Hakika hili ni jambo la kupongezwa sana kwa wenzetu. Shame kwamba hapa Tz pamoja na kujua hili tatizo na kutambua mbinu ya kulishughulikia kwa muda mrefu, serikali yetu halijaipatia msisistizo wala kuanza kulishughulikia. Viongozi wanapenda kutembelea kwenye magari ya starehe yenye gharama kubwa kwa Taifa letu huku wakienda kwenye majukwaa ya kisiasa na kuhimiza watu wachape kazi na kulipa kodi. Na hapo hapo Rais wetu Kikwete akifanya safari ughaibuni kwenda kuombeleza misaada ya aina mbalimbali. Wakenya wameamua!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.