Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

hata tulio na form za jakata,naona uhakiki utakua upya lasivyo mchakato utaanza upya.....mana haiwezekani utoke uraiani uende moja kwa moja jikoni......hii kitu hii....
HII NCHI INA SIASA NYINGI SANA IN SHORT NCHI HAINA HELA IKO TAABANI SI UNAONA PIA MADAKTARI WALIOMALIZA VYUO VIKUU MWAKA HUU WALITAKIWA WAANZE INTERSHIP TAREHE 01/10/2016 IMESTISHWA KWA MDA AMBAO HAUJULIKANI CCM NI MZOGA
 
Nna imani na huu mwezi wa 10 tunaweza pata taarifa muhimu zinazo tuhusu sisi vijana wa kujitolea jkt 2016...kama ipo ipo tu cha muhimu ni kutokata tamaa na kutunza afya zetu...!
 
acha assumption ya mambo hivi vitu viongozi wake wana siasa sasa mwanasiasa hasa wana ccm siyo mtu wa maana matamko yamejaaa but mwanasiasa siyo mtu hata hao ambao wako makao makuu hakuna anayejua zaidi ya mkuu wa kaya ambaye ni mwasiasa atoe tamko na wao watekeleze
 
hata mkuu wa kaya hajui wataingia lini

HII NCHI INA SIASA NYINGI SANA IN SHORT NCHI HAINA HELA IKO TAABANI SI UNAONA PIA MADAKTARI WALIOMALIZA VYUO VIKUU MWAKA HUU WALITAKIWA WAANZE INTERSHIP TAREHE 01/10/2016 IMESTISHWA KWA MDA AMBAO HAUJULIKANI CCM NI MZOGA
Pesa imeyumba, wizara nyingi hazijapewa pesa
 
hata tulio na form za jakata,naona uhakiki utakua upya lasivyo mchakato utaanza upya.....mana haiwezekani utoke uraiani uende moja kwa moja jikoni......hii kitu hii....
MCHAKATO HAUTOANZA UPYA ILA MTAPIMWA TENA MAANA WENGINE WASIJEKUFA SIKU YA INTRO...D
 
HII NCHI INA SIASA NYINGI SANA IN SHORT NCHI HAINA HELA IKO TAABANI SI UNAONA PIA MADAKTARI WALIOMALIZA VYUO VIKUU MWAKA HUU WALITAKIWA WAANZE INTERSHIP TAREHE 01/10/2016 IMESTISHWA KWA MDA AMBAO HAUJULIKANI CCM NI MZOGA
Serikali ina pesa nyingi sana.... Husikilizagi hotuba za mkuu nini kijana...
 
Vijana bana mnapenda sana mteremko mnataka muende jkt ili mkale na kulala bure fanyeni kazi nendeni vijijin mkalime hakuna bure bure awamu hii hapa kazi tu
 
aki si pesa., post: 17903325, member: 305198"]Vijana bana mnapenda sana mteremko mnataka muende jkt ili mkale na kulala bure fanyeni kazi nendeni vijijin mkalime hakuna bure bure awamu hii hapa kazi tu[/QUOTE]
Unamawazo ya kitoto sana najua hujui dhima ya jkt n nn.
 
Back
Top Bottom