Mafuriko Dar: A case for the presidential candidates 2015!

- My Bro, heshima yako sana!: HOWEVER huwa ninakuja hapa ku-Discuss Taifa so ukitaka kunijadili mimi na uwezo wangu wa kufikiri, tafadhali nifungulie thread, ingawa itawafurahisha sana wasomi na wenye akili kwa a genius like you, kuja hapa kwenye uwanja kunijadili mimi, please sina mpango wa kutoka kwenye the Focus ya mada, yaani mafuriko na wagombea Urais 2015. Halafu jaribu kuwa na heshima kidogo cause kuna watu hapa wamepoteza ndugu zao kwenye mafuriko haya!!

- Much Respect!

William Le Baharia big Show!

Kama ni wewe unakuja hapa kupresent mambo, sawa. Na mie nataka kusoma mambo. Sitaki kukuzungumza wewe. Na kwa kweli mpaka sasa nazungumza mambo.

Nazungumza presentation. Nazungumza umakini. Nazungumza uhakika.

Huna presentation.Huna uungwana.Huna umakini. Huna uhakika.

Huna presentation kwa sababu umeparamia kuweka mada kwa lugha ya watu bila hata ku spell check, bila sababu, kwa sababu ungeweza kuandika Kiswahili ukaeleweka.

Matokeo yake umeandika kichwa kisichoeleweka wala ku-make sense katika kiingereza wala Kiswahili.

Mafuriko dar: A case for the presidential's candidates 2015!
Huna uungwana wa kujua kwamba, ukikosolewa uungwana ni kujifunza na kushukuru kukosolewa.

Huna umakini kwa sababu ungekuwa na umakini usingefanya kosa ulilofanya na pia ungejua kwamba "message presentation is part of the message". Ukiandika kwa lugha ya kingumbaru hata kama una message unaweza kuwatia shaka watu kama kweli una cha kusema.

Ukiwa unajua Kiswahili, na kung'ang'ania kuandika Kiingereza usichokijua kiasi cha kuandika madudu uliyoandika hapo juu, bila sababu, unaonekana hujui sio tu lugha, bali mpaka swala zima la uamuzi huna.Umeshindwa kutumia lugha unayoijua vizuri zaidi bila sababu maalum.

Huna uhakika kwa sababu, kama unashindwa kuweka sawa sentensi ya heading ya thread tu, nitategemeaje kwamba huo ujumbe wa kwenye thread ni wa uhakika?

Jifunze, kubali kukosea.Ndiyo uungwana.

Ukijifanya kusema kwamba presentation ya message siyo sehemu ya message utazidi kujionyesha unavyohitaji shule zaidi.

Haya ni mambo makubwa zaidi yako wewe tu, natumai wengi tu tutajifunza.Kukosoana hakuna maana mmoja ni mjinga sana, kujifunza ni ujanja si ujinga, kukubali ni uungwana etc.
 
Naona kuna ligi isiyo na kombe!

Nikirudi kwenye mada, sisi kumbukumbu yetu ni fupi mno. Haya mafuriko tutayasahau mara tu mvua zikipungua au zikimalizika. Kwa hiyo sidhani kama haya mafuriko yatatawala hoja za wagombea nafasi za uongozi 2015.

Kwa jinsi tulivyo 2015 ni mbali mno. Yaani ni karibu na milele!
 
?@new york vs kiranga
 
Well, ni muhimu sana JF tukakazana kuwaelimisha wananchi on Elimu ya Uraia, kwa sababu tatizo la wananchi wetu ni lack of knowlegde!

- Mkuu Kiranga, ha! Ha! Sizitaki Mbichi hizi! Ha! Ha! Yaani kwa sababu nilikataa kujiunga na ile Blog yako Uchwara sasa unaniletea hasira huku! Ha! Ha! Ha!

