka kwake yatimie..
Maana in the end Tz ni yetu sote na vizazi vyetu...
Kumwombea mabaya I....kumsubiri ashindwe tumcheke ni most ill and selfish attitude...
Mi ni ukawa toka 2005, yani Udiwani, ubunge, na uraisi.
Ila huyu jamaa ni kiboko, na haogopi mtu, na atakwenda kinyume na wana ccm wengi. Atawakomesha wakwepa kodi, pia anaweza fanya maamuzi magumu ya kuteua waziri toka upinzani. Yeye ni nchi kwanza lichama peleka huko.

Namuonea uruma january, magufuli hata mkewe au mtoto akifanya ujinga anapewa kubwa. Ndo ije kina january
 
Maana yake ni kuwa Ubalozi usitumiwe kama asante...
Itabidi kuwa na mabalozi competent...tena multi-skilled...else tutegemee kujutra
Na huo ndio utaratibu unaotakiwa. Mabalozi wawe competent na wawe appointed kutokana na uwezo kitaaluma na kidiplomasia. Hii sekta imekuwa ya "kupeana asante" na mabalozi wengi wanaenda kulala huko hakuna la maana wafanyalo. Ni muda sasa hayo yaishe..
 
Magufuli piga bei hayo mashangingi ya serikali, wanunulie landcruiser hardtop ndo zinafaa kwa barabara zetu hasa kuendea vijijini, hizo ni all weather vehicles and durable

bei ya mashangingi na hardtops hazjatofautiana sana labda useme landrover..
 
Kuna lijitu limoja ofisini kwetu limekazana 'hamna kitu hapo' kisa yeye ukawa na mkanda wa hali ya juu
 
mbmbwembwe tu mwenzake alikuwa anatembea hadi na pensi kmbe hakna kitu
 
Watu wengine bwana. Kazi kweli, eti mnamuombea ashindwe. Natabiri mtasubiri sana. Hizo ndo kanuni alizitumia alikopitana zikamletea tija. Kaeni na roho zenu mbaya. Aliyepewa kapewa,hata mkifanya chuki, bure mwajisumbua
 
  • Thanks
Reactions: nao
hivi hawa makatibu si wale wale aliowaacha kikwete?

nina wasiwasi hawataweza kwenda na hii kasi.

kwanini walishindwa na sasa waweze?

ateue makatibu wengine

Hata mimi hili linanitia shaka sana.Hawa waliteuliwa kwa Vigezo na Viwango vya Kikwete kwa maana kwamba wawe ni wasafiri wazuri,na vigezo vingine ambavyi Kikwete alivihitaji.Nashauri Rais Magufuli ateuwe wanaoendana na Maono yake tofauti na hapo hatafanikiwa.
 
Ishu ni maitanance cost mkuu, mashangingi yanatafuna hela balaaa asikwambie mtu

land rovers ndiyo zingefaa, v8 zina low fuel consumption kuliko hardtops....siku ukibahatika kwenda toyota, mara baada ya kuingia angalia mkono wa kulia utaona bango la linaitwa service price list kwa magari aina yote ya toyota na kilometres zake .....kaka landrover ndiyo habari ya mujini.
 
Hii POWA! Lakini sasa ni muhimu na wakurugenzi amalizane nao mapema kabla mawaziri hawajaingia kuharibu. Wakuu wa wilaya na mikoa nalo tatizo, kila siku wanadai wapewe pesa wakazurure tena kupiga siasa
Magufuli weka utaratibu, 50% itoke kwa viongozi wa umma inayobaki ndiyo alete watu wasafi toka kwenye siasa
 
UKAWA maswali yenu ya ajabu jibu ni hili rais mpya alipoapishwa baraza la mawaziri la Kikwete nalo lilimaliza muda wake.

wanaposema kuvunjwa kwa baraza la mawaziri usifikiri wanavunja kwa kutumia nyundo.

Umemjibu vizuri ,maana maswali mengine hayana Tija kabisa!
 
vijana wa chadema mtasubiri sana huyu jamaa afeli... lakini kwa mwendo huu tinga tinga lashawashwa hakuna kurudi nyuma...
 
Back
Top Bottom