Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

LTN USU ninapokwambia una akili ndogo sana uniamini tu kaka ni kweli yaani,ETI UNANIULIZA NAELEWA MAANA YA BARAZA LA MAWAZIRI UKO SERIOUS KWELI BW.MDOGO? KILE NI KIKAO CHA KIUTENDAJI CHA WATENDAJI WOTE WAKUU(MAWAZIRI) WA WIZARA ZOTE ZA NCHI NA AJENDA ZA KIKAO ZILE NI MAJADILIANO YOTE YA MSINGI KUHUSU MASUALA YA NCHI NA HIYO NI UFAFANUZI AMBAO MWEREVU ATAUELEWA NANGA NA KENGE KAMA WEWE UNANISHANGAZA ULIVO MWEUPE KICHWANI POLE SANA ******
UTAPANIC SANA NA POVU LITAKUTOKA HASWAA ,HUNA UNALOLIJUA ZAIDI YA FARAJA ZA KISHENZI KWA WASIOWEZA KUJIPA WENYEWE FARAJA
 
Vijana aminini katika Mungu kuwa mwezi kesho oktoba mnaondoka na nyinyi mkatimize ndoto zenu,kikubwa ni kozi zingine zimeshafunguliwa hivo yenu nayo muda wake umefika
Mkuu humu kuna vijana ambao umri wao bado haujapevuka kiakili ndo maana unayaona haya
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 30 Septemba,2016 amefunga maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kushuhudia zoezi la medani liitwalo ''Amphibious Landing'' lililofanyika katika Kijiji cha Baatini Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Zoezi hilo lililochukua muda wa wiki mbili, limeshirikisha kamandi zote tano za JWTZ ambazo ni Nyika, Majini, Anga, Kamandi ya Makao Makuu na Jeshi la Kujenga taifa limefanyika katika ufukwe wa bahari ya Hindi na limetekelezwa kwa mfano wa mapambano ya kivita yaliyohusisha kutua nchi kavu kutoka majini na kukomboa eneo lililotekwa.Akizungumza baada ya kukamilika kwa zoezi hilo Rais na Amiri jeshi Mkuu Dkt.John Pombe Magufuli amempongeza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange pamoja na Makamanda na Wapiganaji wote wa JWTZ walioshiriki katika zoezi hilo ambalo limefanywa kwa umakini, uhakika na weledi wa hali ya juu.''Kwa kweli nimefurahi na nimeamini tuna wapiganaji wa kutosha katika maeneo yote, hii mikakati na mipango iliyotumika inaonesha tuna jeshi imara na linaloaminika'' amesema Dkt. Magufuli.Rais na Amiri Jeshi Mkuu amewahakikishia Makamanda na Wapiganaji wote wa JWTZ kuwa Serikali yake itahakikisha inaendeleza na kuongeza zaidi juhudi zilizofanywa na Marais waliopita kwa kuimarisha na kuwana jeshi la kisasa linalotumia vifaa na teknoljia ya kisasa na pia itahakikisha maslai ya askari yanaboreshwa.Aidha, Dkt. Magufuli ametaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuimarishwa zaidi na kujielekeza katika uzalishaji mali ikiwemo uwekezaji katika viwanda.Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein ambaye pamoja na kuipongeza JWTZ amesema miaka 52 tangu kuanzishwa kwa Jeshi hilo Watanzania wanashuhudia jeshi lao likiwa imara na makini zaidi kwa ajili ya kulinda nchi.Nae Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange amemshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli kwa jitihada zake na nia yake ya kuliimarisha Jeshi na kuboresha maslai ya Makamanda na Wapiganaji na ameongeza kuwa anajivunia kuwa kiongozi wa Jeshi hilo.Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na Viongozi wengine wakiwemo Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar Abdulhamid Yahaya Mzee.Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli, amemuagiza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange kuwapa ajira za JWTZ askari mgambo wote walioshiriki zoezi la Amphibious Landing.
 
Aisee kuna dalili ya kozi ya jkt kua mwakani...maana uhakiki umeanza tena ijumaaa jana.

Nimeona hapo juu mdau anazungumia watu kwenda TMA Monduli, lili ni chuo la kimataifa hivyo haiwezekani wanajeshi kutoka Canada, Rwanda, Kenya,Uganda and like waanze kozi wakati wa Tz ampo, pia kuna wadhamini wa kozi za TMA kutoka majuu
 
Aisee kuna dalili ya kozi ya jkt kua mwakani...maana uhakiki umeanza tena ijumaaa jana.

Nimeona hapo juu mdau anazungumia watu kwenda TMA Monduli, lili ni chuo la kimataifa hivyo haiwezekani wanajeshi kutoka Canada, Rwanda, Kenya,Uganda and like waanze kozi wakati wa Tz ampo, pia kuna wadhamini wa kozi za TMA kutoka majuu
mkuu hiiikitu jakata imekaa tata...., ngoja tuendelee kujifajiri labda atatusikia, mana ni yeye ndo mwe maamuzi...SALI SANA.
 
mkuu hiiikitu jakata imekaa tata...., ngoja tuendelee kujifajiri labda atatusikia, mana ni yeye ndo mwe maamuzi...SALI SANA.

Mimi nimegundua viongozi wetu wengi hawako sirious na kazi zao, watu wanaishi utafikiri wako kwenye karne ya nne. Maana ya kua na maofisa habari kwenye hizo taasisi ni nini?
 
Mimi nimegundua viongozi wetu wengi hawako sirious na kazi zao, watu wanaishi utafikiri wako kwenye karne ya nne. Maana ya kua na maofisa habari kwenye hizo taasisi ni nini?
hata tulio na form za jakata,naona uhakiki utakua upya lasivyo mchakato utaanza upya.....mana haiwezekani utoke uraiani uende moja kwa moja jikoni......hii kitu hii....
 
Back
Top Bottom