Mafuta ya taa kwenye msosi shule za bweni, ni kweli yanapunguza nyege?

mafuta ya taa wanaweka kwenye chakula kama emergency iwapo umeme utakatika umeme ukikatika kila mtu anachukua kiberiti anakiwasha chakula chake anamulikia tena ugal unawaka kweli
Kabisa hata enzi zetu tulitumia sana hiyo mbinu
 
Ndio maana aisee Dawa za Nguvu za Kiume zimekuwa nyingi siku hizi
Wanawake hawana hisia wanaume nguvu hakuna,kumbe Mlikuwa mmegeuzwa Sheli aisee
 
Ndio maana aisee Dawa za Nguvu za Kiume zimekuwa nyingi siku hizi
Wanawake hawana hisia wanaume nguvu hakuna,kumbe Mlikuwa mmegeuzwa Sheli aisee
Nifahamuvyo mimi mafuta ya taa ni sumu. Sasa kama watoto wa watu waliosoma boarding school,tena waliokuwa katika umri ambao miili yao ilikuwa inakuwa na demand ya nutrients kuwa ya juu( yaani umri wa kubalehe ) walilishwa sumu hii kwa kiwango kidogo kwa muda mrefu, Bila shaka naamini kabisa huenda ongezeko la maradhi kama ya kansa nchini , hasa kwa watu wenye umri mdogo na magonjwa mengine kama ya mood disorders, huenda vikawa na uhusiano mkubwa sana.
 
Juu ya hili, kimsingi hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi unaoonesha kuwa mafuta ya taa hupunguza ashki. Kilichokuwa kinatokea, sina hakika kama kinaendelea ni imani tu. Nimekula hiyo kitu kwa miaka 6, very disturbing lakini kulikuwa hakuna namna.
Na hii imani haikuwa kwa Tanzania tu bali nchi nyingi za Afrika
 
Mpaka leo nimesoma sijaona mechanism ya mafuta ya taa kupunguza nyege..
Aliyetunga hii kitu aandike paper zake achukue uprofesa fastaa
 
Hivi hadi hawa wa sasa wanaendelea kuwekewa hayo mafuta ya taa??
 
Haukuwa utaratibu wa shule zote.Niliposoma japo ilikuwa wali mara moja kwa wiki na nyama mara moja kwa mwezi na wakati mwingine unakutana na wadudu kwenye maharage,lakini sikumbuki kama kuna siku nilikumbana na harufu ya mafuta ya taa kwenye chakula.
Zoezi hili mara nyingi hufanyika ktk shule za bweni za wasichana ili kuwapunguzia msongo wa sexual hormones ambazo zikizidi mwilini huweza kuwasababishia mfadhaiko uitwao HYSTERIA.
 
Back
Top Bottom