Mafunzo ya maisha niliyojifunza katika vita vya Ukraine na Russia

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,706
1: Uwe makini kuhakiki kila move ya maisha yako. Kuna watu wako tayari kukutumia hata kama ukifa ila wao mambo yao yaende.
Ukraine anatumiwa na US/NATO.

2: Jifunze kuchukua hatua mapema kwa gharama ndogo kuliko kusubiri umechelewa na kupata hasara kubwa isiyolipika. Kumbuka 80/20 Rule.
Russia imeingia vitani kwa kukubali kupata hasara ili US asifikie malengo ya kumdhoofisha kabisa huko baadae.

3: Upuka utumwa au ufungwa katika maisha. Kuna watu watakuona fursa na kukutumia kama fursa. Wafungwa na watu wasiohuru huko Russia ndio watu cheap wanaosajiliwa katika jeshi la kukodi la Jasusi Prigo na wengi wanaishia kufa huko Ukraine.
Usikatishwe tamaa hadi ufikie kuwa tayari kufanyishwa chochote na mtu yeyote.

4: Jifunze kuwa na marafiki wa kukusaidia mambo yakikufika. Usiwe na urafiki usio na faida. Hata wakristo wanaurafiki na Yesu kwa sababu aliwahi kusema anayemuamini atampa uzima wa milele. Marafiki zake Putin Prigo wa Wagner PMC na Ramzan Chechnya pamoja na nchi ya Beralus wamecheza nafasi kubwa katika kuisaidia Urusi katika SMO hii.

5: Tumia udhaifu wa maadui zako kujipatia wafuasi. Vita hivi Urusi imevihamisha na kuwa kana kwamba ni vita kati ya wanaopinga ushoga wa wazungu wanaopenda hiyo kitu. Hii imepelekea kuwepo kwa watu wengi duniani hasa Africa na Uarabuni kuwa upande wa Urusi. Ndio maana hata uzi maarufu wa vita hivi hapa JF comment za Pro Russia nyingi zinawakejeli Pro NATO au UKRAINE kama wafuasi wa vuguvugu la mapenzi ya jinsia moja.

...
 
Jamani wabongo wenzangu tufanyeni kazi na pia tuombe mungu vita hivi viishe wanao kufa huko vitani ni wanadamu wenzetu. Kuhusu mashoga ni hulka ya mtu nasi nchi maana dunia yasasa hakuna nchi ambayo watu Wake wote ni mashoga ama si mashoga kumbuka hata kwetu wapo ijapo haipendezi machoni pa mungu. Yote na yote hii vita inatuathili dunia nzima.
 
mbakaji hii ID yako.... Daaah
 
Mashoga kwa kuchomeka habari zenu hamjambo
 
Back
Top Bottom