Magari ya kifahari kurudishwa

kwa tz hiyo ni ndoto. Labda wale wazee walioongoza mapinduzi ya zanzibar wafufuke waje watembeze mapanga
 
Hakika hili ni jambo la kupongezwa sana kwa wenzetu. Shame kwamba hapa Tz pamoja na kujua hili tatizo na kutambua mbinu ya kulishughulikia kwa muda mrefu, serikali yetu halijaipatia msisistizo wala kuanza kulishughulikia. Viongozi wanapenda kutembelea kwenye magari ya starehe yenye gharama kubwa kwa Taifa letu huku wakienda kwenye majukwaa ya kisiasa na kuhimiza watu wachape kazi na kulipa kodi. Na hapo hapo Rais wetu Kikwete akifanya safari ughaibuni kwenda kuombeleza misaada ya aina mbalimbali. Wakenya wameamua!
 
duh...kenya wametuacha!yani yale yale tunayoyaongelea hapa...kenya weshafanya!
 
naona hii ilikuwa 2009!duh...na sasa wana Katiba mpya!hili sasa ni bao la kisigino!
 
Back
Top Bottom