Magonjwa kwa kuku wa kienyeji na maatibabu

tigana

Member
Feb 20, 2012
22
1
Wataalamu naomba msaada wenu nina kuku wangu aina ya kuchi anaumwa anasinzia na kuharisha kinyesi kama cheupe ni dawa gani inaweza kumtibu kuku wangu naomba msaada Maana nilimnunua bei kubwa sana. Shukrani
 
Katafute dawa moja inaitwa Trimazine 30% na Vitalyte kisha utatumia dawa zote mbili kwa dozi utakayoambiwa na muuza daka la dawa. Au kama unaweza kuchoma sindano katakute dawa moja inaitwa Gentamizin sulphate, nahisi kama tifodi vile ingawa hujabainisha dalili nyingi.
 
Kuku wangu takribani kumi.
Wana mafua na mmoja amekufa dawa nimewapa lakini naona wanazidi kuzubaa sijui nifanyeje?
 
Kuku wangu takribani kumi.
Wana mafua na mmoja amekufa dawa nimewapa lakini naona wanazidi kuzubaa sijui nifanyeje?

same time madawa unakuta yame isha expire, hili nalo ni tatizo kubwa sana na hasa kwenye chanjo, watu wengi wamekuwa wakiwapa kuku chanjo na bado wanakufa kwa magonjwa kama kideli,
 
Back
Top Bottom