Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,282
- 105,486
Kiranga huna hoja unachojua ni mipasho tu na vitisho tu kwani mke wako aliingiaje pale anapofanya kazi mbona itakuwa aibu tukienda hiyo njia! Wacha wewe eti Lowlives! Ha! Ha! Kwa hiyo kazi ya dukani tena la nguo! Ha! Ha!
- Kiranga unataka tuongelee habari baba yako na uchawi alipokuwa pale Ubalozini na ule wizi wake wa Credit Card na kumuuzia Ubunge Mwapachu! Ha! Ha! Uko kwenye kioo acha matusi wewe!
- Mafuriko ni kipimo cha uongozi na kampeni za Urais hasa CCM zilishaanza So walitakiwa kuwepo wagombea wote kwenye haya mafuriko.
Hahaha,
Ur bluffing bro.
Mara nina blog, nimekwambia uitaje umechina, umesepa, hukumbushii tena blog. Unadaiwa.
Mara baba angu kamwachia Mwapachu jimbo, mimi sina ndugu mwanasiasa hata mmoja ukoo mzima, sembuse baba yangu, hatuwezi uchafu wa kudanganya watu katika mfumo mbovu na umalaya wa ku sacrifice principles for party politics. Watu wako na professions zao, wengine wanalima tu huko.
Mara mke wangu kafikaje pale, wakati mie sina mke.
Au kwa sababu nyie ndio mnaoingizana mabalozini kwa kujuana mnafikiri kila mtu hivyo hivyo? Acha ku bluff, unajionyesha mjinga zaidi na zaidi. Hunijui kabisaa na unazidi kuonyesha hilo.