Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,542
- 93,149
Mimi ni mtu ambaye nimeshakinaishwa na Tamthiliya za huyu Zitto Kabwe na ndio maana nilikuwa nasubili kwa hamu nione coverage ya magazeti ya leo yatakuwaje, kama ilivyo kawaida na desturi ni Gazeti la Mwananchi pekee ndilo lililoipa coverage habari hii ambayo source yake eti ni Mirald Ayo.
My take: Ukiona habari yoyote ya kuibobomoa Chadema, haijapewa kipaumbele na magazeti ya Uhuru, Mtanzania na Habari leo basi ujuwe ni Gazeti la Mwananchi pekee ambalo Zitto Kabwe ni sehemu ya wahariri wake tayari wanakuwa wameshaandaa story yao ili kuwapumbaza watu.
Bado sijamsahau Zitto huyu huyu aliyetangaza kutogombea Ubunge mwaka 2010 na baadaye akaibuka kutangaza kugombea ubunge kwenye majimbo 5 tofauti, huyo ndio Zitto Kabwe.
.