- ha! Ha! Ha! Kiranga Blog inaingia mtu mmoja tu kwa mwezi zile siku mbili tu nilizojiunga watu wakaanza kumiminika! Ha! Ha! Nikakushhtukia huna mvuto na wala huna hoja za kuvutia wananchi nikaogopa kuiharibu heshima yangu bure ndio maana niliondoka bila kuaga, najua una hasira sana maana sasa Blog yako ni marehemu ni kwamba huna hoja wala mvuto na sio kosa langu pole sana!

- Otherwise tafadhali usivuruge huu mjadala nifungulie thread huko ukajieleze jinsi ulivyonipigia magoti nije kuihamasisha Blog yako inayojifia yenyewe baada ya kukuachia pumba zako kule! POLE SANA!
 
Blog gani?

Au ndiyo unataka kuunganisha zile zako za "nilimuona Kuhani kwenye basement DC?"

Mkuu sina muda wa kuendesha blog, nilikusale nikifikiri uko serious na issues kweli, kumbe unaendekeza ego? Don't make me do it cause I always overdo it.

Yaani nyie watu msione janga mnataka kujichukulia popularity hapo hapo? Wewe ungekuwa serious kweli ungetaka kuendekeza back and forth na mimi kwenye distraction kama unavyodai?

Kama una nia kweli "mjadala" usivurugwe anza kuuheshimu wewe mwenyewe. Na moja ya heshima hizi ni kutumia lugha unayoijua, au kama ukijitutumua kuandika kilami, tumia spellchecker, huna hata Microsoft Word?

Mafuriko dar: A case for the presidential's candidates 2015!
Goddamn it, wewe ndiye unataka kutupa mikakati ya kirais na kutufundisha elimu ya urai wakati hata kuandika sentensi straight hujui? hata kutumia spellchecker katika attempt yako ya ku-usurp watu wenye cha kuchangia kweli?

Acha hizo baharia.

Kubali umekosea, ndio uungwana.
 
Kiranga kuna 5BLOGS na Magazeti Mawili Tanzania ambayo ni maarufu kwa sababu ya msaada wangu Full time, sihitaji msaada wako on what to write au lugha kwa sababu I know the art of the Media and Communication Naturally wala sikusomea shule ndio maana ulikuja kunipigia magoti nikufufulie Blog yako I was almost getting started lakini nikagundua kuwa huna hata one clue wala talent ya uandishi na the worst huna mvutn wala an idea kwamba Blogs zinasomwa na kupendwa na watu wa aina gani nikakuachia pumba zako.

- Otherwise hoja yangu hapa ni kwamba Viongozi wote wanaotaka kugombea Urais 2015, kama hawakuonekana kwenye kusaidia wananchi na haya mafuriko basi hawafai na ni muhimu tukaja wakumbusha wananchi when the times comes. Je wewe nini hoja yako?

- Otherwise mada zangu zote including hii huwa nazilink na My Facebook Wall in the process nalisaidia Taifa, Ninaitangaza JF, na kuwavuta Vlongozi wengi wa Taifa kule Facebook kucgangia hoja zao huku wakisomeka na wananchi kama walivyo bila majina ya bandia.

- Kama kweli unataka kufanikiwa kwenye hii fani jifunze kushuka, kwa sababu hapa hatupo kujifunza lugha tupo kujadili hoja tukiamua kufuatilia uandishi wa kila member hapa hii Blog itaishia kuwa MAREHEMU KAMA ILE YAKO MASIKINI YA MUNGU!

- Kikao cha NEC kilichonijadili Dodoma for almost 2hours juu ya ushiriki wangu hapa hakikuniongelea on Uandishi ila hoja Mkuu, Mkulu Mwanakijiji, Dr. Kitila na JF wana Sifa ya hoja sio Uandishi, hapa sio shule ya uandishi ila ni Uwanja wa Great Thinkers! Sio Great Writters, ni kutumia Common Sense zaidi kuliko maguvu mengi kama unavyofanya.
 
William weka sentensi zako za Kiingereza kwenye spellchecker au tumia kiswahili.

