tangu tupate uhuru haijawahi tokea uporaji mkubwa na wa kisayansi kama uuzaji wa nyumbahuyu jamaa ni waziri wa vyombo vya habari anavyopenda sifa ni muongo wa kutupwa hafai hata ujumbe wa nyumba kumi ameshalitia taifa hasara sana kwa maamuzi yake ya kibabe na machafu yasiozingatia maadili ya uongozi