Kimsingi hakuna aliyefanya niniiii?Mafuta ya taa ni muhimu kwa afya ya binadamu.Mpe hi AZ! NIMESAHAU.

Inamaana hujui yakwamba mafuta yataa yanafanya wanafunzi haswa wa boading kuwapunguzia heat?haaaa wanaondolewa nyege kiaina bila wao kujua,ndo waishi swari bila kupata ugonjwa wa mapenzi na kuanza kucheka wenyewe.

shule mchanganyiko!boarding za was kwa wav. Hazina mtindo huo!zile za jinsia moja ndo zina mtindo wa kuweka mafuta ya taa

Bora mi-niliyesoma secondary ya kata maana hata nilikua sijui kama mafuta ya taa ni dawa ya penzi, teh teh teeeh!!!!!

POPEYE WE UNA MHUSIANO NA MREMBO0 YOyOTE?MAFUTA NI DAWA NZURI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.UKEKE WOTE KWISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

duh.!!! mafuta ya taa.. mi sili bora npate hiyo heat, ntatafuta wa kupunguzia
duh.!!! mafuta ya taa.. mi sili bora npate hiyo heat, ntatafuta wa kupunguzia