Kwa baharia wa muda mrefu uliyezunguka viwanja na kudeal na watu tofauti kuandika heading iliyokaa fyongo kama hii unatia wasiwasi watu kama unajua unachoandika au unababaisha tu.

Ila si umeielewa mada?! Ka haujaielewa ingekuwa poa uangalie na thread nyingine zinazoeleweka mkuu!!
 
Kiranga kuna 5BLOGS na Magazeti Mawili Tanzania ambayo ni maarufu kwa sababu ya msaada wangu Full time, sihitaji msaada wako on what to write au lugha kwa sababu I know the art of the Media and Communication Naturally

Oh yeah?

wala sikusomea shule

It's not hard to see

ndio maana ulikuja kunipigia magoti nikufufulie Blog yako I was almost getting started lakini nikagundua kuwa huna hata one clue wala talent ya uandishi na the worst huna mvutn wala an idea kwamba Blogs zinasomwa na kupendwa na watu wa aina gani nikakuachia pumba zako.

Mimi nina kazi zangu na sina blog, njia ya muongo fupi, blog yangu inaitwaje? Nimekuja wapi? Mie sina muda mchafu kufuata a deranged psychopath unayetaka kupata attention za watu kupitia majanga kama wewe.

- Otherwise hoja yangu hapa ni kwamba Viongozi wote wanaotaka kugombea Urais 2015, kama hawakuonekana kwenye kusaidia wananchi na haya mafuriko basi hawafai na ni muhimu tukaja wakumbusha wananchi when the times comes. Je wewe nini hoja yako?

Of course lowlives kama nyie mkiona majanga kama haya kitu cha kwanza mnachofikiria ni siasa. Unaonyesha true colors tu. Kuna watu watasaidia tu na hata hizo siasa zenu za kibongo hawazitaki.

- Otherwise mada zangu zote including hii huwa nazilink na My Facebook Wall in the process nalisaidia Taifa,

Unaji expose tu, huna lolote.

Ninaitangaza JF, na kuwavuta Vlongozi wengi wa Taifa kule Facebook kucgangia hoja zao huku wakisomeka na wananchi kama walivyo bila majina ya bandia.

Unautangazia umma tu kwamba uko emotionally unstable mpaka mkeo kakupiga kibuti sasa unaendeshwa na chickenheads wa kuokota, mzee mzima.

- Kama kweli unataka kufanikiwa kwenye hii fani jifunze kushuka,

Mie nina fani yangu, sihitaji kuokota takataka wala kudanganya watu kwamba ni "community organizer"

kwa sababu hapa hatupo kujifunza lugha

Speak for yourself, kazi kulundika watu katika tela bila hata kupewa mandate. Watu wanajifunza chochote kile wanachoweza kujifunza, hata lugha. Wewe na bichwa kubwa ka dafu la Java kujitia ujuzi, unakosa somo.

tupo kujadili hoja tukiamua kufuatilia uandishi wa kila member hapa hii Blog itaishia kuwa MAREHEMU KAMA ILE YAKO MASIKINI YA MUNGU!

Wajinga wajinga kama nyie siruhusiwi kukutana nanyi maisha haya, yani kuna usumaku fulani automatically unanipitisha tofauti nanyi, kuna nguvu fulani za asili zina repel watu kama nyie kukutana na mimi maisha haya, hatuwezi kuonana kamwe hata kwa bahati mbaya, tutakutana hapahapa mtandaoni tu.

- Kikao cha NEC kilichonijadili Dodoma for almost 2hours juu ya ushiriki wangu hapa hakikuniongelea on Uandishi ila hoja Mkuu, Mkulu Mwanakijiji, Dr. Kitila na JF wana Sifa ya hoja sio Uandishi, hapa sio shule ya uandishi ila ni Uwanja wa Great Thinkers! Sio Great Writters, ni kutumia Common Sense zaidi kuliko maguvu mengi kama unavyofanya.

