Umena ukweli hapa! Hata kobe anajua gamba lake ni mzigo mzito kwake na ndio maana hata tembea yake ni ya pole, huwa anatamani kuling'oa lakini akikumbuka anajua atakufa. Na hata c....c....m.... wanalitambua hilo! Ukishajua tu kuwa huu ni mkaa usitegemea rangi nyeupe!Tangu lini gamba la kobe likatoka kirahisi? Unataka atoke damu na kufa?
Oyeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!Magamba yanaujasiri usiopimika, kushindwa kwao ndio furaha yetu! Magamba oyeeeee?