Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

MKUU
USIFIKIRIE KAMA KWAPA NDO LINA UBONGO WAKO,ACHA UBWANYENYE
Wenzenu Wazanzibar waliokua wamewasili kwenye vikosi walivyopangiwa wamepewa nauli na kuanza safari ya kurudi mgulani wanapokutania kisha kurudi zanzibar,sasa kwa anaesubiri ajiandae kuingia mwezi wa 8 mwshon au wa 9, na kama tpdf watakua bado hawajaanza cozi basi mtaingia wa 10

NB:Huo Uzi uliuandika wewe halafu Leo unasema mwakan wew hujui kinachoendelea acha kiherehere na kujifanya mjuaji. Shutup your mouth
 
Aisee, ila msikate tamaa, ipo day utapitia Uzi huu na utauona kama historia, kipindi ukiwa ofisa mkubwa tu.
Lkn ni heri ukajiwekea malengo ya muda mrefu ili uweze hata kufanya mambo mengine hapa kati, kuliko kuwa na hisia labda itakuwa kesho ama keshokutwa kiukweli inakatisha tamaa.
NB: mtarajie mwezi wa pili mwaka 2017. Haya ni maoni yng wala yasikupe hasira, jambo la busara ni kutafuta kitu cha kukuweka busy kusubiri safari hii ya matumaini.
Mungu awabariki
 
Kwahyo wewe ndo umeteuliwa kuwa MSEMAJI WA JKT..? ACHA USHAURI WA KIBOYA ETI WAANZE KUJIFUNZA KUFUNGA NA KUFUNGUA SILAHA MBONA UNATAKA KUWAPOTOSHA WENZIO AFU UNAWATISHIA ,SKIA SIKU ZOTE JKT NI KUFANYA KAZI KAMA MTU HATAKI ABAKI KWAO.....N:B Jkt mwaka huu hakuna
Kipimo cha ubongo wako ni kweli unaakisi vvyema na jinsi ulivyo brother hebu jaribu kutuliza mihemko yako tunahitaji watu wenye kutuliza akili KATIKA kukabiliana na mambo magumu kwAko hiyo mwakani imeshakuwa mwimbo vijana wamesha kuelewa .
Hakuna budi kila MTU kusimamia kile anachokiamini.
MAMBO HAYA YAMENZA MWEX
ZI WA NNE KILA MKOA,WILAYA,KUPITIA KAMATI ZA ULINZI KILA WILAYA,KUPITIA KAMATI ZA ULINZI KILA MKOA,WASHAULI WA MGAMBO WENYE VYEO VIKUBWA VYA KUONGOZA MAKAMBI YA JKT
Hao wote ni watu makini KATIKA serikali yetu bado sijajumuisha MAAFISA MBALIMBALI WA JKT WALIOPITA KUFANYA USAHILI KILA MIKOA NA KUPATA VIJANA
HIVYO TAMBUA KWENDA MAKAMBINI MUDA UKIFIKA WATAENDA KUPITIA VYOMBO HUSIKA VYA HABARI TUACHE KUUPOSHA UMMA KWA MANENO YASIYO NA TIJA
 
Wenzenu Wazanzibar waliokua wamewasili kwenye vikosi walivyopangiwa wamepewa nauli na kuanza safari ya kurudi mgulani wanapokutania kisha kurudi zanzibar,sasa kwa anaesubiri ajiandae kuingia mwezi wa 8 mwshon au wa 9, na kama tpdf watakua bado hawajaanza cozi basi mtaingia wa 10

NB:Huo Uzi uliuandika wewe halafu Leo unasema mwakan wew hujui kinachoendelea acha kiherehere na kujifanya mjuaji. Shutup your mouth
Habari ndo zimebadilika ,hufai kuingia jeshini wewe kwa hasira za kishenzi hizo
 
