Huku Nyakanazi imegonga 2650 per liter, ni hatari sana. Ila hivi na hawa UKAWA tukiwapa nchi si na wao watafanya hayahaya? Maana hata mkuu alivoingia hakuwa anajua chochote sasa akajanjarukia njiani kwani UKAWA wao hawawezi kujanjaruka.Dawa ni kuliombea taifa liwe na hofu ya Mungu tu basi, aje CCM aje UKAWA ama hata ACT kama hakuna hofu ya Mungu mambo ni yale yale tu
Mafuta hayawezi kushuka kiasi hicho tz ingawa kwenye soko la dunia ndo hivyo yapo chini,sasa hivi CCM wapo busy kukomba hazina.
Yameshuka nje ila tunataka tz nayo yashuke bei?
Lowasa anao marafiki. Wanamchingia billions. Marafiki wa Lowasa ni akina nani? Marafiki wa Lowasa ni wafanyabiashara matajiri. Marafiki wa Lowasa wanafanya biashara gani? Mimi sijui, ila wengine ni wafanyabiashara ya mafuta, ingawa kapuya alishadokeza habaro za watoto wao kuuza unga. Bahati nzuri lowasa anauchukia umaskini ila kashindwa hata kuanzisha kiwanda cha kusindika maziwa ya ng'ombe wa Masai wajomba zake.Bei itapanda zaidi ya hapo kwa tanzania au mnajifanya hamjui mama baba riz na huyo riz ni wamiliki wa vituo vya mafuta
Sasa ikiwa mkuu wa kaya ndio muuza mafuta je unafikiri atasimamia kushuka kwa bei
Lowasa hoyeeeeee ukawa hoyeeeeee jamani Chonde Chonde dawa ni Kuwamwaga nnya hawa ccm
sheli ....ulimaanisha kituo cha kuuzia mafuta?, duh bado safari ni ndefu.EWURA ni kansa nyingine inayotutafuna watanzania na hakuna Dawa nyingine zaidi ya LOWASA ili kupambana na akina JK waliotandaza sheli nchi nzima alafu wanatuhadaa watanzania wakiungana namabwege wachache wenye gundi machoni.
Tuanze wakati tayari chama kimesha weka cha juu kwenye ununuzi wa mafuta wa jumla sh biliioni 20 toka tarehe 29 julai 2015.kwa kuvunja sheria ya manunuzi .na hayo mafuta ya bei ya chajuu.yanaingia nchini wiki hii.:source the citizenEwura hapo macho yana gundi, yakipanda ni fastaaa kabla hata mtangazaji hajamaliza kutangaza...
Wanajamvi tuanze kupiga kelele.
Lowasa anao marafiki. Wanamchingia billions. Marafiki wa Lowasa ni akina nani? Marafiki wa Lowasa ni wafanyabiashara matajiri. Marafiki wa Lowasa wanafanya biashara gani? Mimi sijui, ila wengine ni wafanyabiashara ya mafuta, ingawa kapuya alishadokeza habaro za watoto wao kuuza unga. Bahati nzuri lowasa anauchukia umaskini ila kashindwa hata kuanzisha kiwanda cha kusindika maziwa ya ng'ombe wa Masai wajomba zake.
Ombea maji yageuke petrol mkuu. Naona hujui maana ya uongozi na mfumo kandamizi. Nina uhakika hata kura wewe hupigi kwasababu unaamini haya yanayotokea yanahitaji maombi tu.Huku Nyakanazi imegonga 2650 per liter, ni hatari sana. Ila hivi na hawa UKAWA tukiwapa nchi si na wao watafanya hayahaya? Maana hata mkuu alivoingia hakuwa anajua chochote sasa akajanjarukia njiani kwani UKAWA wao hawawezi kujanjaruka.Dawa ni kuliombea taifa liwe na hofu ya Mungu tu basi, aje CCM aje UKAWA ama hata ACT kama hakuna hofu ya Mungu mambo ni yale yale tu
Huku Nyakanazi imegonga 2650 per liter, ni hatari sana. Ila hivi na hawa UKAWA tukiwapa nchi si na wao watafanya hayahaya? Maana hata mkuu alivoingia hakuwa anajua chochote sasa akajanjarukia njiani kwani UKAWA wao hawawezi kujanjaruka.Dawa ni kuliombea taifa liwe na hofu ya Mungu tu basi, aje CCM aje UKAWA ama hata ACT kama hakuna hofu ya Mungu mambo ni yale yale tu
Masai hawafugi ngombe wa maziwa .ngombe wa nyama tuu.na tayari kuna kiwanda cha nyama .masaini
Masai hawafugi ngombe wa maziwa .ngombe wa nyama tuu.na tayari kuna kiwanda cha nyama .masaini