Magufuli akiteua wakuu wa wilaya 171, sitoelewa azma yake ya kubana matumizi

Hiyo ndiyo sheria kwa sasa na haikuanza leo na ili hilo jambo liwe kama mtoa mada alivyoshauri na wewe kumuunga mkono basi ni lazima sheria hiyo ifanyiwe marekebisho mahsusi. Rais hawezi akaamka asbhi tu na kuitengua hiyo Sheria, kuna taratibu zake.

Wewe ndo umejadili hoja badala ya kumshambulia mleta mada.
Naamini kama Magu ameliona hili atamwambia waziri wa sheria aupeleke muswada bungeni wa kuirekebisha sheria hii nyonyaji.
 
Nilimjibu hivyo kwa sababu najua anajua kuwa hicho kitu kipo.
Hata mi nikiwa sina uthibitisho, haitaondoa ukweli kuwa hali iko hivyo.
Mleta madai siku zote ndiye mwenye jukumu la kuyathibitisha na siyo mdaiwa ndiye anatakiwa athibitishe kua hadaiwi. Inaweza ikawa km unavyotaka endapo mleta madai amethibitisha madai yake kwa kiwango kinachotakiwa kwa mzigo unakuwa umehamia kwa mdaiwa kuvuruga uthibitisho wa mdai.
 
Hapo inakuwa imbombo ngafu naloli
 
mleta mada ana pointi fulani ambayo yunaweza kui-extend. Kwanza hii nafasi ya mkuu wa wilaya ni kama inagongana na ya katibu tawala wa wilaya. hizi nafasi mbili hasa ni za nini? ukiangalia mfano wilaya ya Kinondoni ngazi ya wilaya kuna mkuu wa wilaya, Katibu tawala, Mkurugenzi na Meya. wote hawa ni ma top katika nafasi zao. hivi nafasi ya mkuu wa wilaya haiwezi kushikwa na katibu tawala kupunguza mgongano na gharama??
 
Rafiki yangu ambaye ni mkuu wa wilaya aliwahi kuniambia wakuu wa wilaya wanapositaafu au kutoteuliwa tena au wakiambiwa msemo maarufu wa mzee watapangiwa kazi nyingine hulipwa kiinua mgongo cha Tsh milioni 80. Hii hajalishi unapandishwa kuwa mkuu wa mkoa au unahamishiwa wilaya nyingine. Ili mradi miaka mitano imeisha inahesabika umesitaafu.

Leo nchi yetu ina wilaya 171, kwa utaratibu huo wakuu wa wilaya 171 wanatakiwa kulipwa au wameshalipwa kiinua mgongo cha mil 80 kila mmoja! Hapo hujaesabu magari ya kifahari 171 ambayo hakuna linalopungua sh mil 300! na mshahara wa mil 3.8 kwa kila mkuu wa wilaya. Huu ni ubadhilifu!

Ningemuelewa rais wetu kama angewaacha hawa waliopo waendelee wakati anatafakari kukubaliana na rasmu ya Warioba ya kuundoa mfumo huu. Ikiwa rais atafanya uteuzi wa wakuu wa wilaya kitu ambacho najua atafanya, basi aache kutwambia ana adhima ya kubana matumizi.
MPK ukiandika habari muhimu Kama hii.Tafadhali tuwekee twakim tuthibitishe:Au weka chanzo cha habari.
 
Wakuu wa wilaya Na mikoa kulipwa milioni 80 Kwa miaka 5 in ufujaji Mkubwa wa fedha za walipa kodi

Rafiki yangu ambaye ni mkuu wa wilaya aliwahi kuniambia wakuu wa wilaya wanapositaafu au kutoteuliwa tena au wakiambiwa msemo maarufu wa mzee watapangiwa kazi nyingine hulipwa kiinua mgongo cha Tsh milioni 80. Hii hajalishi unapandishwa kuwa mkuu wa mkoa au unahamishiwa wilaya nyingine. Ili mradi miaka mitano imeisha inahesabika umesitaafu.

Leo nchi yetu ina wilaya 171, kwa utaratibu huo wakuu wa wilaya 171 wanatakiwa kulipwa au wameshalipwa kiinua mgongo cha mil 80 kila mmoja! Hapo hujaesabu magari ya kifahari 171 ambayo hakuna linalopungua sh mil 300! na mshahara wa mil 3.8 kwa kila mkuu wa wilaya. Huu ni ubadhilifu!

Ningemuelewa rais wetu kama angewaacha hawa waliopo waendelee wakati anatafakari kukubaliana na rasmu ya Warioba ya kuundoa mfumo huu. Ikiwa rais atafanya uteuzi wa wakuu wa wilaya kitu ambacho najua atafanya, basi aache kutwambia ana adhima ya kubana matumizi.

Watu wengine bhana. Mtoa mada anajaribu kuangalia namna ya kupunguza ufujaji wa pesa yetu ili tufanye mambo ya kimaendeleo wengine mnamshambulia.
Kuna haja gani mtu kulipwa kiinua kifua mil.80 halafu baada ya miaka 5 hata kama ataendelea au atateuliwa kuwa mkuu wa mkoa?
Tusijipofushe ufahamu wetu. Magu lazima aendelee kuonyesha tofauti na aliyemtangulia hata ktk hili.
Angekuwa alishafanya angesifiwa sana tu lkn kwa sababu anakumbushwa, mkumbushaji anashambuliwa.
Poor Tanzania.
Wakuu wa wilaya 171 shs 80m@ Vs wabunge 368+ wa bunge la JMT ambao @atalipwa above 200m baada ya miaka 5.

Mfano: DC wa Ilala anasimamia majimbo ya Ilala, Ukonga na Segerea, lakini mwishoni anapata 80m wakati mwenzake anapata 200m+

Au Mbunge kutoka upande wa pili ambaye eneo la ukubwa wa jimbo lake ni dogo kuliko kata ya mwananyamala lakini wishoni anapokea shs.200m+

Huyu DC ni wakati wote usiku na mchana yupo busy na eneo lake tofauti na hawa jamaa wanaotekeleza majukumu yao kwa msimu, halafu tunadhani 80m ni nyingi sana, tuache wivu wa kike.
 
mleta mada ana pointi fulani ambayo yunaweza kui-extend. Kwanza hii nafasi ya mkuu wa wilaya ni kama inagongana na ya katibu tawala wa wilaya. hizi nafasi mbili hasa ni za nini? ukiangalia mfano wilaya ya Kinondoni ngazi ya wilaya kuna mkuu wa wilaya, Katibu tawala, Mkurugenzi na Meya. wote hawa ni ma top katika nafasi zao. hivi nafasi ya mkuu wa wilaya haiwezi kushikwa na katibu tawala kupunguza mgongano na gharama??
How vinagongana? Unless haufahamu wanavyotekeleza majukumu yao.
 
Back
Top Bottom