Vijana wa kujitolea jkt 2016 mnaenda mafunzoni siku si nyingi kuweni na imani lakini pia mjiandae mambo yataenda kwa kasi ya hapa kazi tu,mvua hizo zimeanza lazima mkalime sana lazima mkafanye sana kazi, huu ni muda mzuri sana kwa mnaotarajia kuendelea kupanua Mawazo yenu juu ya nini mtaenda kukifanya kule makambini ichimbeni nchi yenu muijue vema,jueni vitu vingi vitakavyokuwa msaada ktk mafunzo yenu,wenye Uwezo wa kuingia mitandaoni YouTube IPO itawafundisha namna ya kufunga na kufungua silaha hivo uipatapo elimu hii mapema mafunzoni utapeta tu,MAMBO YAMEKARIBIA HONGERENI KWA UVUMILIVU TANGU JULY.WAZII???
acha sifa ww askari hanaga shobo
 
Ltn usu wa demo hili jina tu laonyesha ni namna gani unapenda ujiko(sifa) na waishi bado kwenye ndoto zako lakini nikuhakikishie zitabaki kuwa ndoto tu..Wewe na Moto wa maji ni makenge ya blueee!!! Akili zenu ni ndogo sana sana yaani
 
LTN USU ninapokwambia una akili ndogo sana uniamini tu kaka ni kweli yaani,ETI UNANIULIZA NAELEWA MAANA YA BARAZA LA MAWAZIRI UKO SERIOUS KWELI BW.MDOGO? KILE NI KIKAO CHA KIUTENDAJI CHA WATENDAJI WOTE WAKUU(MAWAZIRI) WA WIZARA ZOTE ZA NCHI NA AJENDA ZA KIKAO ZILE NI MAJADILIANO YOTE YA MSINGI KUHUSU MASUALA YA NCHI NA HIYO NI UFAFANUZI AMBAO MWEREVU ATAUELEWA NANGA NA KENGE KAMA WEWE UNANISHANGAZA ULIVO MWEUPE KICHWANI POLE SANA KILAZA
 
Vijana aminini katika Mungu kuwa mwezi kesho oktoba mnaondoka na nyinyi mkatimize ndoto zenu,kikubwa ni kozi zingine zimeshafunguliwa hivo yenu nayo muda wake umefika
 
LTN USU ninapokwambia una akili ndogo sana uniamini tu kaka ni kweli yaani,ETI UNANIULIZA NAELEWA MAANA YA BARAZA LA MAWAZIRI UKO SERIOUS KWELI BW.MDOGO? KILE NI KIKAO CHA KIUTENDAJI CHA WATENDAJI WOTE WAKUU(MAWAZIRI) WA WIZARA ZOTE ZA NCHI NA AJENDA ZA KIKAO ZILE NI MAJADILIANO YOTE YA MSINGI KUHUSU MASUALA YA NCHI NA HIYO NI UFAFANUZI AMBAO MWEREVU ATAUELEWA NANGA NA KENGE KAMA WEWE UNANISHANGAZA ULIVO MWEUPE KICHWANI POLE SANA ******
AKILI YAKO TOPE WW MANINA ACHA SIFA ZA KIKE NINYI WAHAYA WA DAR BUGURUNI SHIDA
 
Kama habari zilibadilika he wewe wakati huo ulikuwa msemaji WA jeshi au ulikuwa unaropoka tuu kaka.
unategemea msemaji wa jeshi aje kuleta taarifa kwenye uzi huu.? kama mnamsubiri msemaji wa JESHI MSUBIRINI ATAONGEA KWENYE VYA HABARI SIO MNAKUJA KUSUMBUA KWENYE HUU UZI NA MASWALI YA LINI MTAENDA
 
Ltn usu wa demo hili jina tu laonyesha ni namna gani unapenda ujiko(sifa) na waishi bado kwenye ndoto zako lakini nikuhakikishie zitabaki kuwa ndoto tu..Wewe na Moto wa maji ni makenge ya blueee!!! Akili zenu ni ndogo sana sana yaani
Ltn usu wa demo hili jina tu laonyesha ni namna gani unapenda ujiko(sifa) na waishi bado kwenye ndoto zako lakini nikuhakikishie zitabaki kuwa ndoto tu..Wewe na Moto wa maji ni makenge ya blueee!!! Akili zenu ni ndogo sana sana yaani
WEWE MWENYE AKILI KUBWA MBONA HATUZIONI CHA ZAIDI TUNAKUONA ATA HIZO NDOGO TULIZONAZO SISI WEWE HUNA
 
Back
Top Bottom