Kawaida yako kujikuza, lakini hata kama kweli sishangai. Kikao cha NEC nna uongozi mzima wa CCM ndio vyanzo vya fiasco hizi tunazoziona nchini mwetu, kwa hiyo kikao cha NEC kujadili ushuzi si jambo la ajabu kwangu.

Nimekuuliza blog gani? Umesepa. Taja blog gani hiyo?

Re: Mafuriko dar: A case for the presidential's candidates 2015!

From the master of the art of Media Communication asiyejua kuandika hata sentensi moja.

Wa moja havai mbili, hata kama William Malecela, especially kama William Malecela.

Jitu zee zima bado linaendekeza sifa za kitoto tu.
 
Ila si umeielewa mada?! Ka haujaielewa ingekuwa poa uangalie na thread nyingine zinazoeleweka mkuu!!

Mada gani? Kuna mada zaidi ya "The Hijacking of Disaster Recovery for Political Usurping and Small-Time Hustling 101"
 
Kiranga angalau sasa umeonyesha wazi tatizo lako, ha! Ha! Ha! Pole sana again ukitaka kunijadili mimi William Malecela nifungulie thread yangu.

- Hapa the mada ni mafuriko na Wagombea Urais 2015, hapa JF hakuna anayejali habari za mke wako wala wa members I mean tunajadili taifa. Hayo matatizo yako ya binafsi na wivu wa kike hayana nafasi hapa! Ha! Ha! Ha!

- HUU NI UWANJA WA GREAT THINKERS sio Great Writters. POLE SANA!
 
Waungwana wote wanajua kwamba utamaduni wetu hatuleti siasa katika msiba.

Hata wanasiasa wazoefu wanajua kwamba huwezi kuleta siasa katika janga/ msiba, utaonekana opportunistic. Hata wakileta siasa, wanaleta kwa machale, sio openly kama wewe.

Sasa wewe community organizer mwenye pupa ndio unaona hapa kwenye janga ndipo pa kutokea watu.

Let's say mtu anasaidia saaana leo kwenye janga, what does that prove? Kwamba ndio atakuwa rais mzuri sana? Unataka kutuletea siasa za pilau, kanga na kofia hapa? Hii JF sio kijijini kwenu huko, hata kijijini kwenu walimshtukia mbunge asiye sifa wakampiga chini.

Let's say mtu haonekani katika kusaidia katika majanga haya kwa sababu ambazo hata hatuzijui, hilo lina prove nini? Kwamba hawezi kuwa rais mzuri?

Acha kuwa shallow hata wakati wa mafuriko mazee.

Urais wa Tanzania is a much deeper issue kuliko mtu kuonekana anasaidia katika matatizo ya mpito haya
 
Kiranga angalau sasa umeonyesha wazi tatizo lako, ha! Ha! Ha! Pole sana again ukitaka kunijadili mimi William Malecela nifungulie thread yangu.

- Hapa the mada ni mafuriko na Wagombea Urais 2015, hapa JF hakuna anayejali habari za mke wako wala wa members I mean tunajadili taifa. Hayo matatizo yako ya binafsi na wivu wa kike hayana nafasi hapa! Ha! Ha! Ha!

- HUU NI UWANJA WA GREAT THINKERS sio Great Writters. POLE SANA!
WJM,
Wewe na FMES ni ndugu? Uandishi unataka kufanana ati. Msalimie ukimwona. Kwa kweli tunamkosa sana humu JF. Sijakuelewa unapohusisha urais wa 2015 na mafuriko haya. Wagombea wetu tangu enzi za Mzee AHM wanawekwa pale na CC ya CCM. Wenyewe huwa hawana agenda yao ya kwa nini wanausaka urais. Ndio maana utawaona wakielea tu kwa miaka 10 kisha wanaondoka.
 
