Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
Magufuli ni chekibobu tu...aliuzia jamaa zake nyumba za serikali.
Hakuna waziri muongo kama Magufuli..kwa wasio mjua ndio mnaona ana chapa kazi..kelele nyiingii lakini hamna kitu pale..wale wale tu!!
Ni mtu wa kawaida tu.
ukitaka kujua ubora wa pombe magufuli nenda brbr ya morogoro
saa kumi na moja jioni au asubuhi saa kumi na mbili.
Ukweli ni kwamba Magufuli ni mchapakazi, mfutiliaji, anajiamini, hana woga wala longolongo, haoni haya kuwaonea haya wazembe, wavivu, wezi na wadanganyifu. Katika CCM ya leo, Magufuli anaweza kabisa kuuzika na kukubalika kwa wananchi.[/QUOT
I gree with you, kweli hakunaga kabisa kama Dr.Pombe Magufuli.mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kila siku tunapita hapo kwani kuna nini?
Foleni????:A S embarassed:
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, wanaomchukia Magufuri ni wale waliozoea kuambiwa hamna taabu huo ni moshi tu hata kama nyumba inaungua. Kwa kifupi ndani ya CCM hakuma kiongonzi anayeweza kukiokoa chama chao zaidi ya Magufuli.
Nani Kama John Pombe Magufuli..,
1.Kiongozi mchapakazi anayejituma
2.Kiongozi ambaye hajajilikimbizia mali, tujiulize magufuli anamiliki kampuni gani..?
3.Anatanguliza mbele maslahi ya Taifa, na maslahi ya chama. kwani hajihusishi na makundi kuleta mgawanyiko katika chama
4.Kiongozi anyesimamia ukweli na mwenye msimamo thabiti..!
5.Kiongozi huyu hatumii pesa kujisafisha au kujijengea njia kuwa raisi 2015, zaidi ya uongozi wake bora na sio kumwaga fedha na kuunda mitandano au makundi
6.Anajiamini (self confident) hatawachekea mafisadi na wazembe serikalini, na hata wananchi wavivu na wabishi mfano wa kigamboni waliombishia kuhusu nauli, watanzania tunapendwa kubebwa kila wakati kwenye sehemu ambako hatubebeki, ndio chanzo kikubwa cha umaskini
7.Ni mfuatiliaji mzuri wa matatizo, kama alipanda lori na kujifanya abiria kukamata wanaochukua rushwa kwenye mizani,..kiongozi gani ambaye atakuwa tayari kufanya jambo kama hili serikalini..? zaidi ya kuandaa warsha na vikao kutatua matatizo
Napenda kumfananisha John Magufuli na Paul Kagame, kwa style zao za uongozi bora na kupambana na ufisadi,rushwa na hujuma dhidi ya taifa...!
Magufuli ameweza kuwa mtu pekee mwenye kukiletea heshima chama cha mapinduzi (ccm), kama kufanikisha ushindi Igunga,na pia atakuwa ndio striker kwnye uchaguzi Arumeru..,kweli anatimiza Ilani ya CCM kwa asilimia 100..!
Watanzania Kama tunapenda maendeleo, tumpe moyo viongozi kama hawa wenye kujituma na kutetea maslahi ya Taifa...!
Ningepanda nishauri Mh.John Magufuli apewe Ulinzi maalumu maanake wasije wakamfanyia mabaya hasa wale wanaokamia urasi 2015..! kwakuwa wanaamini ni tishio kwao
Mdau anamfahamu Magufuli kwa aliyoyataja hapo juu. Wewe unayemfahamu kwa upande mwingine weka hadharani unayoyafahamu tumpime. Hatutaki porojo hapa lete facts.
Nani Kama John Pombe Magufuli..,
1.Kiongozi mchapakazi anayejituma
2.Kiongozi ambaye hajajilikimbizia mali, tujiulize magufuli anamiliki kampuni gani..?