Magu: Viongozi wa CHADEMA washikiliwa na Polisi

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo Wakuu,

Heshima kwenu!

Kamanda Mawazo na Pamba wanashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Magu baada ya kutofautiana kauli na OCD-MAGU. Ikumbukwe kuwa jana ndo ilikuwa mwisho wa kampeini za uchaguzi wa serikali za vijiji 6 na vitongoji 20 wilayani Magu na leo ndo siku ya uchaguzi.

Zaidi nitaendelea kuwajuza.

My take :-
SISI SOTE NI NDUGU LAKINI ADUI YETU MKUBWA ALIYETUFIKISH A HAPA WATANZANIA NI CCM.
 
Wamewakamata ili wafanikiwe kuiba kura ndo kawaida ya polisiccm. Na ukizingatia bila polisi ccm itakufa kabisa..
 
Hao polisi wa Magu wana nguvu sana kuliko nguvu ya umma? Mbele ya safari wajifunze ya Masasi.
 
Wafungeni hao washenzi mawazo asituletee mawazo ya arusha hapa ni magu weka ndani hadi kesho ndio akome,
 
kila jambo ccm wanalojaribu kufanya wanazidi kujichimbia kaburi.
polisi hawawezi kuzuia harakati za mabadiliko kamwe.
 
Kamanda lema na wengine kama kinazito sasa nimuda wa kwenda kuwatia moyo wana magu ili wamalizie kuizika ccm,kwani mimi naamini hizo ninjama plz panden ndege ile ya dk 45 mshuke magu kama mwewe tunajua mnaendelea na vikao Arusha ila jigaweni kwa imejensi plz 4 that
 
Makamanda mkitoka mzidi kuelimisha wanaMagu naikiwezekana mfike hadi vijijini kwani wilaya hiyo na watu wake

wanahitaji kukombolewa .Magu mjin haina maji safi na kama ya kitoka ni kwa masaa kisha yanakata wakati ziwa wanalo umbali km 5Km hawana mbunge kabisa
 
Only a foolish dog barks at the flying birds . Imagition poverty is the least poverty. M4c never stop .
 
Wafungeni hao washenzi mawazo asituletee mawazo ya arusha hapa ni magu weka ndani hadi kesho ndio akome,

Mkuu kichuli, tangu lini mpigania hali akakoma kwa kuwekwa ndani?
Kama ingekuwa hivyo basi Mzee Jomo Kenyatta na mkuu sana Nelson Mandela wasingetukuka katika nchi zao na kwingineko. Wangekoma kama unavyopendekeza.
 
Wafungeni hao washenzi mawazo asituletee mawazo ya arusha hapa ni magu weka ndani hadi kesho ndio akome,
Hivi wewe na upumbavu wako unadhani mtu makini kama Mawazo ana weza kuhofia kukakamtwa na polisi au kumtishia kumkamata.....
 
Wafungeni hao washenzi mawazo asituletee mawazo ya arusha hapa ni magu weka ndani hadi kesho ndio akome,

Kama vile una Idea za kizamani sana, Mkuu Kichuli na jina lako hilo kama mboga ya jamaa zangu Wakurya wanaipata baada ya kuchija mfugo, hebu jitahidi kubadilika utoe hayo mawazo mgando ya miaka 47.

Tujenge Tanzania yetu na watu wake na si kubomoa
 
Wafungeni hao washenzi mawazo asituletee mawazo ya arusha hapa ni magu weka ndani hadi kesho ndio akome,

Wawafunge na kamba?nawe kuwa na akili hao makamanda wanafanya shughuli halali ya kisiasa unawafunga vp?
 
Hizo ni mbinu zao ili kuwavunja moyo wana magu kisha waibe kura.makamanda walioko karibu wakabe hapo kwani hii vita si ya mawazo na hao walioshikwa ni vita takatifu ya pamoja kupambana na mkoloni mweusi.
 
Wafungeni hao washenzi mawazo asituletee mawazo ya arusha hapa ni magu weka ndani hadi kesho ndio akome,

pole sana kama ccm ndo wanakuweka mjini kwa ufisadi wako na wao nikujulishe tu kuwa mwisho waja na siyo mbali ni 2015 ambapo mtanyea ndoo wengi wenu
 
Si mwenyekiti wa CCM alisema kule Dodoma kuwa CCM wasitegemee polisi, inakuwaje hawa polisiccm hawataki kuacha kutumika?
 
Kamanda Omusilanga,naomba utujuvye huyo kamanda Pamba ni Pamba Joseph au?

Back
Top Bottom