Kiranga ni akili hewa sana kudai Rais au Viongozi hawahitajiki kwenye maafa, ni simply empty head na ni aibu hata kuja kutoa hoja kama hiyo hapa mgombea Urais ambaye hawazi kusaidia anaotaka kuwaongoza kwenye maafa kama haya hawezi kuwa Rais wa kutufaa.

- Otherwise ni afadhali kuwa na Mzee aliyeshindwa uchaguzi kuliko baba aliyeuza Jimbo kwa Mwapachu kwa hela ndogo cause that baba kama Blogovich belongs to prison.

- Otherwise ninasema Term ya pili ya GW Bush ilitokana na uongozi wake imara on janga kama hili la September 11, Guliani became American Mayor kwa sababu ya uongozi wake on September 11. McCain alishindwa na Obama moja ya sababu ni adhabu ya wananchi kwa Bush kushindwa kuongoza mafuriko ya New Orleans.

- Otherwise nipo njiani kumleta Rais wa Jamhuri yetu kuja kufungua tawi la CCM, baada ya majuzi kumleta Katibu Mwenezi wa CCM kuja kuweka Msingi so My record on Uongozi na chama iko vizuri sana sihitaji sifa zaidi ninazo tayari.
 
Wild Card siku hizi tuna wagombea wengi na kutoka vyama mbali mbali, So kama hatukuwaona kwenye mafuriko tunatakiwa kuwaona wapi? Mbona wanapita wakigawa hela huko mtaani lakini kwenye mafuriko hawapo?
 
Kiranga ni akili hewa sana kudai Rais au Viongozi hawahitajiki kwenye maafa,

Mpaka hapo ushaonyesha level yako ya comprehension ni ndogo, hujaelewa nilichosema, hujui kusoma katika level unayotakiwa na quite possibly huna tofauti sana na ngumbaru.Sijasema hilo na huwezi kuquote sehemu niliyosema hilo.

ni simply empty head na ni aibu hata kuja kutoa hoja kama hiyo hapa mgombea Urais ambaye hawazi kusaidia anaotaka kuwaongoza kwenye maafa kama haya hawezi kuwa Rais wa kutufaa.

Msimu wa uchaguzi bado. na wewe unaweza kupigwa faini kwa kuanza kampeni za uchaguzi kabla ya muda. Utapigwa stop kama Usain Bolt kwa kuanza mbio kabla filimbi haijapigwa.

- Otherwise ni afadhali kuwa na Mzee aliyeshindwa uchaguzi kuliko baba aliyeuza Jimbo kwa Mwapachu kwa hela ndogo cause that baba kama Blogovich belongs to prison.

Hahaha, naona ama unanichanganya na mtu mwingine (no wonder story nyiiingi za blog and all that) au unaleta obfuscation zako za kawaida. Mzee wangu hakushiriki, hashiriki na wala hawezi kushiriki siasa za Bongo kwa sababu habari za kusimama jukwaani na kudanganya wananchi hawezi.

- Otherwise ninasema Term ya pili ya GW Bush ilitokana na uongozi wake imara on janga kama hili la September 11, Guliani became American Mayor kwa sababu ya uongozi wake on September 11. McCain alishindwa na Obama moja ya sababu ni adhabu ya wananchi kwa Bush kushindwa kuongoza mafuriko ya New Orleans.

JF mnaona utumbo wa huyu mtu sasa? Need I say more?

- Otherwise nipo njiani kumleta Rais wa Jamhuri yetu kuja kufungua tawi la CCM, baada ya majuzi kumleta Katibu Mwenezi wa CCM kuja kuweka Msingi so My record on Uongozi na chama iko vizuri sana sihitaji sifa zaidi ninazo tayari.

Mnaona sasa true colors zake? Kumbe habari ndeefu za kujidai hivi na vile kisa mkasa unataka kuchota watu kwenye shughuli zenu za CCM? Unataka kutumia janga kuchota watu waje kumuona JK?

Humpati mtu hapa.
 
Back
Top Bottom