Waungwana wote wanajua kwamba utamaduni wetu hatuleti siasa katika msiba.
Hata wanasiasa wazoefu wanajua kwamba huwezi kuleta siasa katika janga/ msiba, utaonekana opportunistic. Hata wakileta siasa, wanaleta kwa machale, sio openly kama wewe.
Let's say mtu anasaidia saaana leo kwenye janga, what does that prove? Kwamba ndio atakuwa rais mzuri sana? Unataka kutuletea siasa za pilau, kanga na kofia hapa? Hii JF sio kijijini kwenu huko, hata kijijini kwenu walimshtukia mbunge asiye sifa wakampiga chini.
Let's say mtu haonekani katika kusaidia katika majanga haya kwa sababu ambazo hata hatuzijui, hilo lina prove nini? Kwamba hawezi kuwa rais mzuri?
Acha kuwa shallow hata wakati wa mafuriko mazee.
Urais wa Tanzania is a much deeper issue kuliko mtu kuonekana anasaidia katika matatizo ya mpito haya
Mkuu naona kama haujamuelewa vizuri Kiranga.......I couldn't agree with you more..
Ni makosa makubwa kuufananisha Urais na show-case za kwenye "majanga" , hatuhitaji Rais wa kuwafariji watu wakati wa majanga bali tunahitaji Rais atakayeforecast majanga na kuyazuia.
Kama kushiriki kwenye majanga kingekuwa ni kigezo basi kila mtu angeweza kuwa Rais,na hakuna aliye mzuri kwenye hili kuliko Jakaya Kikwete mwenyewe, nchi hii ipo kwenye mkwamo leo kwa sababu ya wananchi kuendekeza vitu vidogo vidogo kama hivi, kama taifa tunapaswa tutoke kwenye mawazo muflisi kama haya...
Hao wengine wa vyama vingine kwa mfumo wa sasa ni wasindikizaji tu. Mchakato wenu wa CCM ukishakamilika wenye akili timamu huwa tunajua Rais ameshapatikana. Tunachokisubiri ni asilimia ya ushindi na sherehe za kuapa. 2015 hakuna mwenye uhakika kwamba atateuliwa na vigezo vya rafiki yako JMK kumpata mgombea vimeongezeka na wakati mwingine vinazuka ghafla kwenye vikao! Si unakumbuka Mh Sitta alivyotakiwa kubadili jinsia yake dakika za mwisho ili aendelee kuwa Spika?Wild Card siku hizi tuna wagombea wengi na kutoka vyama mbali mbali, So kama hatukuwaona kwenye mafuriko tunatakiwa kuwaona wapi? Mbona wanapita wakigawa hela huko mtaani lakini kwenye mafuriko hawapo?
Mkuu naona kama haujamuelewa vizuri Kiranga.......
Btw......Habari za siku mingi?
W.Malecela you are just concentrating on personal attacks,unaonyesha jinsi usivyokuwa na uvumilivu wala umakini katika kujadili hoja,unaendeleza majungu kama siasa za chama chenu....Kiranga amejaribu kukuonyesha kuwa mchakato wa urais 2015 si mpaka ufike kwenye eneo la tukio,Rais makini ni yule anayeleta strategy za kukumbana na majanga yanayotupata....pia hatutaki kuona wanasiasa ambao ni opportunistic,otherwise jifunze kujenga hoja siyo kuattack mtu personally.Kiranga huna hoja unachojua ni mipasho tu na vitisho tu kwani mke wako aliingiaje pale anapofanya kazi mbona itakuwa aibu tukienda hiyo njia! Wacha wewe eti Lowlives! Ha! Ha! Kwa hiyo kazi ya dukani tena la nguo! Ha! Ha!- Kiranga unataka tuongelee habari baba yako na uchawi alipokuwa pale Ubalozini na ule wizi wake wa Credit Card na kumuuzia Ubunge Mwapachu! Ha! Ha! Uko kwenye kioo acha matusi wewe!- Mafuriko ni kipimo cha uongozi na kampeni za Urais hasa CCM zilishaanza So walitakiwa kuwepo wagombea wote kwenye haya mafuriko.
Twitter zinazuia mafuriko? Au yeye ndo aliwatuma mkajenge mabondeni? Aliwatuma mjenge kwenye maeneo yasiyopimwa? Toa shuzi lako hapaJiulize meya wa Ilala na wa Dar wako wapi?
apparently meya wa Ilala ni kijana mdogo tuuu hivyo angewa kupatikana kwenye twitter na website lakini haijulikani yuko wapi
Makamuzi Raisi anayeufaa ni yule anayeweza kujitokeza as soon as possible janga likitokea kama Bush alivyofanya sio yule janga limetokea sasa hatumuoni halafu kuna genius anayesema ajishughulishe kusubiri uchaguzi na kuprevent future majanga I mean it is pure nonsense to me!
mkuu@ NYC USA, heshima kwako. Kimantiki na kwa hoja kama itasimama yenyewe independently uko right 100%. Unachokosea ni kutaka kuturithisha ugomvi wako binafsi au wa familia yako na EL.Muyisanzu hoja hujibiwa kwa hoja na viroja sharti vijibiwe kwa viroja!
- @WILDCARD ni kwamba kwanza on FMEs RO, Chikawe na Rais wa Jamhuri wanamjua ni nani that is all counts. Otherwise hawa viongozi wanaopita wakigawa pesa chafu huko mitaani wangejitokeza kwenye haya mafuriko.
Twitter zinazuia mafuriko? Au yeye ndo aliwatuma mkajenge mabondeni? Aliwatuma mjenge kwenye maeneo yasiyopimwa? Toa shuzi lako hapa
Sikubaliani na wewe hata kidogo,hivi tukianza kufikiria vitu kama hivyo ndiyo kipimo cha kuwa na Rais bora,kumbuka Jakaya alipopata urais alianza kuwatembelea wafungwa magerezani,anapiga picha na watoto na hatimaye kugonga nao,Je amefanya nini cha maana zaidi ya kusaidia kutumia billion 60 katika maadhimisho ya miaka 50,huo nao ni ufisadi...hizo fedha zingesaidia kujenga hospitali vijijini kama njia ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru.Makamuzi Raisi anayeufaa ni yule anayeweza kujitokeza as soon as possible janga likitokea kama Bush alivyofanya sio yule janga limetokea sasa hatumuoni halafu kuna genius anayesema ajishughulishe kusubiri uchaguzi na kuprevent future majanga I mean it is pure nonsense to me!