Magufuli ameukinai uwaziri..sasa apumzike

Status
Not open for further replies.
pamoja na john obhwarwa magufuli kuonekana kama waziri pekee wa ccm mchapakazi,lakini kuna kitu kinachomfanya uchapakazi wake uonekane sio lolote.kitu hicho ni dharau.huyu bwana ana dharau ya hali ya juu.sijui kwa kuwa amekuwa waziri kwa muda mrefu sana takribani miaka 17 au sijui kwa kuwa tunamsifu sana ndo maana anakuwa hivi sipati jibu.juzi wakati naangalia tb-ccm1 wakati huyu bwana akitembelea barabara zinazojengwa dar alikaripia vikali mamlaka zingine za serikali zinazokwamisha ujenzi huo zikiwemo tanesco na dawasco.akamwagiza mfugale afuatilie mamlaka hizo na kama wakisuasua ataonana na mawaziri wa mashirika hayo..na kama hiyo haitoshi akasema kama mawaziri hao pia watasuasua ataenda kwa jk moja kwa moja kuwashtakia...lol!!niliduwaa!!

Haya ni mambo ya kuongelea hukoo kwenye vikao vyao vya ndani (inter-ministrial meetings) sio kwenye vyombo vya habari bwana magufuli.sasa kama kuna waziri mhusika alikuwa anaangalia taarifa ile ya habari unadhani atakupa ushirikiano?atakukwepa tu.mimi nadhani this is too much for magufuli.anaropoka tu hadharani.hana busara hata kidogo.pamoja na uchapa kazi wake lakini bila busara ktk kutekeleza majukumu yake ni kazi bure. Ndio kuna mambo ya sheria zaidi,lakini kuna mengine hayahusu sheria.atulize jazba.achape kazi.lakini pia kuna kitu najiuliza,kuugua kwa huyu bwana malaria ya mara kwa mara ndo yamemfanya hivi?yamechukua sehemu ya ufahamu wake?mi nadhani akili zake zimezidi sana kiasi kwamba anaonekana kuchanganyikiwa...

Apumzike sasa.aachie wengine waongoze.pamoja na uchapa kazi wake lakini hafai kuwa kiongozi.

wewe ni mjinga kabisa niliwaambia na wajinga wenzenu kuwa magufuli anakubalika mkabisha sasa kiko wapi? Jk mwenyewe anamkubali nyie mazoba kazi kuandika upumbafu tafuteni thread za maana sio kukashifu watu kama magufuli na kupoteza muda wetu kuwajibu kama hivi inabidi mjibiwe na dozi kidogo ili muwe na adabu.
 
Pamoja na John Obhwarwa Magufuli kuonekana kama waziri pekee wa ccm mchapakazi,lakini kuna kitu kinachomfanya uchapakazi wake uonekane sio lolote.kitu hicho ni dharau.huyu bwana ana dharau ya hali ya juu.sijui kwa kuwa amekuwa waziri kwa muda mrefu sana takribani miaka 17 au sijui kwa kuwa tunamsifu sana ndo maana anakuwa hivi sipati jibu.juzi wakati naangalia TB-CCM1 wakati huyu bwana akitembelea barabara zinazojengwa dar alikaripia vikali mamlaka zingine za serikali zinazokwamisha ujenzi huo zikiwemo tanesco na dawasco.akamwagiza mfugale afuatilie mamlaka hizo na kama wakisuasua ataonana na mawaziri wa mashirika hayo..na kama hiyo haitoshi akasema kama mawaziri hao pia watasuasua ataenda kwa JK moja kwa moja kuwashtakia...lol!!niliduwaa!!

haya ni mambo ya kuongelea hukoo kwenye vikao vyao vya ndani (inter-ministrial meetings) sio kwenye vyombo vya habari bwana magufuli.sasa kama kuna waziri mhusika alikuwa anaangalia taarifa ile ya habari unadhani atakupa ushirikiano?atakukwepa tu.mimi nadhani this is too much for magufuli.anaropoka tu hadharani.hana busara hata kidogo.pamoja na uchapa kazi wake lakini bila busara ktk kutekeleza majukumu yake ni kazi bure. ndio kuna mambo ya sheria zaidi,lakini kuna mengine hayahusu sheria.atulize jazba.achape kazi.lakini pia kuna kitu najiuliza,kuugua kwa huyu bwana malaria ya mara kwa mara ndo yamemfanya hivi?yamechukua sehemu ya ufahamu wake?mi nadhani akili zake zimezidi sana kiasi kwamba anaonekana kuchanganyikiwa...

Apumzike sasa.aachie wengine waongoze.pamoja na uchapa kazi wake lakini hafai kuwa kiongozi.

Wewe lazima ni mzee na kama sio mzee umefanya kazi kwenye org za kizee zilizojaa urasimmu usio na manufaa kwa yeyote. Kitu kinachoweza kufanyika leo kwa amri tu unataka vikao na mabarua meeengi yale ya under flying series (ufs) na kupitia kwa (k.k). Mambo ya kizembe yasiokubalika kwa mchapakazi yeyote isipokuwa wazembe au vijana spoilt by the hopeless system.

Kumbuka ni kwa amri hizo hizo za magufuli ndio zilizofufua NHC mwaka 2006 baada ya kutoa mwezi mmoja kwa wadaiwa sugu wa NHC kulipa madeni yao na deni la takribani TSHS 17 Bil. lililipwa ndani ya mwezi mmoja.

Nchi hii inahitaji mawaziri wa type ya mawaziri kila wizara
 
obhwarwa maana yake ni pombe..kama magufuli hasikilizwi na wenzie anadhani akiropoka ovyo ovyo ndo atasikilizwa?!mnafiki yule

We kama ilikukera si ungezima tv.....alafu ukitaka kumponda mtu toa hoja nzito ya mabaya yake sio kukurupuka.....! Unataka awe mnafiki kama Nundu maji yanafika shingoni ndio anasema naibu wake alimzunguka.....Nilichokiona hapo ni chuki zako binafsi tu za yeye kuwa waziri kwa muda mrefu! Yego jaji..kajipange upya......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom