Magazeti yanayomchafua LOWASSA!!

Hebu tuambieni uhusiano uliopo kati ya kifo cha mwalimu na mbio za kusaka urais kuanzia 2005 na jins ya kupata pesa za kusaka urais kuanzia wakat huo.nani atakuwa msafi kat ya viongoz wa juu baada ya kifo cha mwalimu.ni vipind gani vya uongozi nchi imeshuhudia ikulu maamuzi yakifanywa na ukoo.ni upuuzi kuchagua viongozi ubongo zao ni madafu.kwaherini
 
Back
Top Bottom